Waraka wa TAMSYA kwa vyombo vya habari

....! Kudai haki kwa kupotosha ni dhambi! Serikali ya JMT haijawahi jenga kanisa wala msikiti kwenye shule ya serikali!!! NO RISECH NO RAIT TU SPIK

Acha uongo wewe!! Kuna msikiti pale Tabora Boys Secondary School. Nimesoma pale miaka minne na tulikuwa tunaruhusiwa kuswali bila bughudha. Hii ni shule ya serikali. Je, ule msikiti uliota kama uyoga? Unaposema serikali haijawahi kujenga au kuruhusu kujengwa misikiti au makanisa kwenye shule zake ni upotoshaji na kuongea bila data.Ona aibu mtu mzima kuongopa! Madai ya TAMSYA yana msingi na wakati umefika sasa wa watendaji wa serikali kufanya kazi kwa weledi badala ya kutanguliza dini zao na kubagua wanafunzi wa Kiislam kwani nao wana haki kama Wakristo kwenye nchi hii. Iweje mwanafunzi mkristo aruhusiwe kuvaa rozari na mwislam azuiwe kuvaa hijabu au kofia? Laana za Mungu ziwafikie wote wanaoendekeza dhuluma hizi kwa wanafunzi wa Kiislam kwenye mashule na vyuo vya umma nchini.
 
Nimesoma saut na nilichojifunza ni kuwa wakristo wengi wana hulka za udini hawawapendi waislam wanachukia uislam kama vile wameona shetani.Naomba vilevile nikiri hadharani kuwa baadhi ya wakristu ni wapole, wakweli, waaminifu hawana mambo ya udini kabisaaaaa wakiwemo wahadhiri saut.Jamani nyie wakristoudini tunajua kuwa chuki na udini mliouficha moyo ni mkubwa kuliko mnaoudhihirisha, jamani mtapasuka vifua
 
Nilifikiri kwenye avatar yako ni pumpkin billionaire actually sijui shule za serikali amabazo silabus zinaisha so kuisha au kutoisha kwa silabus hakuwezi kuwafanya watu wakaacha kumwabudu na kumwelewa Mungu wao so acha sisi na ujinga wetu tumamwabudu Mungu na wewe na ****** wenzako nendeni mkamalizie hizo silabus,lakini usijaribu kupotosha watu waache ibada kwa misingi ya kumalizia silabus


Ni ujinga wa namna hii ndio unaowafanya mnakuwa nyuma kitaaluma halafu mnasema mnasahihishiwa vibaya mitihani yenu. Mara zote, kwenye shule zote kumekuwa na tatizo la walimu kushindwa kumaliza syllabus achilia mbali kufanya revision ambayo pia ni muhimu. Sasa wewe mwenye akili sana, unashauri kuwe na muda wa msikitini na bado upatikane muda mwingine wa vipindi vya dini! Kwa mtindo huu hiyo syllabus inakwisha au shwari tu hata ikiishia katikati kama Masjid Kuba na Al Haramain?

Hebu kuweni na akili za kimaendeleo, academic discipline ni very serious issue na inadetermine matokeo ya mwanafunzi darasani. Hivi mmeshawahi kujiuliza kama ingekuwaje endapo kila mtu angekuwa na mawazo kama yenu?

Wakati wenye kupenda shule wapo tuition, nyie mpo madrassa au kwenye mihadhara lkn siku ya kusahihisha mitihani, inamlazimu msahihishaji abalansishe matokeo ili waislamu wafurahi, au? Safari yenu ndefu sana.

Unajua kisa cha viwanda vya waarabu kuendeshwa na wazungu? = akili kama hizi zako. Ndio maana BP anaongoza kwa uzalishaji wa mafuta, japo si yake ni ya Saudia.
 


Acha uongo wewe!! Kuna msikiti pale Tabora Boys Secondary School. Nimesoma pale miaka minne na tulikuwa tunaruhusiwa kuswali bila bughudha. Hii ni shule ya serikali. Je, ule msikiti uliota kama uyoga? Unaposema serikali haijawahi kujenga au kuruhusu kujengwa misikiti au makanisa kwenye shule zake ni upotoshaji na kuongea bila data.Ona aibu mtu mzima kuongopa! Madai ya TAMSYA yana msingi na wakati umefika sasa wa watendaji wa serikali kufanya kazi kwa weledi badala ya kutanguliza dini zao na kubagua wanafunzi wa Kiislam kwani nao wana haki kama Wakristo kwenye nchi hii. Iweje mwanafunzi mkristo aruhusiwe kuvaa rozari na mwislam azuiwe kuvaa hijabu au kofia? Laana za Mungu ziwafikie wote wanaoendekeza dhuluma hizi kwa wanafunzi wa Kiislam kwenye mashule na vyuo vya umma nchini.

Na wewe acha uongo,hakuna shule yoyote ya serikali inayoruhusu mwanafunzi kuvaa rozari shingoni!!Nimesoma Shule ya KIZUNGUZI(Kilosa Secondary) miaka minne,ile shule imejengwa na waCUBA na inaMSIKITI katika eneo la shule lkn haina kanisa na wanafunzi kipindi kile chini ya mkuu wa shule NZOGOLO hapakuwa na udini wa aina yoyote na nimeshangaa sana kusoma hiyo taarifa na kukuta kuna mambo ya udini.Kwa uzoefu wangu wa miaka minne pale shuleni wakristo wote walikuwa wanasalia madarasani kutokana dhehebu lako na Waislamu walikuwa wanasali kwenye msikiti wao muda wowote wa sala zao bila kubugudhiwa na m2 yeyote so nadhani udini kama upo hapo KIZUNGUZI umeletwa miaka ya hv karibuni.
 
I love u TAMSYA.watu humu ndani wanaongea pumbaa,huu waraka umewachukiza sana wakristoudini wakristoudini wanapenda sana na sisi tungekuwa tunavaa masanamu na kuyaabudu
 
Umeona eeee! Tatizo hawa jamaa uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,hawana reasoning hawana,wala adui yao hawamjui ni ukristu,serikali,chadema? Maana kama hujui target utapiga wapi sasa? Ni kuwapuuza tu.

ha ha ha we kweli unaakili kama petro, target yetu hii hapa ukristoudini,serikaliudini,chademaudini.hatutaki mkristu mwenye udini,serikali yenye udini na chadema kuwa na siasa za udini.hatutaki udini mahali popote ukionekana 2 utaondoshwa,ha ha ha ha huo ndo uwezo wetu wa kufikiri
 
Kichwa kinaniuuuumaaaaaaaa!
By ELIAHKAMWELA

Acheni upumbavu ninyi vilaza muslims!

Nina wasiwasi na mtume wenu;bila shaka alikuwa kilaza balaa nanyi mnamuenzi!Loooo;au alikuwa jini?
Hata Tabora Boys nakumbuka kuna Mskiti pale, makafiri wao darasani. au wazunguke mlima kwenda kanisani, sijui kama waliwahi lalamika. napia nakumbuka Bihawana nao wanamsikiti, katonta hawana kitu, ukitaka kusari jioni lazima ufanye faster ili ratiba ya "prepo" iendelee. na wale nduguzangu wa kukemea walikuwa wanaaenda porini ili wasiwabughuzi wenzao.

na kunabaadhi yao (hasa wakutoka kondoa) walipenda sana kushinda msikitini hata chakula walikimbizia kulia huko sikumbuku kushuudia tukio la kuwabughuzi

kama kuna madai ya haki yasipuuzwe yafanyiwe kazi,

katiba ya JK inakuja mlango uko wazi sasa

Mods,mnaipeleka wapi hili jukwaa?Kwanza thread yenyewe ni ya kidini na comment kama hizi{Hapo kwenye red} duuu!!!
Heshima na hadhi ya jukwaa vinapotea taratibu!!!
 
yeyote mwenye waraka wa uvaaji hijabu na swala ya ijumaa anisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom