Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

Lugha ya huo waraka ina 'harufu' ya wafitini wa Kanisa Katoliki. Sijawahi kuona Kanisa Katoliki likiandika waraka unaosambazwa kwa maaksofu, mapadre na wachungaji na usio na jina la mwandishi wala publisher. Ni lini Kanisa Katoliki likawa na wachungaji? Ni akina nani hawa? Na mwandishi ni nani: maaskofu, mapadre au wachungaji?

Ila tukinusanusa tutakuja kugundua kwamba walioutunga ni wale wanaousambaza pia!
Wakatoliki ndio wameamua kuichafua CCM na CUF, kwa kupitia njia kama hizo.

Hawawezi kuandika waraka ulio wazi kama ule wa mwanzo, kwa sababu joto yake ya ule wa mwanzo walishaupata. Kwa vile lengo lao bado halijatimia basi watakuja kwa rangi tofauti na kutumia watu aina tofauti ikibidi hata wasio wakatoliki.

Watanzania wameamka si wale waliokuwa wakidanganywadanganywa kila siku, hususan kwa kutumia mapadre, maaskofu na makadinali.

Ninachoamini ni kwamba, huo waraka umeandikwa na viongozi wa kanisa katoliki, lakini unawezekana kuwa si wa kiofisi. Ninamaanisha kuwa umeandikwa na viongozi bila kupitia taratibu maalum za kanisa. Kuna uwezekano kuwa kitengo cha propaganda hapo makao makuu ndicho kilichotumika kufanya kazi hiyo, kwani lengo la safari ya barua ya kwanza iliyoanza mwezi wa 7 bado halijatimia.

Janja yao imegundulika. Tuachieni TZ yetu ya amani.
 
Uleteni hapa tuanike umbumbumbu wa Masheik wa Bongo tukiwaambia elimu Dunia muhimu ohoo mnabisha! sasa Misikiti imekuwa sehemu za kuchapisha nyaraka sio? Mtaendelea kutumiwa na wanasiasa kila siku!
 
Haya ndio mazingira halisi ya nchi yetu. Kwangu si jambo la kushangaza kuusikia waraka kama huo. Na nyingi nyingine zitakuja, kwani tatizo ni kutoka kwa ule waraka wa kwanza wa katoliki.

Kuwa Katoliki liliikumbatia na kutawala kupitia CCM siku za nyuma, ni maelezo yanayojieleza wazi hapa chini. Soma nukuu hii kwa makini.

"Kadhalika waraka huo unaenda mbali na kudai kuwa vyama vya CCM na CUF kwa sasa havifai kwa kanisa kwa kuwa vimekuwa mithili ya mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo, huku ukitahadhariha kuwa Mahakama ya Kadhi na OIC ni hatari kwa Ukristo."

Kama hivi leo havifai, ni lini vilifaa na kwanini?
Hebu angalia mapendekezo ya chama mbadala katika nukuu hapa chini. (Kwa bahati mbaya sijasikia tamko lolote lile juu ya kauli hii toka kwa viongozi wa CHADEMA) lAKINI HASA NI NINI MAANA YAKE?

"Mwelekeo wa kanisa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu kwa wakristo wote Tanzania kwa chama chetu cha CHADEMA katika uchaguzi ujao ili maslahi ya kanisa yarudi kama zamani,” unadai waraka huo."

Je wewe mwananchi unakubaliana na hilo. Kuwa CHADEMA inamvuto wa kikatoliki si siri.Na ushahidi kamili unajitokeza pale ambapo CHADEMA ina ushirikiano wa moja kwa moja na chama cha CHRISTIAN DEMOCRATIC PARTY (CDU) cha ujerumani. Si hivyo tu bali hata msaada mkubwa wapesa za kampeni huchangiwa toka katika shirikishi la kanisa katoliki la ujerumani na matajiri wa kijerumani wenye mgusu na msimamo mkali wa kikatoliki.

Ni kweli watanzania tunahitaji kukikabidhi madaraka chama chenye maadili ya aina hiyo. Yote tisa lakini ni muhimu tujifunze toka kwa jirani zetu Rwanda, Burundi na hata Kongo.

Mpaka hatujapata vyama mbadala kwa CCM, NI VYEMA KUBAKI NA ZIMWI LIKUJUALO.
mawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........

