Waraka wa Prof. Mark Mwandosya, kuhusu Demokrasia

Nafikiri dhana ya kuwanona wafanyabiashara kama maadui wa demokrasia inamapungufu makubwa. Nchi nyingi zilizoendelea ikiwepo Marekani wamewategemea sana wafanyabiashara ili kukuza uchumi wao na wengi wao wameombwa kufanya kazi serikalini ili kuboresha utendaji kazi wa serikali. Dhana ya wakulima na wafanyakazi ilianzishwa na nyerere kwa sababu alipenda kelemea upande wa kikomunisti na hivyo hakuwapenda wafanyabiashara. Kama vile ambavyo kuna wafanyabiashara wasiokuwa na utu na maadili mazuri, pia wapo wafanyakazi na wakulima wenye hulka hizo hizo. Kwa sababu tuu mtu ni mfanyakazi au mkulima haimuondoloi hulka ya wizi, ufisadi au ubinafsi. Hivyo wafanyabiashara wasionekani ni maadui wa maendeleo au uongozi bora. Kama tuna miiko ya uongozi tunayoiheshimu na kusimamia kwa dhati hatupaswi kuwa waoga au kubagua mtu eti kwa sababu yeye ni mfanyabiashara na siyo mkulima au mfanyakazi. Kwani hao wafanyakazi walioko serikali utendaji kazi wao uko vipi, ni kweli kwamba wao ndiyo waliotukuka? Kama ndivyo mbona nyumba za serikali na magari pamoja na samani nyingine wameendelea kujiuzia wao kwa bei ya kutupa? Wao wanalipa kodi zaidi ya watanzanaia wengine? Let's be more careful in our analysis na tusifuate tu falsafa kwa bila kujiuliza chanzo chake ni nini!!! There are a lot of very good honest businessmen and women out there and we ought to give them a chance just like we should give to all workers and farmers... hizi falsafa za ki-maxist za "workers unite you have nothing to loose except your chains," siyo za kweli siku zote!!
Mkuu Huna haja ya kufikiri sana kuthibitisha dhana ya kutochanganya siasa na biashara.

Tusisahau kuwa kipenga kipopigwa na wafanyabiashara kama Rostam kuingia madarakani ndio skandali za Kagoda ,Richmond nk zikajitokeza kwa kasi.

Siyo bahati mbaya kwamba zilitokea wakati magwiji hao wanakumbatiwa na CCM.
Matokeo yake tunayaona sasa,chama kinakosa mvuto na mwelekeo kwa wananchi wa kawaida.
NChi zetu changa zilizo na serikali dhaifu sana,HUWEZI kulinganisha na Marekani yenye serikali yenye nguvu.

Serikali yenye nguvu inajiendesha kwa kusingatia katiba na haiingiliwi na wanasiasa.
Leo hii kuna jamaa wa chama tawala huko Uingereza aliyiyetamba kuwa wanachama wa Conservative mwenye pesa anaweza kumwona Waziri Mkuu wakati wowote,amezodolewa wazi wazi kuwa dhana hiyo haina nafasi nchini Uingereza.

Dhana si kwamba mfanya biashara usifanye siasa,hapana, ila ukiingia siasa achana na biashara unless mtu anataka kutumia uzito wake kisiasa kundeleza au kuibia wananchi.
 
Kimsingi anachosema mwandosya si kipya na kwamba wana CCM hawakijui.CCM kama chama kina misingi mizur ambayo kama ikisimamiwa chama hakina matatizo .Tatizo kuna kizazi kimekatiza katika miaka kumi na nane ya karibun kimeleta yoote haya tunayo yaona. wamejitoa akili na kufumbia macho kwa makusud misingi na kanuni za chama kwa manufaa yao,familia zao,wapenz wao wa sasa na wazaman na marafiki zao. Ni kama genge flan la wahun likatumia mianya iliopo kwe kanun za chama,na iman wanachama walikua nayo kwa kila mwanachama na kuingizana madarakan.Wafanyakazi uadilif umepungua kama si kuondoka coz bila kueka uadilif pemben kipato chao halali hakiwez kukamilisha mzunguko wa mwezi. Aliebaki mwaminif ni mkulima peke yake coz hana njia ya kufisid ukiacha wachache wa mwanza waliokua wanaweka mawe kwe pamba.Hawa (CCM)wanahitaj miaka mingi kujiweka sawa na kuondoa biashara wanazofanya na wakat wakihangaika kujiweka sawa sisi tuwatupe kulee weka CDM kwe line nchi isonge mbele. Wanasema, "usipovuka mto huez jua kilichopo ng'ambo. Courage makes the difference btn life and death,good and bad life. Ni kuamua sasa kati ya kukomaa na tulichonacho au kujaribu kwingine.!mfanyabiashara ni mtu mwenye ujasiri kiasi cha kutosha kutoa hela zake ndan/bank na kuweka kwe mzunguko japo hana makubaliano na wateja kua watanunua bt anathubutu,mkulima badala ya kula mbegu anazifukia chini japo hana mkataba na Mungu kua mvua itanyesha na zitaota, uthubutu ndio utakaoleta tofauti katika nchi, iwe tofaut ya manufaa au isio na manufaa, otherwise we er guaranteed to always b d same.
 
Back
Top Bottom