Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

Wakati wa Mwalimu Julius Nyerere kulikuwa na 'compulsory primary school education' (kila mtoto - Mkristo au asiwe Mkristo alitakiwa aende shule). Pili, kulikuwa na 'compulsory national service' (kila mhitimu wa elimu ya sekondari alitakiwa aende Jeshi la Kujenga Taifa). Kutoka huko, kila aliyefaulu vizuri aliweza kuendelea chuo kikuu au vyuo vya ufundi au pia kurudi nyumbani kuendelea na ufugaji, kilimo au biashara (kujiajiri).

Mimi nimesoma enzi hizo na dini haikuwa issue hata kidogo. Kama ilitokea Waislamu waliwazuia watoto wao kusoma ni tatizo lao wenyewe. Sehemu (Mtaa) ninakoishi wengi ni Waislamu. Nyumba ninayoishi ina baraza kubwa na watoto wengi wanacheza pale kuanzia saa moja asubuhi hadi saa 5 usiku. Yaani ni kero sana!

Hii inasema kitu gani? Kwamba hawaendi shule! Na wale wanaoenda, wakirudi badala ya kufanya homework, wanaenda madrassa. Hivyo, badala ya kuelekeza nguvu sehemu moja, unakuta watoto hawapati muda mzuri wa kufanya mazoezi ya shuleni. Matokeo yake ni kushindwa kwenye mitihani yao. Je, haya yanafanywa na Wakristo?

Hebu angalia wazazi wa Kikristo wanafanyaje: mtoto anaenda shule, akirudi anasimamiwa afanye homework baada ya kupumzika, akimaliza ndipo anaruhusiwa acheze (na ikiwezekana kama bado hajaelewa vizuri anapelekwa tuition). Kwa hiyo, mwamko wa kusoma uko zaidi kwa watoto kutoka familia za Kikristo au dini zingine kuliko ilivyo kwa watoto kutoka familia za Kiislamu.

Kwa mujibu wa Takwimu zilizo wazi inaonyesha kuwa Mikoa iliyokuwa na Waislamu wengi ilibezwa na hata sasa ushahidi bado upo naomba ulikane hilo.
Hivyo unakataa kuwa hakukuwa na upendeleo wa kidini sasa kulikuwa na maana gani Mikoa yenye Waislamu wengi ikawa na Shule za Sekondari chache sana? Inakuwaje nyie wenyewe kwa wenyewe huwa mnazungumzia Ukabila ndani ya Serikali? Hivyo huu ulianza sasa au wakati huo unaosema.
Kuhusu upendeleo wa kuwanyanyasa Waislamu kwenye nafasi za elimu hilo mtalikataa lakini mnalijuwa kuwa lilikuwepo kwa muda mrefu. Hivyo nani hajuwi Muislamu alivyokuwa akiandamwa katika vyuo vya elimu ya juu? Hivyo nani asiejuwa kuvaa baibui kunamfanya mvaaji awe na wakati mgumu na Wahadhiri?
Hata hivyo kauli yako si inathibitisha kuwa huo usawa haupo na unachofanya sasa ni kujustify kuwepo kwa hilo? Ningependa kukuuliza hivyo huhisi kuwa hii ni time Bomb kwani kitu ukibana sana kinapasuka kwa nguvu ? Hivyo huoni kuwa kwa kuwanyanyasa nusui ya raia ni kuzuia maendeleo?
 
Kweli hata sisi wa dini zingine tofauti na uislamu au ukristu tumepata somo kwa magobe T hapa......maandalizi ya kizazi kijacho... historia inafundisha kuwa ni kwa kanuni za kawaida za kiutu....unachopanda ndicho utakachovuna....je uko busy na kupanda nini kwa watoto wako...elimu....au udini na visasi...na kujilipua....na umimi....au unaweza kumsomesha maandiko ya kidini peke yake akapata humo humo fizikia, kemia, hisabati!!!???........sisi watoto wa baba mmoja Mwenyezi tujifunze kitu hapa.....wake up!!! its your choice.... unataka longolongo au facts...?????