HIVI ULE WA WAISLAMU SI ULISAINIWA..........???? NA ULE WA WAKATOLIKI SI ULISAINIWA.........???? NA KWA KUSAINIWA WOTE TUKAAMINI KUWA IMETOLEWA NA DINI HIZO..... HALAFU NA HIZO DINI HAZIKUKANA........... KITU GANI KINAKUFANYA UAMINI KUWA HUU USIO NA SAHIHI WALA JINA LA MTOAJI NI WA WAKATOLIKI............. WE UKIAMBIWA TU HUFANYI UCHUNGU NA KUTUMWAGIA DATA UNAAMINI TUUUUUUUU......... KUNA SIKU UTAAMBIWA HUYO UNAYEMWITA BABA SI BABA YAKO HALAFU NALO ULIAMINI BILA KUCHUNGUZA..............!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanaukinbia waraka wao?!! na bado wataumbuka sana safari hii!! kwikwikwikwikwikwi........
 
mawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........

HIVI ULE WA WAISLAMU SI ULISAINIWA..........???? NA ULE WA WAKATOLIKI SI ULISAINIWA.........???? NA KWA KUSAINIWA WOTE TUKAAMINI KUWA IMETOLEWA NA DINI HIZO..... HALAFU NA HIZO DINI HAZIKUKANA........... KITU GANI KINAKUFANYA UAMINI KUWA HUU USIO NA SAHIHI WALA JINA LA MTOAJI NI WA WAKATOLIKI............. WE UKIAMBIWA TU HUFANYI UCHUNGU NA KUTUMWAGIA DATA UNAAMINI TUUUUUUUU......... KUNA SIKU UTAAMBIWA HUYO UNAYEMWITA BABA SI BABA YAKO HALAFU NALO ULIAMINI BILA KUCHUNGUZA..............!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna watu wameubuni ili wauweke mdomoni mwa Wakatoliki na kuwaaminisha watu wao: 'Unaona Wakatoliki wanavyofanya na sisi tufanye hivi...'! Ila kama wana usalama watafanya kazi vizuri, utakuta kuwa wanaousambaza au washirika wao ndio walioutunga pia.
 
kanisa linatakiwa kuendelea kuelimisha wananchi jinsi gani wataondokana na umasikini kwa kupata watu wasio na choyo. Viongozi wa mifano na siyo Chadema au C.C.M. au udini. Nini ni haki ya Mtanzania?

Wakina MKAPA na wenzake siwalikuwa wanalala makanisani? kanisa limewasaidia nini zaidi ya kuendeleza ufisadi? si ndo makanisa hayohayo yanayo pokea na kujengwa kwa pesa za mafisadi wakina Rostom Azizi? wewe nini banaaaa!
 
mawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........

HIVI ULE WA WAISLAMU SI ULISAINIWA..........???? NA ULE WA WAKATOLIKI SI ULISAINIWA.........???? NA KWA KUSAINIWA WOTE TUKAAMINI KUWA IMETOLEWA NA DINI HIZO..... HALAFU NA HIZO DINI HAZIKUKANA........... KITU GANI KINAKUFANYA UAMINI KUWA HUU USIO NA SAHIHI WALA JINA LA MTOAJI NI WA WAKATOLIKI............. WE UKIAMBIWA TU HUFANYI UCHUNGU NA KUTUMWAGIA DATA UNAAMINI TUUUUUUUU......... KUNA SIKU UTAAMBIWA HUYO UNAYEMWITA BABA SI BABA YAKO HALAFU NALO ULIAMINI BILA KUCHUNGUZA..............!!!!!!!!!!!!!!!
Acha jazba na njoo tujadili kile kinachotusibu na kile tunachokiamini. Soma hoja zangu nyingine No

Kifupi naamini kuwa nyaraka nyingi zitafuata, kama sehemu ya kampeni kama ilivyokuwa nyaraka ya kwanza ya katoliki. Lakini nyaraka zijazo hazitakuwa za kiofisi zaidi kama ilivyojionyesha hii. Kisa ni kuepukana na mikwaruzo na serikali.

Ikiwa wewwe unaamini vinginevyo, sikukatazi na unayonafasi kueleza kile unachoamini. Ninachopenda uelewe ni kwamba Siasa ni mchezo mchafu, awe Rwakatare au Pengo pindi akijiingiza katika siasa hawezi kuepukana na maneno hayo. Hivyo ndivyo ninavyoamini.

Na kwa maana hiyo ndio maana kulikuwa na usemi kuwa ya Kaisari muachie Kaisari, na ya Munu muachie Mungu.

Bado ninaamini kuwa waraka huu bila ya kuangalia wapi unagawiwa, kuwa umesukwa na kanisa katoliki kwa siri.
 
UKISIKIA KITU NA UKAKIKUBALI BILA KUFANYA UCHUNGUZI........ unaonyesha jinsi ambavyo unaendeshwa na hisia...... wenyewe wameukana halafu wewe unasema ni wa kwao.....MWAGA USHAHIDI.......

MWAGA USHAHIDI........

Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.

Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)

Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...
 
Tumain, are you for real ? Because if you are, then the mystery is solved. This is exactly the way the real originators of the so called waraka would have wanted people like you to reason. Now the fact that you are following their line of thought to the letter explains a lot about the people behind it. They share with you one thing in common and that is the determination to come to the defence of JK at all cost - but sorry it wont work - not this time. It is a move that is just plain childish and dumb - the man occupying Ikulu is inept, period.
 
wewe acha upotoshaji, inaoneka hata waraka wenyewe hukusoma, kama ulisoma unamatatizo. Jamaa ninyi mnamatatizo sana, mnaleta matatizo dunia nzima, wala hamleti amani, hamuoni kama mnamatatizo ninyi? achana na upotoshaji, hausaidii bali unabomoa.
 
Can't bili kuna hii mitizamo tanzania siku hizi, anyways time will tell......... But any sensible man will smell a rat!!!!
 
Tumain, are you for real ? Because if you are, then the mystery is solved. This is exactly the way the real originators of the so called waraka would have wanted people like you to reason. Now the fact that you are following their line of thought to the letter explains a lot about the people behind it. They share with you one thing in common and that is the determination to come to the defence of JK at all cost - but sorry it wont work - not this time. It is a move that is just plain childish and dumb - the man occupying Ikulu is inept, period.

Oh Gosh JK has nothimg to do with ill intention of catholic church-their move is just plain childish and dumb thats is true

Thats why we have to expose their stupidity

JK kama hawamtaki go to election si unatumia waraka stupid!
 
wewe acha upotoshaji, inaoneka hata waraka wenyewe hukusoma, kama ulisoma unamatatizo. Jamaa ninyi mnamatatizo sana, mnaleta matatizo dunia nzima, wala hamleti amani, hamuoni kama mnamatatizo ninyi? achana na upotoshaji, hausaidii bali unabomoa.

Mimi naona unalalamika tu huna hoja, kweli catholic church ni tatizo duniani inabaidi tuanze kuliangaza wanabomoa
 
Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.

Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)

Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...

Waraka wa Wakatoliki unagawiwa makanisani na unauzwa kwenye Catholic bookshops. Unaogawiwa msikitini umetokea hukohuko msikitini.
 
KWELI WATANZANIA TUNAPENDA KUPOTEA

Watanzania wenzangu muda huu tunapoendelea kulumbana juu ya nani anamtaka wa dini gani, nani ni hatari kwa dini ipi.... na kuendelea kuzalisha chuki dhidi ya wenyewe kwa wenyewe wenzetu ndio wanapata fursa nzuri ya kuendelea kunyonya raslimali zetu kwa maslahi ya nchi zao.

Tangu lini dini ya mtu ikahusiana na maendeleo ya nchi.....je China ni nchi ya kidini? wao ni wakristo ? au ni waislamu? je wameangaika na nyaraka za kidini kuleta maendeleo yao? but look at what they have today THE MOST RESPECTED HIGH POPULATION WITH SUFFICIENT PURCHASING POWER. Wana sufficient internal market as well as external market share. Waangalie Europe wako busy kuunganisha nguvu zao mpaka wana sarafu moja, wamerahisisha milango ya biashara kati yao, nchi kama uturuki ambayo ni ya kiislamu imeona vema kujiunga na umoja huo kwa maslahi ya kiuchumi ya nchi. Wanachoongelea kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi ni maendeleo.

Waangalie India -the Most qualitative high population of hardworkers who are least priced. Hawa wamekuwa kimbilio la Dunia nzima hasa International Corporations( kwa mfano Microsoft) kwa ajili ya kuajiri. Angalia jinsi wanavyoitetemesha dunia. Je vyombo vyao vya habari, viongozi wao wa kisiasa na kidini na wananchi kwa ujumla wana-accomodate mashindano ya kidini kana kwamba ndio msingi wa maendeleo?

