Unataka watamke na kuukataa mara ngapi ? Wao wamesema waraka wao wa mwanzo umesimama na ndiyo waraka pekee . Mbona hamuuleti hapa tuanmgalie kuanzia majina na sahihi ? Maana ukiwa hapa kila kitu kitaonekana waandishe waweke ngoma hapa badala ya kuandika habri tupu . Kanisa Katoliki hawawezi kukimbia maandiko yao hawana uoga huo. Kama huamini ngojea rungu la Pengo maana amekaa anautafuta ukweli then utamsikia
Iwapo walitaka huo Waraka usitufikie sisi mimi na wewe bali ni kwa viongozi wao tu unategemea wataukubali ?au yuko alie na akili mtindio wa kuandika jina lake, lengo la siri linabaki siri na hawa watu wameshawahi kufikiana muafaka na serikali juu ya mstakabali ya jamii jee walishatangaza?