Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

Sitaki malumbano. Endeleeni kuamini hivyo kama kufanya hivyo kuna tija kwenu!

Hili la kuamini tutaendelea kuamini kwa vile hakujathibitishwa vyenginevyo na kuhusu Tija naomba ufahamu kuwa kwetu hizo nyaraka zote hazina tija nasi. Siku Njema!
 
Off point! Kwani huo waraka feki unaosambazwa umekutwa unasambazwa na Kanisa Katoliki (kama unavyofanywa ule halali/rasmi)? Kwa hiyo, kusema mkamatwa na ngozi ndiye mwizi ni 'out of context'. Kama ndio ujanja mnaoutumia kueneza chuki dhidi ya Kanisa Katoliki mnapoteza muda wenu bure. Watu wanawaangalia na kuwacheka!

Tendeni haki for once, please! Kama mnachukia mwakilishi wa Vatican kuwa hapa Tanzania ni kawaida yenu hakuna cha ajabu ila Serikali haijazuia dini yenu kuwa na mwakilishi hapa Tanzania na ikiwa hivyo hakuna mtu atakeyechukia kama mnavyofanya nyinyi.

Ila ujanjaujanja wa kutuingiza kwenye mfumo wa dini yenu, hilo hatukubali. Abuduni huko misikitini kama Wakristo wanavyofanya makanisani lakini kuingiza vitu vya ajabuajabu kwenye mfumo wa Mamlaka ya Nchi hilo halikubaliki. Maana mkishafaulu hayo mawili, OIC na Mahakama ya Kadhi kwa utaratibu mnaotaka, hamtaacha kuingiza sharia na mambo mengine amabayo bado mnadhani hayatekelezwi na Serikali ya Tanzania. Lazima mjue kwamba Serikali ya Tanzania siyo Serikali ya dini ya Kiislamu au Kikristo. Hivyo, hamwezi kulazimisha mfumo wa dini yenu uwe mfumo wa Serikali ya Tanzania.
Kwa maoni yako huu ni waraka feki, kwangu na kwa wengi huu ni waraka halali kabisa uliotolewa na kanisa katoliki. Kilichofanyika ni kutaka kufikiri eti waislam hawajaenda shule, nakutaka kuwapumbaza kwa kuanza kuugawa huo waraka misikitini. Na hapa ndio unajaribu kuhakikisha katika hoja zako na kusema waislam hawajaenda shule.

Amka na fuatilia statistik za sasa ili mje na mbinu za uhakika. Mpaka hapa mmeshindwa na hamtafanikiwa pengine huko kanisani.

Ninachopenda kuwaeleza na cha muhimu ni kwamba, nyie ndio mnaoipalilia CCM kuingia tena madarakani mwaka 2010. Hizo nyaraka zitawasuta wenyewe.

Nawe unayejiita msomi ni kipofu kabisa huoni kitu ndugu yangu Magobe.
 
Kama Wakristo wanaweza kupenya mpaka Misikini wakagawa Nyaraka basi wakristo ni mageneus sana tena sana

Kwa nini na nyinyi msipenyeze zenu makanisani
 
Waislam bwana . Kulia lia kila kona ya Dunia yaani sijui wanataka nini .Wanaupiga ukristo lakini kila kukicha wanataka kwenda huko ambako mnawatukana .Sijaona hata mara moja mnajaza mweneuy balozi za Iran na wenzenu wengine lakini bado maneno mengi jamani . Wakatoliki wana uwezo wa kufikiri na kutenda hawawezi kuukataa waraka wao kama wamenadika . watakuwa wanaogopa nini ?
 
Wakristo bana kulia kulia na kupenda kupendelewa utafikiri wanawake...kuingilia vitu visivyowahusu shame?

waislamu wanasema facts tu..kama kuna injustice tutasema tu maana nyie mliozoea kupendelewa hampendi kelele hizo...safi sana kama zinakukera maana ni afadhali ukereke...maana kupendelewa, kuiba, unafiki ni tabia mbaya..lazima tu-expose aibu kwa KANISA
 
Mbona unaenda nje ya mada? Tunazungumzia waraka ambao uko dhidi ya Waislamu na tunachotaka ni kuona wenzetu mnaukataa huo waraka kwa kupinga kilichoandikwa ndani ya waraka, Sasa suala la kulalamika linakuja wapi hapo? Ama hayo mengine kwa bahati nchi ni ya wote na uhuru ni wa wote hivyo haiwezekani kuwatenganisha Waislamu na Wakiristo, au unaweza ndugu? Labda huu waraka ndio mwanzo wake?
 