Nikimkumbuka Baba wa Taifa ambaye japo amekwishaondoka duniani lakini yuko hai kuliko viongozi wengi tulionao alishatuonyesha kuwa udini, ukabila na ubaguzi mwingine ni ishara ya kuwa anayeutumia ni mbovu na hana namna nyingine ya kuthibitisha uwezo wake ili kustahili kuchaguliwa.

Hivi why don't we think about the future of this country and our share in the worlds economic bread in this current age of dot com generation, China Superpower, India emerge, European Union, Euro, G8, G20,Environment concerns, Gender sensitivity, HIV AIDS, Alternative energy sources, military and intelligency cooperations, World market Scrumble, Black US President, Money Laundering, Terrorism, Drug Abuse, Nuclear power struggle, Oil Explorations in Uganda , Rwanda and Burundi Recoveries, Scrumble and Pertition of Congo by almost the whole world, World Cup in South Africa and so many issues. Mind you these issues have a lot to do with the future of our country in 5, 10, 20 50, 100, 1000 years to come. We should not be so selfish to only think about our selves and lose the future of our children, grand children etc etc.......

We need leaders who think at least within the perimeters of the above para.. Who would merge the above issues of the current world to the resources we have...minerals, lakes, Ocean, Mountains, Kiswahili, National Parks, rivers, islands, Naturally fertile Soil, Land, Harmony and somekind of peace, a little non-tribalism, non-extreme weather..politeness of Tanzanians e.t.c and the result should be to utilize opportunities available to benefit our country Tanzania.

With UDINI HUU...Hatufiki kokote.... na Image yetu itakuwa nchi ya waendekeza udini, wauaji wa maalbino, wamalizikao kwa ukimwi, wanyanyasaji kijinsia, wavivu, wauzao nchi yao kwa wageni kwa maslahi binafsi( ili anko aende shule marekani)...

Ngoja niwaeleze ni kwa kusudi gani hawa wanaoendekeza udini huwa wanagombea. Niliyoandika hapo juu... hawataki hata kuyasikia au kuyaelewa.. sababu kubwa kwao ni kugombea ili wanapoingia madarakani wapate ULAJI..... ili wanunue mashamba, viwanja na Majumba kwa ajili ya familia zao kwa kupitia kusaini mikataba kipuuzi ya kuuza nchi yetu kwa wageni, Ufisadi wa kuua mashirika yetu kwa kuyauza kwa wahujumu wa nchi yetu bila kujali kwa kuwa wanajua madhara yatakapotokea watakuwa hawapo duniani...kwa sababu ya uendekezaji wao wa ngono, kuoa wake wapya kila mwezi maana pesa ya ufisadi ipo, kununua magari ya kifahari kwa pesa wanazoiibia serikali....yaani ni wataalamu wa misheni Town zinazoua nchi hii.

Sasa matapeli mafisadi hawa inapofika wakati wa uchaguzi hawana cha kujitetea kwa wananchi zaidi ya kuanzisha propaganda za kishenzi ili kufunika ukweli wa mambo. Haya ya kushutumiana watanzania na kushambuliana KIDINI NI PROPAGANDA TU ZA KISHENZI.

TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU...ACHENI UPUMBAVU...KAMA UNA ISHU ZAKO ZA KIDINI AU DINI YAKO IMO HATARINI SI UONGEE NA MUNGU WA DINI YAKO ASHUGHULIKE. KWA NINI UAMUE KUWA SIASA NDIO KITABU KITAKATIFU AU KITUKUFU CHA DINI YAKO.

MNATUCHANGANYA....TUONDOLEENI UPUMBAVU HUU. TUNATAKA MAENDELEO. HIZO NYARAKA ZIWE ZIMETOKA WAPI AU WAPI SIYO JAMBO LA MSINGI KWETU NA HAIONGEZI KIPATO CHA SISI WANYONGE.

KWENDENI ZENU!!!!!!!!!!!!!!!

akashube-Mtu wa Mungu
 
Niliwahi kukuta katoto kachanga kametupwa jalalani huko Arusha Tanzania...sikuwa na uhakika kalikuwa kaislamu, au kakristo, budha, hindu, kayahudi au dini yeyote ya mtoto huyo au aliyemtupa hapo...lakini nilikuwa na uhakika kuwa alikuwa ni Mtanzania Mwenzangu...MASKINI MTOTO YULE
 
Navyoona hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho nadhani hii ni ishara njema ya janja ya mafisadi na vijifisadi kuhitimika.Kwani hao wasiompenda Kikwete na utawala wake ndio hao mafisadi walioguswa na juhudi na kazi za Utawala huu,ambao awamu zote tatu walikuwa wanakula kikubwa kwa kuiba.sasa wamefichuliwa roho zinawauma wana wasiwasi wa maisha na hofu ya kunyang'anywa mali za wizi.Je uliyajua ya viongozi waheshimiwa wakubwa serikalini na kashfa zao nzitonzito katika awamu zilizopita na ubadhirifu wanaoufanya kwa sura za usinione na tabasamu kwako kila kukicha?