Yako ni rubbish! Hivyo wale watoto wanaoomba mitaani ni waislamu wale? Kukosa nyenzo ya kusoma kusitafsiriwe kuwa ndio malezi yanayokusudiwa na mzazi.
Upendeleo wenu ndio uliofanya kukupeni nafasi katika Serikali na Taasisi nyengine na uwezo huo ndio unaokufanyeni muifanye Elimu iwe ya kulipia ili Waislamu wasio serikalini na kazi wasipate uwezo wa kusomesha watoto wao.
Hebu angali elimu ya juu na ujanja wenu! Si meanzisha Vyuo vingi vya kikiristo ili kutape mikopo na kuwapa elimu wafuasi wenu?
Waislamu wanajuwa janja zenu zote katika kuendeleza tofauti hii iendelee.
Ama hilo la kuripuwa naona kama inapofuliwa na chuki za kidini. Hivyo Waislamu wa Tanzania wangapi wameshajiripuwa? Na hao wanajiripuwa huko kwao ni watu waliona elimu bali unyanyasaji ndio unaopelekea kuchukuwa hatuwa. Waachieni wafanye mambo yao kama wataripuwana?
Jee wale mnaowauwa ndugu zetu Maalbino hilo ndio fundisho la ukristo?
 
Jee wale mnaowauwa ndugu zetu Maalbino hilo ndio fundisho la ukristo?[/QUOTE]

1. Watoto wanaoomba mitaani wengi wao ni product yako wewe uliyerubuni mabinti za watu ukawajaza mimba na kuwatoroka....

2. Inaonyesha nafasi uliyonayo wewe umependelewa ndiyo maana unafikiri kila mwenye nafasi amependelewa. NA UKOME KUTUKANA WATU...ALIYEKWAMBIA DINI NI UKRISTO NA UISLAMU TU NANI? kwanza kauli zako zinaonyesha wewe si muislamu hata kidogo maana muislamu thabiti hawezi kuandika pumba kama hizi ulizoandika.

Hivi vyuo vingi vya kikristo ndo vipi hivyo??...na mimi vinanihusu nini?.....HAPA nakuachia serikali...maana naona ugomvi wako na serikali unaupeleka kwingineeeee!!

Kuhusu kujilipua....nakubali ulichosema kuwa tuwaachie wanaojilipua....siongei zaidi labda ukilileta tena.

Sasa hilo la mwisho la maalbino kwa namna ulivyoliweka limeonyesha jinsi ulivyo adui wa nchi yetu na adui wa uislamu. Unataka kuonyesha kuwa waislamu wanaamini wakristo ndiyo wauaji wa maalbino....unaanzisha mada nyingine kabisa ya kipuuzi kama ulivyo mpuuzi kimgongomgongo. KWA HILI UMEONYESHA KUWA NIA YAKO SI KUTOA MAWAZO YA KUJENGA BALI YA KUBOMOA. NADHANI NITALAZIMIKA KUKUPUUZA...ENDAPO UTAONEKANA KUDHAMIRIA KUENDELEA KUANDIKA UPUMBAVU.

TANGU NIZALIWE sijawahi kusoma upumbavu kama huo ulioandika. Hivi wewe ni Ngekewa au Nuksi?
 
Kwa mujibu wa Takwimu zilizo wazi inaonyesha kuwa Mikoa iliyokuwa na Waislamu wengi ilibezwa na hata sasa ushahidi bado upo naomba ulikane hilo.
Hivyo unakataa kuwa hakukuwa na upendeleo wa kidini sasa kulikuwa na maana gani Mikoa yenye Waislamu wengi ikawa na Shule za Sekondari chache sana? Inakuwaje nyie wenyewe kwa wenyewe huwa mnazungumzia Ukabila ndani ya Serikali? Hivyo huu ulianza sasa au wakati huo unaosema.
Kuhusu upendeleo wa kuwanyanyasa Waislamu kwenye nafasi za elimu hilo mtalikataa lakini mnalijuwa kuwa lilikuwepo kwa muda mrefu. Hivyo nani hajuwi Muislamu alivyokuwa akiandamwa katika vyuo vya elimu ya juu? Hivyo nani asiejuwa kuvaa baibui kunamfanya mvaaji awe na wakati mgumu na Wahadhiri?
Hata hivyo kauli yako si inathibitisha kuwa huo usawa haupo na unachofanya sasa ni kujustify kuwepo kwa hilo? Ningependa kukuuliza hivyo huhisi kuwa hii ni time Bomb kwani kitu ukibana sana kinapasuka kwa nguvu ? Hivyo huoni kuwa kwa kuwanyanyasa nusui ya raia ni kuzuia maendeleo?

acha uongo kijana , mimi ni mhadhiri na wanafunzi wangu wazuri walikuwa waislam wanaovaa hijabu tena wengine wametoka zanzibar, acha uongo

Shule hizo unazoziita za kikristo zananzishwa na nani? serikali? no

zinaanzishwa na wazazi, watu binafsi na mashirika ya dini,je kwenye uislam shule za wazazi ziko ngapi, za watu binafsi, zilizoanzishwa na misikiti?? maana makanisa mengi yana sekondary mpaka vyuo vikuu!

Mkuu rudi kwenye historia waliowaletea dini waliwachukua utumwa na kujenga misikiti! wahindi walijenga shule na kuanzisha biashara,wamisionary walijenga shule, walichukua mali na kutuachia elimu.This is historical facts.shule zilizotaifishwa na serikali nyingi zilikuwa za kihidi na nyingi zilikuwa pwani!!! rudia historia yako! yet waislam hawakwenda kusoma

Leo hii niambie shule nzuir ya kiislam inayofanya vizuri mitihani ya kidato cha nne na sita! tatizo ni nini? mbona hamjiangalii? kushinda madrasa, kucheza bao, kuna encourage vijana kusoma? umaskini wa wazazi kutokana na kuoa wake wengi , mzazi anapta fedha ya ada??

kwa nini haungalii ***** lako kwanza kabla ya lawama?
 
Mtalumbana na kutukanana na wala hamtapata suluhisho, dini zenyewe mmletewa tu kutoka uarabuni na ulaya..ni tamaduni za watu, sasa mwazitukuza utafikiri ni tamaduni zenu...poleni sana. Zungumzieni maendeleo ya nchi yenu.Watawagawa kwa kutumia dini kwa faida zao! AMKENI , ulimwengu mnaoishi sasa ni wa ndoto , ishini real life! achaneni na kasumba za kizungu na kiarabu, ni bora kutukuza dini za kimila za mababu zetu..KAMA DINI NI MUHIMU...kuliko kutukuza dini za waliowatesa mababu zetu kupitia Utumwa na ukoloni.. na dini ikitumika kama silaha ya kuwapumbaza watu!!
Sasa mwaendelea kupumbazwa kufikiria zaidi dini kuliko maendeleo ya nchi yenu..!AMKENI..kama wewe ni mhafidhina ninachoongea hutakielewa hadi utakapofungua macho...!!!
 
Kwa mujibu wa Takwimu zilizo wazi inaonyesha kuwa Mikoa iliyokuwa na Waislamu wengi ilibezwa na hata sasa ushahidi bado upo naomba ulikane hilo.
Hivyo unakataa kuwa hakukuwa na upendeleo wa kidini sasa kulikuwa na maana gani Mikoa yenye Waislamu wengi ikawa na Shule za Sekondari chache sana? Inakuwaje nyie wenyewe kwa wenyewe huwa mnazungumzia Ukabila ndani ya Serikali? Hivyo huu ulianza sasa au wakati huo unaosema.
Kuhusu upendeleo wa kuwanyanyasa Waislamu kwenye nafasi za elimu hilo mtalikataa lakini mnalijuwa kuwa lilikuwepo kwa muda mrefu. Hivyo nani hajuwi Muislamu alivyokuwa akiandamwa katika vyuo vya elimu ya juu? Hivyo nani asiejuwa kuvaa baibui kunamfanya mvaaji awe na wakati mgumu na Wahadhiri?
Hata hivyo kauli yako si inathibitisha kuwa huo usawa haupo na unachofanya sasa ni kujustify kuwepo kwa hilo? Ningependa kukuuliza hivyo huhisi kuwa hii ni time Bomb kwani kitu ukibana sana kinapasuka kwa nguvu ? Hivyo huoni kuwa kwa kuwanyanyasa nusui ya raia ni kuzuia maendeleo?

Ninachoweza kukiri kuwa kipo ni 'misconception' na 'false information' mnayolishwa ili mkiweza kufanya vurugu mpate sympathy ya watakaowaunga mkono kwamba mnapigania haki.

Tafsiri yenu ya usawa ni kuwa na namba sawa hata kama uwezo haupo. Lakini tafsiri yangu ya usawa ni kutoa fursa sawa kwa Watanzania wote. Na inapokuja kuchaguliwa kuendelea na masomo au kupata kazi kitakachotumika siyo namba bali uwezo wa kufaulu (kimasomo au ujuzi wa kazi). Hivi huko kuonewa kwa Waislamu kulikuwa shule zipi wakati hata sisi tumesoma shule kukiwa na majina ya akina Mapunda, Malima, Rwaswema, Abdallah, Asha, Halima, Mohemed, John, Melksedeki, Daudi etc.

Nilishasema kwenye post yangu siku za hivi karibuni kuwa employer wangu ni Mwislamu lakini wafanyakazi wengi siyo Waislamu. Kama angekuwa Mkristo mgeweza kusema kuna ubaguzi na je kwa huyu mnasema nini au anawapendelea Wakrsito?