Hebu elaborate kidogo comrade! Waraka upi ujadiliwe? ule original au ule feki?
Kwa bahati mbaya nhiudhuu za waraka hizi ni sawa.

Uwongo!

1. Waraka feki introduces new elements, for instance, asking Catholics to choose only Chadema against CCM and CUF. The Catholic Church is not affiliated to a particular political party, its adherents belong to different parties and others do not belong to any party. It is practically impossible to make members of different parties to start supporting Chadema only! If that were the case, it would have brought a great commotion in the Church!

2. In the original waraka, the author was CPT, while the fake one, there's no author.

3. The original waraka is meant for all Tanzanians (appeals to all Tanzanians) to reflect seriously on public interest issues and choose leaders on grounds of competence and uprightness and not religion, party politics or ethnicity. The fake one is divisive and is meant for maaskofu, mapadre and wachungaji. The latter group, though, never exists in the Catholic Church.

4. So, the subject matter of the the waraka is not the same as that of the original waraka. In otherwords, the content has been altered.
 
JK hana sababu ya kuonewa huruma kwani yeye mwenyewe anajitosheleza kwa ukakamavu na uongozi thabiti,tatizo lenu mliomadogma mkipumbazwa tuu mmepambazishwa!Mtasema sana lakini ukweli utabaki palepale JK ndiye chaguo la watanzania wengi wenye kutaka amani na utulivu sasa kama nyie mnataka fujo(na tayari tunawajua kawaida yenu ni fujo hata mashuleni mlifahamika) ameni nchi na mwende kwa ndugu yenu M7 tuachieni nchi yetu
Anybody seen a trush bin around here??
 
Wakristo bana kulia kulia na kupenda kupendelewa utafikiri wanawake...kuingilia vitu visivyowahusu shame?

waislamu wanasema facts tu..kama kuna injustice tutasema tu maana nyie mliozoea kupendelewa hampendi kelele hizo...safi sana kama zinakukera maana ni afadhali ukereke...maana kupendelewa, kuiba, unafiki ni tabia mbaya..lazima tu-expose aibu kwa KANISA
hahahaaaaa! crap crap!!!!
 
Hizo 'facts tu' mnazosema ni za kubuni na Wakristo wanataka 'real facts' na siyo watu wabuni facts halafu zisihojiwe. Hatutaki mambo ya kubuni. Kama mnasema mna 'facts' then verify them na siyo tu kusema injustice na kupendelewa.

Hicho mnachosema kupendelewa kinatokana na tabia yenu ya kujibagua au kuwabagua Wakristo huku mkiwaita makafir na pia kubaki kwenu nyuma katika elimu. Si hata mnaona matokeo ya darasani kuanzia kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu?

Kwani wanaosahihisha mitihani huwa wanajua huyu ni Mkristo wampe maksi nzuri na huyu ni Mwislamu wampe mbaya (ingawa, of course, baadhi ya Waislamu wanafanya vizuri na baadhi ya Wakristo wanafanya vibaya)? Lakini tunachosema ni ile general performance na tabia ya kulalamikalalamika kwamba mnaonewa na hampewi nafasi/fursa sawa kama ilivyo kwa Wakristo. Hizi ni baadhi ya 'facts' za kubuni na ambazo hamwezi kuzithibitisha na tunazozipinga kwa nguvu zote.
 
Kilicho cha wazi hakitakik uandikwa na kwa mujibu wa maelezo yako unaikubali kuwa hiyo hali ndiyo Facts kama ulivyoita wewe.
Huo msururu wa sababu zilizopelekea hali hiyo ulizozitowa ni za maana gani kama lilizozungumzwa sio facts?
Unajuwa kwa nini posti liyofuta ilikuuliza kuhusu trash bin? Kwasababu unajikanyaga sana na kuuliza maswali yasiyokuwepo.
Naam tabia za Waislamu ndio zilizopelekea kuwa wako nyuma lakini kama mgewawathamini kama raia sawa basi mgechukuwa hatuwa za makusudi kuondowa hali hiyo.

Hili linawezekana kabisa kwa kuchukulia mfano wa WANAWAKE kama kundi katika jamii. Ni nyinyi Wakristo mliochukuwa jitihada za kuwakombowa wanawake na kuwapa upendeleo maalum,kwanini mshindwe kulifanya kundi la Waislamu kuwa sawa nanyi na badaloa yake ndio kwanza mnakaza kamba kuhakikisha kuwa wako nyuma katika kila nyanja?
 
Uwongo!

1. Waraka feki introduces new elements, for instance, asking Catholics to choose only Chadema against CCM and CUF. The Catholic Church is not affiliated to a particular political party, its adherents belong to different parties and others do not belong to any party. It is practically impossible to make members of different parties to start supporting Chadema only! If that were the case, it would have brought a great commotion in the Church!

2. In the original waraka, the author was CPT, while the fake one, there's no author.

3. The original waraka is meant for all Tanzanians (appeals to all Tanzanians) to reflect seriously on public interest issues and choose leaders on grounds of competence and uprightness and not religion, party politics or ethnicity. The fake one is divisive and is meant for maaskofu, mapadre and wachungaji. The latter group, though, never exists in the Catholic Church.

4. So, the subject matter of the the waraka is not the same as that of the original waraka. In otherwords, the content has been altered.

Uwongo: (item by Item) "waraka wa kwanza na waraka wa sasa madhumuni yao ni moja"
1. Waraka wa kwanza uliwaomba wakatoliki wamchague mtu aliyelelewa kikristo kwa vyovyote hawezi muislam kwakuwa waislamu wanalelewa kiislam ok. na waraka huo utafundishwa kwenye jumuia zenu za kikristo na viongozi wa kikristo kwa vyovyote huko muislamu hawezi kufika. kwakuwa ccm na cuf wagombea wao ni waislamu na chadema kunaye askofu ndio maana mkawasisitizia wacahgue chadema shame!

2. Kuwa au kutokuwa na author hiyo siyo issue lakini madhumini yenu ni hayo hayo "hidden agenda" kwakuwa wakristo wanaongoza kwa hypocracy utegemee nini?

3. The original was never meant to all people but to All christians

4. Content was never altered...mfano rais lazima awe mkristo (alelewe kikristo), issue mahakama ya kadhi, issue ya church influence etc are the same.

In essence waraka ni wenu lakini kwa aibu mmeanza kulialia kama mademu.
 
Wanataka kukimbia upuuzi wao, kanisa katoliki ndio limeandika huu waraka likazambaza kwa siri kuona joto linaendaje

Christian fundementalist at work! shame on them, wamezoea "Kupendelewa" hawataki justice lol

Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.

Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)

Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...

Oh Gosh JK has nothimg to do with ill intention of catholic church-their move is just plain childish and dumb thats is true

Thats why we have to expose their stupidity

JK kama hawamtaki go to election si unatumia waraka stupid!

Mimi naona unalalamika tu huna hoja, kweli catholic church ni tatizo duniani inabaidi tuanze kuliangaza wanabomoa

Crap! huo ujinga wako wa kwamba waislamu hawajasoma tumeshausikia sana ni ujinga wa kuhalalisha "Injustice" na kuendekeza upuuzi

After all, tunaongelea waraka wa kibaguzi unaotoka kanisani kwa wakristo wasioipendea mema nchini unaanza mambo ya kusoma kutosoma aghh!

Scrap! Again!, hakuna tofauti ya kimadhumuni kati ya waraka wa mwanzo na ule wa sasa! kama kuna tofauti ilete hapa tujadili

Hakuna ulichoandika cha kusoma zaidi ya streotype..na offpoint..tunaongelea waraka wewe unataka ku-divert tuongelee ubaguzi..wapi na wapi? mimi sina huo ujinga wewe wala sibabaishiwi na upuuzi huo unaouongea..kusoma nimesoma na kazi ninayo ndugu.

Waraka huu umetolewa na kanisa katoliki, na hawawezi kujiandika majina wala kuutoa kanisani kwasababu wanajua ni uhalifu nani kakwambia mhalifu anapenda kujitaja..aibu..

Wakristo bana kulia kulia na kupenda kupendelewa utafikiri wanawake...kuingilia vitu visivyowahusu shame?

waislamu wanasema facts tu..kama kuna injustice tutasema tu maana nyie mliozoea kupendelewa hampendi kelele hizo...safi sana kama zinakukera maana ni afadhali ukereke...maana kupendelewa, kuiba, unafiki ni tabia mbaya..lazima tu-expose aibu kwa KANISA

Uwongo: (item by Item) "waraka wa kwanza na waraka wa sasa madhumuni yao ni moja"
1. Waraka wa kwanza uliwaomba wakatoliki wamchague mtu aliyelelewa kikristo kwa vyovyote hawezi muislam kwakuwa waislamu wanalelewa kiislam ok. na waraka huo utafundishwa kwenye jumuia zenu za kikristo na viongozi wa kikristo kwa vyovyote huko muislamu hawezi kufika. kwakuwa ccm na cuf wagombea wao ni waislamu na chadema kunaye askofu ndio maana mkawasisitizia wacahgue chadema shame!

2. Kuwa au kutokuwa na author hiyo siyo issue lakini madhumini yenu ni hayo hayo "hidden agenda" kwakuwa wakristo wanaongoza kwa hypocracy utegemee nini?

3. The original was never meant to all people but to All christians

4. Content was never altered...mfano rais lazima awe mkristo (alelewe kikristo), issue mahakama ya kadhi, issue ya church influence etc are the same.

In essence waraka ni wenu lakini kwa aibu mmeanza kulialia kama mademu.

Kaka Tuma asante kwa hoja nzuri na maridhawa, naamini umeusoma huu waraka, je unaweza kuscan na kuuweka hapa ili wote tuusome? nitashukuru, unaweza kumtumia Invisible ili aweke incase kama hutaweza.Kama hutaweza kwa sababau za security(kama zipo) je waraka una page ngapi na ni wa tarehe gani? na umekuwa addressed kwa nani?

Pili mimi sio Mkatoliki ila ni Mkristo, mbona naona unachanganya kati ya ukatoliki na ukristo maana wakristo ni wengi sana mkuu!

Mwisho, mbona hawa viongozi wa kikatoliki siwaelewi? maana walisema JK chaguo la Mungu, kwa nini wamemgeuka tena leo? ina maana Mungu anabadilika??
 
Mwisho, mbona hawa viongozi wa kikatoliki siwaelewi? maana walisema JK chaguo la Mungu, kwa nini wamemgeuka tena leo? ina maana Mungu anabadilika??

Lini na Wapi? Unaweza ukaweka Nukuu? Ukishindwa Kuweka nukuu uko tayari kuomba Radhi? Usipoomba Radhi tukuweke kundi gani au tukuite nani?
 
Lini na Wapi? Unaweza ukaweka Nukuu? Ukishindwa Kuweka nukuu uko tayari kuomba Radhi? Usipoomba Radhi tukuweke kundi gani au tukuite nani?

Inaonekana unapenda kuombwa radhi, unapenda kuweka watu kwenye makundi na unapenda kuwaita majina utakayo,hata mimi unaweza kufanya hivyo kama kwako hiyo ni adhabu nzuri!

kabla sijakupa jibu lako nataka kujua wewe ni mkatoliki? mbona wa kwetu umekuja kwa kasi hivyo wakati maswali haya yamemlenga mtu na kwa kusudi maalumu?

Msimamo wako ni nini? kanisa katoliki kusema JK chaguo la Mungu ni vibaya au vizuri? au hutaki kuamini kuwa walishawahi kusema, au sijaelewa kabla ya kunipa dhabu zako ni vizuri ukawa muwazi,

kumbuka maswali haya yalilenga kwa Tumaini, sasa kwa sababu umelidandia naomba uwe muwazi, maana kwa haraka naona uko upande wangu, ila hujajua saikolojia yangu!!
 
Mkuu Eng. Waberoya

I

naonekana unapenda kuombwa radhi, unapenda kuweka watu kwenye makundi na unapenda kuwaita majina utakayo,hata mimi unaweza kufanya hivyo kama kwako hiyo ni adhabu nzuri
!

Wape nimeomba kuombwa Radhi? Nimekuweka kundi gani? Toa ushahidi ni nani nimemuweka katika kundi gani

kabla sijakupa jibu lako nataka kujua wewe ni mkatoliki? mbona wa kwetu umekuja kwa kasi hivyo wakati maswali haya yamemlenga mtu na kwa kusudi maalumu?

Nimekuuliza swali bila kuhitaji kujua dhehebu lako sasa ya nini kujua langu?

Msimamo wako ni nini? kanisa katoliki kusema JK chaguo la Mungu ni vibaya au vizuri? au hutaki kuamini kuwa walishawahi kusema, au sijaelewa kabla ya kunipa dhabu zako ni vizuri ukawa muwazi,

Toa ushahidi wa Nukuu, nikija hapa nikasema Waberoya alisema Ndege ya Uchumi ni Chaguo la Mungu bila kutoa Ushahidi au Nukuu nitakuwa muongo

kumbuka maswali haya yalilenga kwa Tumaini, sasa kwa sababu umelidandia naomba uwe muwazi, maana kwa haraka naona uko upande wangu, ila hujajua saikolojia yangu!!

Mkuu huwa nakuwaga upande wako kwa mambo mengi hasa yale unayoongea kwa ushahidi lakini si haya ya kusema bila ushahidi
 
Mkuu Eng. Waberoya

http://www.blogcatalog.com/blog/thomcom/3717ae5e7cbddc69bd641d8aef3c92f5

http://ngurumo.blogspot.com/2007/01/kikwete-vua-ngozi-ya-mkapa-uwe-shujaa.html

http://www.jambonetwork.com/blog/?p=8242 (maoni ya watu)

http://issamichuzi.blogspot.com/2009/07/kanisa-katoliki-laipa-shavu-serikali-ya.html

http://www.habaritanzania.com/new/a...asa-waambiwa-waache-kuchukia-viongozi-wa-dini

These links may give you highlights;

Lengo langu;

Viongozi wa makanisa ya kikristo kuanzia katoliki , lutheran , angalican n.k wote kwa namna moja au nyingine walikuwa wanamkubali na kumpenda JK. Hata kama kauli zao walizozitoa miaka 5 iliyopita hazitanukuliwa ontu au kupatikana kama unavyotaka wewe.

Lengo langu la kuumuliza hilo swali Tumaini ni kumweleza waz na kwa kina hakuna namna yoyote ambayo wakristo wamekuwa wakisema nchi hii lazima itawaliwe na wakristo! logically, nataka afute mawazo yake na kujiangalia kwenye kioo kuwa there is no way, wakatoliki wakaandika huo waraka, kuwa lazima nchi hii itawaliwe na waliolelewa na wakristo

Ndio maana nimemuuliza kijanja aweke hapa huo waraka aliousoma, nina hakika hajauona wala hajasoma, na amerukia kutoa maneno makali na mabaya juu ya wakristo!

Angalia kwenye post za Tumaini meseji yake akiyoiweka chini ''Kuwa Yesu si Mungu, ni mtu na mjume wa Mungu' umeshaona wapi mtu mzima anaweka ujumbe wake huo unaoonyesha ana chuki za wazi kabisa na wakristo.

Sikutaka uingilie hapa, ila imebidi, I can not condemn baadhi ya wakatoliki au wakritso waliokuwa wanampenda JK, na hao waliokuwa wanampenda JK hata kusema ni chaguo la Mungu, wanaweka wazi kuwa , hakuna kwa namna yoyote nchi hii kuwa wakristo wanawachukia waislam.This alone could have made Tumain to realise his thoughts

angalia Tumaini anavyotaka tuamini.

watu wa aina ya Tumaini na wengine nitakao waexpose hivi karibuni wanawaza udini na wanataka kuleta udini.

Nenda kwenye hospitali na shule za kikatoliki hutakuta mtu wa imani nyingine anabaguliwa, they treat all people the same.

Sorry for that, but it is true kuna baadhi ya viongozi wa wakatoliki na makanisa mengine walisema Kikwete Chaguo la Mungu, alianza Mapunda dsm, akaja askofu mmoja Songea na Zanzibar, but trust me they did that kwa mapenzi yao, na jamii inachukulia ni kanisa, na hatuwezi kukwepa kuwa sio viongozi wanapotoa sentensi zinazokinzana na hali halisi, ila ni viongozi wanavyotoa sentensi zinazokubaliana na sisi!

I think that is how the world is , unless I have strange experince.....
 
Back
Top Bottom