Hongera mheshiwa rais unafanya kazi kwa kweli,ni mengi umeyafichua ambayo hayakustahili kufichuliwa asilani ili kuwatafuna tabaka fulani la wananchi wa taifa hili letu sote.Hii si nchi ya hao,hawa!! hii ni nchi ya watu wote jamani.Kitu kimoja hakieleki ama hakiingii akilini si huyu Kikwete aliyesemwa ni chaguo la MUNGU? ama huyu ni mdogo wake?,sitaki kufikiria kama MUNGU akichagua lake hukosea labda kama MUNGU wa baniani ama MUNGU mtu.

Kama makosa kila aliyetawala nchi hii amekosea mahali ana mahali maefanya vizuri na hii ndiyo maana tuakaitwa binaadamu,ama mmesahau hata msichana mzuri ana kasoro zake? Binaadamu kama kilihafu hakosi uchafu.msipende kuongelea makosa/ubaya wa mwenzio kabla hujaongelea wa kwako kwanza.
 
KWELI WATANZANIA TUNAPENDA KUPOTEA

Watanzania wenzangu muda huu tunapoendelea kulumbana juu ya nani anamtaka wa dini gani, nani ni hatari kwa dini ipi.... na kuendelea kuzalisha chuki dhidi ya wenyewe kwa wenyewe wenzetu ndio wanapata fursa nzuri ya kuendelea kunyonya raslimali zetu kwa maslahi ya nchi zao.

Tangu lini dini ya mtu ikahusiana na maendeleo ya nchi.....je China ni nchi ya kidini? wao ni wakristo ? au ni waislamu? je wameangaika na nyaraka za kidini kuleta maendeleo yao? but look at what they have today THE MOST RESPECTED HIGH POPULATION WITH SUFFICIENT PURCHASING POWER. Wana sufficient internal market as well as external market share. Waangalie Europe wako busy kuunganisha nguvu zao mpaka wana sarafu moja, wamerahisisha milango ya biashara kati yao, nchi kama uturuki ambayo ni ya kiislamu imeona vema kujiunga na umoja huo kwa maslahi ya kiuchumi ya nchi. Wanachoongelea kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi ni maendeleo.

Waangalie India -the Most qualitative high population of hardworkers who are least priced. Hawa wamekuwa kimbilio la Dunia nzima hasa International Corporations( kwa mfano Microsoft) kwa ajili ya kuajiri. Angalia jinsi wanavyoitetemesha dunia. Je vyombo vyao vya habari, viongozi wao wa kisiasa na kidini na wananchi kwa ujumla wana-accomodate mashindano ya kidini kana kwamba ndio msingi wa maendeleo?

Nikimkumbuka Baba wa Taifa ambaye japo amekwishaondoka duniani lakini yuko hai kuliko viongozi wengi tulionao alishatuonyesha kuwa udini, ukabila na ubaguzi mwingine ni ishara ya kuwa anayeutumia ni mbovu na hana namna nyingine ya kuthibitisha uwezo wake ili kustahili kuchaguliwa.

Hivi why don't we think about the future of this country and our share in the worlds economic bread in this current age of dot com generation, China Superpower, India emerge, European Union, Euro, G8, G20,Environment concerns, Gender sensitivity, HIV AIDS, Alternative energy sources, military and intelligency cooperations, World market Scrumble, Black US President, Money Laundering, Terrorism, Drug Abuse, Nuclear power struggle, Oil Explorations in Uganda , Rwanda and Burundi Recoveries, Scrumble and Pertition of Congo by almost the whole world, World Cup in South Africa and so many issues. Mind you these issues have a lot to do with the future of our country in 5, 10, 20 50, 100, 1000 years to come. We should not be so selfish to only think about our selves and lose the future of our children, grand children etc etc.......

We need leaders who think at least within the perimeters of the above para.. Who would merge the above issues of the current world to the resources we have...minerals, lakes, Ocean, Mountains, Kiswahili, National Parks, rivers, islands, Naturally fertile Soil, Land, Harmony and somekind of peace, a little non-tribalism, non-extreme weather..politeness of Tanzanians e.t.c and the result should be to utilize opportunities available to benefit our country Tanzania.