Lete hizo takwimu halafu uzielezee ni kwa namna gani zinaonesha zilibezwa. Ninajua mna uwezo mkubwa wa kubuni takwimu na hata historia. Kuna sheikh nilikuwa namsikiliza hivi karibuni kwenye radio mojawapo ya Kiislamu akisema historia ya Tanzania imepotoshwa. Na kwa kuanzia alisema Mwalimu Nyerere siyo Baba wa Taifa na wala hakuwa mwanzilishi wa Tanu. Waanzalishi walikuwa Waislamu ambao majina yao hadi leo hayatajwi hata mara moja kwa vile ni Waislamu.

Mwingine alikuwa akifundisha kwenye radio kuwa mahitaji makuu ya binadamu siyo matatu - chakula, malazi na mavazi - bali sita kulingana na dini ya Kiislamu: dini, familia, mali etc. Sheikh mwingine alikuwa akifundisha kuwa kalenda sahihi siyo ile tunayotumia leo hii bali ni ile kalenda ya Kiislamu.

Inavyoonekana kila kitu sahihi ni kile kinachofundishwa au kukubaliwa na Waislamu. Kama waumini fulani wanaelemishwa kwa namna hii, unafikiri hizo takwimu unazozitaja zitakosa kupatikana?
 
Hakuna pahala ambapo tutawajumuisha watu wa aina fulani kwa jambo fulani. Na kwa mantiki hiyo hiyo kuna uwezekano wa kkikundi ndani ya kundi fulani kikawa na malemgo yake na hapo unaweza ukapata jawabu kwanini iwe CHADEMA tu, au CCM tu (Isipokuwa CUF kwani ushirikiano wa watu wa kanisa na chama hichi si mzuri).
Naona imechukuwa muda mrefu kwa wewe kukubali kuwa kuna watu waliofanya hivyo kwa faida yao. Imechukuwa muda mrefu kwa wewe kuacha msimamo kuwa huu waraka umeandikwa na Waislamu.
Kwa maslaha ya kujadiliana hebu tuangalie kati ya pande mbili (ukristo na uislamu) upande gani unakuwa na nafasi nzuri ya kuwa wahusika wa huu waraka (tuchukulie ni kikundi ndani ya Waislamu aun Wakristo)?
Huu waraka maudhui yake yanafanana kabisa na ya ule wa mwanzo sasa kwa kuyarudia mauzui hayo nani anafaidika katika vikundi viwili hivi? Naamini wewe ni mtu wa kutafakari fanya hivyo.
Suwala la pili iwapo mtu unakataa kuwa wewe sio ulietowa uchochezi (ingawa pale mwanzo haukuwa uchochezi lakini sasa ni uchochezi kwa vile wewe sio ulioandika) nini wajibu wa kila mtu? Unafikiri kuukataa tu kunatosha?

My God! On the contrary, maudhui ya waraka fake siyo sawa na ya ule waraka genuine uliotolewa Januari 2009. Pili, una data kuonesha kuwa hakuna Wakatoliki walio wanachama wa CUF? Waraka fake unawaasa Wakatoliki kutochagua CCM wala CUF ila wachague Chadema tu. Kanisa Katoliki haliwezi kufanya upuuzi kama huo hata kidogo. Hata kama linaweza kufanya makosa siyo katika upuuzi wa waraka huu. Ndio maana nasema umetungwa na wajanja (wasiolitakia mema Kanisa Katoliki) na wenye hila mbaya za kuleta fitina za kidini.

Katika nchi nyingi tu (na siyo Tanzania pekee) Kanisa limekuwa likiandika nyaraka tena kali sana na kusaini majina. Ilishatokea nchini Malawi 1992 (by the way nchini Malawi aliyekuwa akipinga Serikali ya Dr Banda ilikuwa kufungwa, kupotea au kukutwa amekufa). Hata hivyo, maaskofu waliandika waraka kuikosowa Serikali na kusaini majina yao. Walikuwa 8 na pastoral administrator 1.

Baada ya huo waraka waliwekwa chini ya ulinzi na wakaitwa kujieleza kwa Dr Kamuzu Banda wakidiwa kumtukana Dr Banda lakini hawakubaidili kauli yao...

Waraka ulioandikwa (ule genuine) ulikuwa wa kawaida tu na hivyo haiwezekani maaskofu eti waanze kutoa nyaraka zisizo na majina halafu eti mje kusema ni wao; kwa nini msijishuku labda kuna baadhi ya viongozi wenu wameutunga kwa kutaka wapate pointi ya kuweka hoja zao?

Hivi ulishasoma nyaraka za Kanisa Katoliki na kuona zinavyoandikwa? Halafu kwa nini mkiambiwa muulete hapa mnakataa?
 
acha uongo kijana , mimi ni mhadhiri na wanafunzi wangu wazuri walikuwa waislam wanaovaa hijabu tena wengine wametoka zanzibar, acha uongo

Shule hizo unazoziita za kikristo zananzishwa na nani? serikali? no

zinaanzishwa na wazazi, watu binafsi na mashirika ya dini,je kwenye uislam shule za wazazi ziko ngapi, za watu binafsi, zilizoanzishwa na misikiti?? maana makanisa mengi yana sekondary mpaka vyuo vikuu!

Mkuu rudi kwenye historia waliowaletea dini waliwachukua utumwa na kujenga misikiti! wahindi walijenga shule na kuanzisha biashara,wamisionary walijenga shule, walichukua mali na kutuachia elimu.This is historical facts.shule zilizotaifishwa na serikali nyingi zilikuwa za kihidi na nyingi zilikuwa pwani!!! rudia historia yako! yet waislam hawakwenda kusoma

Leo hii niambie shule nzuir ya kiislam inayofanya vizuri mitihani ya kidato cha nne na sita! tatizo ni nini? mbona hamjiangalii? kushinda madrasa, kucheza bao, kuna encourage vijana kusoma? umaskini wa wazazi kutokana na kuoa wake wengi , mzazi anapta fedha ya ada??

kwa nini haungalii ***** lako kwanza kabla ya lawama?

Kwenda madrasa hakumzuii mtu kusoma sekondari acha mis-conception!

Kuoa wake wengi hakumzuii mtu kwenda shule?

Jiulize yafuatayo:
1. Shule za kanisa zinapata Tsh. Ngapi kwa mwaka kutoka serikalini mpaka leo? kama ruzuku (billion) na je kuna ruzuku kama hiyo kwa shule za kiislamu?(zero) kuna malalamiko NO

2. Shule zote zilipotaifishwa zikiwemo seminary za kiislamu ni seminari ngapi za kikristo ziliachwa kusomesha wakristo pekee?(Nyingi) za kiislamu (zero) Kuna malalamiko NO

3. Je unafahamu kwamba usahihishaji na uteuzi wa wanafunzi kwenda sekondari ulikuwa ukifanywa kwa majina kutoka 1961-1987 na wakati wote huo wanaofanya uchaguzi waliwapendelea wakristo? (kwa majina) na kazi hiyo ilifanyika bila aibu na serikali ya nyerere? ...miaka 26 iliyopita mlikuwa mkipendelewa katika uteuzi ...na hiyo mnafurahia kwasababu "mnapenda kupendelewa" aibu..embu kuwe na iabu na heshima, heshimuni waislamu kwakuwa kuwavumilivu..

4. Je unakumbuka kwamba mwaka 1987 prof. Kighoma malima alibadilisha utaratibu na kuweka mtindo wa namba katika kusahihisha na kuteua wanafunzi wa primary na Tangu wakati huo idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwenda sekondari iliongezeka mara mbili ..kama kawaida mapadre wakaanza kelele za udini??? wakrito hawapendi haki...

Bottom line: nyerere aliendekeza udini lakini kwa sasa waislamu wanajenga shule zao kwa kasi na inshallah kutakuwa na mabadiliko makubwa siku zijazo bila ruzuku kutoka serikali ...na hakuna anayewalalamikia?
Ila mikristo ikipata misaada kutoka serikalini is ok, kutoka kwa wahisani nchi za kikristo ok, waislamu wakitaka misaada kutoka kwa OIC udini? what type of thinking..ndugu zetu wakristo?
 
My God! On the contrary, maudhui ya waraka fake siyo sawa na ya ule waraka genuine uliotolewa Januari 2009. Pili, una data kuonesha kuwa hakuna Wakatoliki walio wanachama wa CUF? Waraka fake unawaasa Wakatoliki kutochagua CCM wala CUF ila wachague Chadema tu. Kanisa Katoliki haliwezi kufanya upuuzi kama huo hata kidogo. Hata kama linaweza kufanya makosa siyo katika upuuzi wa waraka huu. Ndio maana nasema umetungwa na wajanja (wasiolitakia mema Kanisa Katoliki) na wenye hila mbaya za kuleta fitina za kidini.

Katika nchi nyingi tu (na siyo Tanzania pekee) Kanisa limekuwa likiandika nyaraka tena kali sana na kusaini majina. Ilishatokea nchini Malawi 1992 (by the way nchini Malawi aliyekuwa akipinga Serikali ya Dr Banda ilikuwa kufungwa, kupotea au kukutwa amekufa). Hata hivyo, maaskofu waliandika waraka kuikosowa Serikali na kusaini majina yao. Walikuwa 8 na pastoral administrator 1.

Baada ya huo waraka waliwekwa chini ya ulinzi na wakaitwa kujieleza kwa Dr Kamuzu Banda wakidiwa kumtukana Dr Banda lakini hawakubaidili kauli yao...

Waraka ulioandikwa (ule genuine) ulikuwa wa kawaida tu na hivyo haiwezekani maaskofu eti waanze kutoa nyaraka zisizo na majina halafu eti mje kusema ni wao; kwa nini msijishuku labda kuna baadhi ya viongozi wenu wameutunga kwa kutaka wapate pointi ya kuweka hoja zao?

Hivi ulishasoma nyaraka za Kanisa Katoliki na kuona zinavyoandikwa? Halafu kwa nini mkiambiwa muulete hapa mnakataa?
Je maudhui ya waraka wa kwanza hakusisitiza wakristo kuchagua viongozi waliolelewa kikristo na huoni kwamba kwasasa ni chadema tu ndio yenye potential candidate ya kuwa mkristo? wakati CUF na CCM watakuwa waislamu? ndio maana waraka wa pili ulipeleka directive wasichague CUF na CCM hawakulelewa kikristo ati? unabisha kwa hilo? maudhui yanalenga kupata viongozi wakristo ati? huelewi.

Waraka wa kwanza haukupinga swala la OIC ndiyo, je wa pili umepinga swala la OIC ndiyo maudhui ni yaleyale msipende kupeleka uchafu wenu kwa wengine..nia ya kanisa Tanzania ni OVU na hatari sana

Waraka wa kwanza haukupinga swala la Mahakama ya kadhi ndiyo, je wapili umepinga ndiyo maudhui ni yale yale wala kuandika na kutoandika majina siyo issue ndio ujasusi/ umafia wenu huo nuksi

Waraka wa kwanza uko addressed kwa wakristo na utafundishwa na viongozi wa kanisa katika jumuiya na wakuu wa kanisa watakuwa ndio wafundishaji na waraka wa pili uko adressed kwa wakristo kuwa waangalifu na viongozi watakowachagua..wawe wakristo shame on you...
 
Kwenda madrasa hakumzuii mtu kusoma sekondari acha mis-conception!

Kuoa wake wengi hakumzuii mtu kwenda shule?

Jiulize yafuatayo:
1. Shule za kanisa zinapata Tsh. Ngapi kwa mwaka kutoka serikalini mpaka leo? kama ruzuku (billion) na je kuna ruzuku kama hiyo kwa shule za kiislamu?(zero) kuna malalamiko NO

2. Shule zote zilipotaifishwa zikiwemo seminary za kiislamu ni seminari ngapi za kikristo ziliachwa kusomesha wakristo pekee?(Nyingi) za kiislamu (zero) Kuna malalamiko NO

3. Je unafahamu kwamba usahihishaji na uteuzi wa wanafunzi kwenda sekondari ulikuwa ukifanywa kwa majina kutoka 1961-1987 na wakati wote huo wanaofanya uchaguzi waliwapendelea wakristo? (kwa majina) na kazi hiyo ilifanyika bila aibu na serikali ya nyerere? ...miaka 26 iliyopita mlikuwa mkipendelewa katika uteuzi ...na hiyo mnafurahia kwasababu "mnapenda kupendelewa" aibu..embu kuwe na iabu na heshima, heshimuni waislamu kwakuwa kuwavumilivu..

4. Je unakumbuka kwamba mwaka 1987 prof. Kighoma malima alibadilisha utaratibu na kuweka mtindo wa namba katika kusahihisha na kuteua wanafunzi wa primary na Tangu wakati huo idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwenda sekondari iliongezeka mara mbili ..kama kawaida mapadre wakaanza kelele za udini??? wakrito hawapendi haki...

Bottom line: nyerere aliendekeza udini lakini kwa sasa waislamu wanajenga shule zao kwa kasi na inshallah kutakuwa na mabadiliko makubwa siku zijazo bila ruzuku kutoka serikali ...na hakuna anayewalalamikia?
Ila mikristo ikipata misaada kutoka serikalini is ok, kutoka kwa wahisani nchi za kikristo ok, waislamu wakitaka misaada kutoka kwa OIC udini? what type of thinking..ndugu zetu wakristo?

Du!!!!! Can't imagine there exist such a thinking in Tanzania........... Too low to be swallowed!!!!!!
 
Habari ndiyo hiyo..hampendi ukweli poleni..this time dear to talk

ujue umependelew tu for 26 years huna akili yeyote
 
Hii ni tatizo la ndumu bila kula na muwasho washo combined.................gd luck!!!!!!!!
 
Wote nyie mnaobishana mambo ya dini awe mkristo au mwislam mmekosa kazi za kufanya mnapoteza muda wenu bure, popote pale sijawahi kuona watu wakasema eti sasa wewe umeshinda dini yako ni bora kuliko yangu quote me wrong, shukuruni mnatumia mitandao kubishana mngekuwa mnaonana kwa macho mmoja wenu sasa hivi angekuwa na ngeu haya tumeshuhudia kwenye mihadhara.

Kulalamika kuwa ulionewa zamani hakusaidii kitu kinachotakiwa ni wewe sasa kuonyesha mikakati uliyonayo kuhakikisha unakuwa kama mwenzako wa dini unayofikiri inapendelewa au ilipendelewa, kama kujenga mashule, hospitali, makanisa, misikiti nk jenga nani anakuzuia?

Dini mnazobishania hakuna hata mmoja wenu ajuae asili yake ni nini zaidi ya kusema babu yangu alikuwa hii hii dini na baba yake babu yangu alikuwa hii hii dini basi, wengine ni kwa vile amezaliwa au amekulia kwenye mazingira hayo kwa mfano wewe unayejiita mkristo ungezaliwa Maskat Oman au Iran kulikuwa na uwezekano mdogo wa kuwa mkristo, na wewe mwislam ungezaliwa Vatican kulikuwa na uwezekano mdogo wa kuwa mwislam, hii inakaribia kuwa sawa na kuzaliwa huwezi kuchaguwa kuzaliwa Mchina au Mjapani.

Dini zote za kisasa ni mapokeo tu basi wote tunayemuomba kama yupo ni mmoja ambaye ni Mwenyezi Mungu. Hapo awali nimesema kama yupo kwa sababu kuna watu wengine hawaabudu Mungu unayemjua wewe mfano Wahindu wana Mungu wao Ng'ombe wanamwabudu na kumuheshimu huwezi wabishia mtakesha na wakimwomba kweli wanapata wanachokitaka na wengine wana hata maisha mazuri tu kukuzidi wewe unayemwabudu Mungu wa Mbinguni kwa hiyo si vizuri kudharau dini ya mwingine.

Mwisho kuna jamaa mmoja aliamua kuabudu jagi la maziwa alipoulizwa kwanini alisema ukiomba kitu chochote kile kwa Mungu yeyote huwa ana majibu matatu tu yaani YES au NO au WAIT, watu wengi huwa hawapendi kuambiwa wait. Nilihangaika kutafuta kazi kwa miaka 10 mtu mmoja akaniambia nijaribu Mungu wake akaweka jagi la maziwa mezani tukaliomba kweli kesho yake nikapata kazi ina maana jagi lilisema YES, tokea siku hiyo nikaliamini nikiwa na shida huwa naliomba linanipa nisipofanikiwa siku hiyo najua labda Mungu wangu amesema WAIT.

Hata dini zetu ni hivyo hivyo tu tumepokea hakuna ajuaye mwanzo wake na hata mwisho wake mtagombana bure hakuna mshindi.
 
Kwenda madrasa hakumzuii mtu kusoma sekondari acha mis-conception!

Kuoa wake wengi hakumzuii mtu kwenda shule?

Jiulize yafuatayo:
1. Shule za kanisa zinapata Tsh. Ngapi kwa mwaka kutoka serikalini mpaka leo? kama ruzuku (billion) na je kuna ruzuku kama hiyo kwa shule za kiislamu?(zero) kuna malalamiko NO

2. Shule zote zilipotaifishwa zikiwemo seminary za kiislamu ni seminari ngapi za kikristo ziliachwa kusomesha wakristo pekee?(Nyingi) za kiislamu (zero) Kuna malalamiko NO

3. Je unafahamu kwamba usahihishaji na uteuzi wa wanafunzi kwenda sekondari ulikuwa ukifanywa kwa majina kutoka 1961-1987 na wakati wote huo wanaofanya uchaguzi waliwapendelea wakristo? (kwa majina) na kazi hiyo ilifanyika bila aibu na serikali ya nyerere? ...miaka 26 iliyopita mlikuwa mkipendelewa katika uteuzi ...na hiyo mnafurahia kwasababu "mnapenda kupendelewa" aibu..embu kuwe na iabu na heshima, heshimuni waislamu kwakuwa kuwavumilivu..

4. Je unakumbuka kwamba mwaka 1987 prof. Kighoma malima alibadilisha utaratibu na kuweka mtindo wa namba katika kusahihisha na kuteua wanafunzi wa primary na Tangu wakati huo idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwenda sekondari iliongezeka mara mbili ..kama kawaida mapadre wakaanza kelele za udini??? wakrito hawapendi haki...

Bottom line: nyerere aliendekeza udini lakini kwa sasa waislamu wanajenga shule zao kwa kasi na inshallah kutakuwa na mabadiliko makubwa siku zijazo bila ruzuku kutoka serikali ...na hakuna anayewalalamikia?
Ila mikristo ikipata misaada kutoka serikalini is ok, kutoka kwa wahisani nchi za kikristo ok, waislamu wakitaka misaada kutoka kwa OIC udini? what type of thinking..ndugu zetu wakristo?

Kaka umeharibu, seminary gani za kiislamu zilizotaifishwa unaweza kuzitaja humu?

Hii post yako nainukuu fo further use , itabidi nianzishie thread just kwa hii post yako.
 
Kwenda madrasa hakumzuii mtu kusoma sekondari acha mis-conception!

Kuoa wake wengi hakumzuii mtu kwenda shule?

Jiulize yafuatayo:
1. Shule za kanisa zinapata Tsh. Ngapi kwa mwaka kutoka serikalini mpaka leo? kama ruzuku (billion) na je kuna ruzuku kama hiyo kwa shule za kiislamu?(zero) kuna malalamiko NO

2. Shule zote zilipotaifishwa zikiwemo seminary za kiislamu ni seminari ngapi za kikristo ziliachwa kusomesha wakristo pekee?(Nyingi) za kiislamu (zero) Kuna malalamiko NO

3. Je unafahamu kwamba usahihishaji na uteuzi wa wanafunzi kwenda sekondari ulikuwa ukifanywa kwa majina kutoka 1961-1987 na wakati wote huo wanaofanya uchaguzi waliwapendelea wakristo? (kwa majina) na kazi hiyo ilifanyika bila aibu na serikali ya nyerere? ...miaka 26 iliyopita mlikuwa mkipendelewa katika uteuzi ...na hiyo mnafurahia kwasababu "mnapenda kupendelewa" aibu..embu kuwe na iabu na heshima, heshimuni waislamu kwakuwa kuwavumilivu..

4. Je unakumbuka kwamba mwaka 1987 prof. Kighoma malima alibadilisha utaratibu na kuweka mtindo wa namba katika kusahihisha na kuteua wanafunzi wa primary na Tangu wakati huo idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwenda sekondari iliongezeka mara mbili ..kama kawaida mapadre wakaanza kelele za udini??? wakrito hawapendi haki...

Bottom line: nyerere aliendekeza udini lakini kwa sasa waislamu wanajenga shule zao kwa kasi na inshallah kutakuwa na mabadiliko makubwa siku zijazo bila ruzuku kutoka serikali ...na hakuna anayewalalamikia?
Ila mikristo ikipata misaada kutoka serikalini is ok, kutoka kwa wahisani nchi za kikristo ok, waislamu wakitaka misaada kutoka kwa OIC udini? what type of thinking..ndugu zetu wakristo?

Mawazo kama haya hayasaidii hata kidogo. Hivi hakuna Waislamu waliosoma enzi za Nyerere? Kama Kighoma Malima alibadilisha utaratibu na kuweka mtindo wa namba sidhani tatizo lilikuwa kuwapendelea Wakristo bali undugu/ukabila au rushwa.

Mbona Waislamu wenye uwezo tuliosoma nao walifaulu na hata Wakristo wasio na uwezo walikuwa wakifeli? Yaani, unataka kuniambia kama Mkristo alikuwa mbumbumbu alichukuliwa kwenda sekondari na Mwislamu aliyefaulu vizuri aliachwa ili mradi tu Wakristo wapewe nafasi za kusoma na kuajiriwa baadaye?

Kwa vile, wasomi wanataka ukisema kitu uweze kukithibitisha, hebu lete ushahidi wa Waislamu waliofaulu wakaachwa na Wakristo waliofeli wakachukuliwa kwenda sekondari au chuo kikuu!
 
Back
Top Bottom