Waraka wa siku 100

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Wanajamvi wenzangu naomba kuuliza ule waraka uliokuwa unawekwa jamvini na kuondolewa na mods uliokuwa umeandika na wajeshi kumshinikiza mkuu wa kaya ajiuzulu kabla ya siku mia umeishia wapi? Je siku 100 hazijaisha au ilikua ni propaganda za uzushi tu?
 
Ule waraka umepeleka watu Mahakamani, na wako nje kwa dhamana wakingoja maamuzi ya Pilato!
Unacheza na sirikali ya waoga nini?
 
Ule waraka umepeleka watu Mahakamani, na wako nje kwa dhamana wakingoja maamuzi ya Pilato!
Unacheza na sirikali ya waoga nini?

ukikutwa nao unaambiwa wewe ndo umeuandika......chezea legelege wewe!!!
 
hata wanajeshi wakipindua watakutana na kesi the hague,magamba wana support wa magharibi sababu wao ndio wanyonyaji wakubwa wa rasilimali zetu,mafisadi wanachukua makombo..god help us
 
Wangekuwa siriazi hawengetoa waraka bali wangefanya kimyakimya. Nahisi hao wanajeshi walikuwa wamelewa bange.
 
Back
Top Bottom