With UDINI HUU...Hatufiki kokote.... na Image yetu itakuwa nchi ya waendekeza udini, wauaji wa maalbino, wamalizikao kwa ukimwi, wanyanyasaji kijinsia, wavivu, wauzao nchi yao kwa wageni kwa maslahi binafsi( ili anko aende shule marekani)...

Ngoja niwaeleze ni kwa kusudi gani hawa wanaoendekeza udini huwa wanagombea. Niliyoandika hapo juu... hawataki hata kuyasikia au kuyaelewa.. sababu kubwa kwao ni kugombea ili wanapoingia madarakani wapate ULAJI..... ili wanunue mashamba, viwanja na Majumba kwa ajili ya familia zao kwa kupitia kusaini mikataba kipuuzi ya kuuza nchi yetu kwa wageni, Ufisadi wa kuua mashirika yetu kwa kuyauza kwa wahujumu wa nchi yetu bila kujali kwa kuwa wanajua madhara yatakapotokea watakuwa hawapo duniani...kwa sababu ya uendekezaji wao wa ngono, kuoa wake wapya kila mwezi maana pesa ya ufisadi ipo, kununua magari ya kifahari kwa pesa wanazoiibia serikali....yaani ni wataalamu wa misheni Town zinazoua nchi hii.

Sasa matapeli mafisadi hawa inapofika wakati wa uchaguzi hawana cha kujitetea kwa wananchi zaidi ya kuanzisha propaganda za kishenzi ili kufunika ukweli wa mambo. Haya ya kushutumiana watanzania na kushambuliana KIDINI NI PROPAGANDA TU ZA KISHENZI.

TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU...ACHENI UPUMBAVU...KAMA UNA ISHU ZAKO ZA KIDINI AU DINI YAKO IMO HATARINI SI UONGEE NA MUNGU WA DINI YAKO ASHUGHULIKE. KWA NINI UAMUE KUWA SIASA NDIO KITABU KITAKATIFU AU KITUKUFU CHA DINI YAKO.

MNATUCHANGANYA....TUONDOLEENI UPUMBAVU HUU. TUNATAKA MAENDELEO. HIZO NYARAKA ZIWE ZIMETOKA WAPI AU WAPI SIYO JAMBO LA MSINGI KWETU NA HAIONGEZI KIPATO CHA SISI WANYONGE.

KWENDENI ZENU!!!!!!!!!!!!!!!

akashube-Mtu wa Mungu

Haya ni maneno mazito sana MUNGU AKUBARIKI.
 
Waraka wa Wakatoliki unagawiwa makanisani na unauzwa kwenye Catholic bookshops. Unaogawiwa msikitini umetokea hukohuko msikitini.
Hujui usemelo. Rudi nyuma na usome hoja za wenzako pale nilipoandika kuwa waraka ule ungawiwa makanisani.

Majibu yao yalikuwa kama ifuatavyo: Waraka unawahusu wote na unagawiwa pahala popote makanisani, misikitini hata vijijini. Pia unauzwa katika maduka ya vitabu.

Sasa unaona unavyojipinga. Unajua wakatoliki mna kauli tofauti kwa swala moja, hapo ndio taabu ilipo. Kwa maneno rahisi ni sawa na kuwaita wanafiki, samahani siwatusi bali sina neno jingine la kuwapichika.

Mimi naamini kuwa warakahuo umeandfikwa na kanisa katoliki na nyingi nyingine zitafuata kama sehemu ya kampeni. Tatizo , mnadhani kuwa nchi sasa hivi imetekwa na waisalam, kitu ambacho sio.

Tafuta takwimu uone wabunge bara kati ya waislam na wakristo ni uwiano gani. Sijakueleza juu ya wafanyakazi wa serikali hapo utacheka kama unasura ya kinyama na utalia kama una sura ya kibinaadam.
 
Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.

Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)

Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...
Hii nyundo imetua utosini. Walidai ushahidi wamepata, na nawaona jinsi wanavyopata kigugmizi cha ukubwani.

Hakuna hata mmoja aliyetoa sababu za maana, bali ni kuhaqngaika tu na hatimaye kuuliza, eti are you serious? kwani tulikuja kucheza hapa. Tupo makini, sasa umepata jibu nawe toa la kwako.

Waraka umetolewa na wakatoliki, wote twajua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom