Waraka wa Uchaguzi wa Kuli: Yana Mwisho Haya!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
1. Mgawo wa Umeme - Mwisho wake ni 2010

2. Ukosefu wa Maji - Mwisho wake ni 2010

3. Baa la Njaa - Mwisho wake ni 2010

4. Ajali zenye Kinga - Mwisho wake ni 2010

5. Upungufu wa Madawa - Mwisho wake ni 2010

6. Elimu isiyo Bora - Mwisho wake ni 2010

7. Uhaba wa Ajira - Mwisho wake ni 2010

8. Janga la Umaskini - Mwisho wake ni 2010

9. Wizi wa Rasilimali - Mwisho wake ni 2010

10. Ujasiri wa Kifisadi - Mwisho wake Ni 2010
-------------------------------------------

"Yana Mwisho Haya!" - Kuli Rashidi

"Kura Yako Itayamaliza!" - Kuli Kompa
-------------------------------------------
 
1. Mgawo wa umeme - mwisho wake ni 2010

2. Ukosefu wa maji - mwisho wake ni 2010

3. Baa la njaa - mwisho wake ni 2010

4. Ajali zenye kinga - mwisho wake ni 2010

5. Upungufu wa madawa - mwisho wake ni 2010

6. Elimu isiyo bora - mwisho wake ni 2010

7. Uhaba wa ajira - mwisho wake ni 2010

8. Janga la umaskini - mwisho wake ni 2010

9. Wizi wa rasilimali - mwisho wake ni 2010

10. Ujasiri wa kifisadi - mwisho wake ni 2010
-------------------------------------------

"yana mwisho haya!" - kuli rashidi

"kura yako itayamaliza!" - kuli kompa
-------------------------------------------

ngumu kumeza hii!
 
kweli tamu kutafuna,ngumu kumeza
ila kwa staili ya kijeshi hii watawala wetu wanayotaka twende nayo tutafika tu,fikiria wakiteuliwa wajeshi wengine tu kadhaa kuongezea na hawa ambao tayari tunao,afu inafanywa operesheni ya kijeshi lakini yenye nia ya kutimiza ahadi inawezekana kabisaaaaaaaa
 
Inawezekana, wajibika katika nafasi yako/It can be done, play your part

Mimi tayari mbona nshaanza kufanya hivyo! Tena nimeanza zamani tu. Na najivunia kuwa sijawahi kupoteza kura yangu kwa fisadi yeyote yule.
 
Mimi tayari mbona nshaanza kufanya hivyo! Tena nimeanza zamani tu. Na najivunia kuwa sijawahi kupoteza kura yangu kwa fisadi yeyote yule.

Ewa sasa hakikisha unahamasisha wengine wafanye vivyo hivyo. Inaanza na mtu mmoja. Tutafika tu. 2010 ndio kipindi cha mageuzi (turning point)!
 
Ewa sasa hakikisha unahamasisha wengine wafanye vivyo hivyo. Inaanza na mtu mmoja. Tutafika tu. 2010 ndio kipindi cha mageuzi (turning point)!

I enterily agree with you and would like to give a few lines from eminent people as a guide to what you have said.

1. Alone we can do so little, together we can do so much.
Hellen Keller

2. There is nothing that cant be done if we raise our voive as one
Hellen Keller

3. The belief in a thing make it happen.
Frank Lloyd Wright

4. Bad Officials are elected by good citizens who do not vote.
George Jean Nathan

5. We must be the change we wish to see in the country.

Therefore we must go to vote kwenye uchaguzi wa mitaa na uchaguzi mkuu.
 
naona hilo haliwezekani maana hata hiyo kura yako itaingia kwao mmesahau kuna wagombea hata kura walizo jipigia wenyewe hazikuonekana umekaa kama hujui chama cha mafisadi kilivyo
 
naona hilo haliwezekani maana hata hiyo kura yako itaingia kwao mmesahau kuna wagombea hata kura walizo jipigia wenyewe hazikuonekana umekaa kama hujui chama cha mafisadi kilivyo

So, what next?,afadhali upige kura halafu iibiwe kuliko kutopiga kura kabisa. Kama wote tukiamua na wote tukipiga kura kutaka mabadiliko basi yatakuja tuu
 
Ewa sasa hakikisha unahamasisha wengine wafanye vivyo hivyo. Inaanza na mtu mmoja. Tutafika tu. 2010 ndio kipindi cha mageuzi (turning point)!

Hehehe nilirudi nyingwa (vijijini) nikakuta ndugu zangu wamepigishwa vitenge na T-shirt za CCM. Sasa hiyo shule ya kuwabadilisha mawazo sijuhi ingeanzia wapi?
 
Hehehe nilirudi nyingwa (vijijini) nikakuta ndugu zangu wamepigishwa vitenge na T-shirt za CCM. Sasa hiyo shule ya kuwabadilisha mawazo sijuhi ingeanzia wapi?

Wape kauli mbiu kuwa pilau inakaa tumboni masaa 8 kiongozi aliyempa pilau atakaa madarakani miaka mitano. Fulana, Kofia na Kitenge vinakaa mwaka mmoja lakini kiongozi mbaya anakaa miaka mitano.

Au unaweza kuwaambia kiongozi mzuri ataleta sera nzuri zitakazo wawezesha kununua T shirt, Kanga na Kofia kila mwezi.

Wataelewa tu kwani umesahau kuwa watanzania si mabwege tena?
 
I enterily agree with you and would like to give a few lines from eminent people as a guide to what you have said.

1. Alone we can do so little, together we can do so much.
Hellen Keller

2. There is nothing that cant be done if we raise our voive as one
Hellen Keller

3. The belief in a thing make it happen.
Frank Lloyd Wright

4. Bad Officials are elected by good citizens who do not vote.
George Jean Nathan

5. We must be the change we wish to see in the country.

Therefore we must go to vote kwenye uchaguzi wa mitaa na uchaguzi mkuu.

Thanks a lot active citizen. This is what we call citizen agency. There are other more or less quotable quotes, here they are:

1. "Never doubt that a small group of thoughtful committed citizens can change the world. Indeed it's the only thing that ever has" - Margaret Mead

2. "Nothing can stand in the way of the power of millions of voices calling for change" -Barack Obama

3. "The best way to predict the future is to create it" - Peter F. Drucker

4. "The greatest revolution of our generation is the discovery that human beings, by changing the inner attitudes of their minds, can change the outer aspects of their lives" -William James

5. "You never change something by fighting the existing reality. To change something, build a new model that makes the existing model obsolete" - Buckminster Fuller

6. "If everyone demanded peace instead of another television set, then there'd be peace" - John Lennon

7. "You may never know what results come of your action, but if you do nothing there will be no result" - Mahatma Gandhi

8. "It's not just enough to change the players. We've got to change the game" - Barack Obama

9. “The key to change... is to let go of fear” - Rosanne Cash

10. "Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek" - Barack Obama

11. "The only thing necessary for the triumph of evil is for good people to do nothing" - Edmund Burke

12. "It can be done, play your part" - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
1. Mgawo wa Umeme - Mwisho wake ni 2010

2. Ukosefu wa Maji - Mwisho wake ni 2010

3. Baa la Njaa - Mwisho wake ni 2010

4. Ajali zenye Kinga - Mwisho wake ni 2010

5. Upungufu wa Madawa - Mwisho wake ni 2010

6. Elimu isiyo Bora - Mwisho wake ni 2010

7. Uhaba wa Ajira - Mwisho wake ni 2010

8. Janga la Umaskini - Mwisho wake ni 2010

9. Wizi wa Rasilimali - Mwisho wake ni 2010

10. Ujasiri wa Kifisadi - Mwisho wake Ni 2010
-------------------------------------------

"Yana Mwisho Haya!" - Kuli Rashidi

"Kura Yako Itayamaliza!" - Kuli Kompa
-------------------------------------------

walotoa ahadi wenyewe wameshasahau
 
Back
Top Bottom