Uchaguzi mmemaliza kwa kuiba kura rudini mlikomkua mtuachie JF yetu!sema lowasa wehu wa chadema wanatuzingua tu na maneno ya kuumba, sema maji hayajafika kijijini kwenu diwani akusaidia na wananchi wenzako mlete maendeleo na sio kuzusha na kuongea uongo, kidumu chama tawala
wote mliotumwa sasa mrudi mkawaambie maboss wenu mlichovuna huku jf!kampeni zimekwisha, rais amepatikana, chadema mmepata mlichokitaka cha kuwa serikali kivuli hivyo matusi na kupakaziana uishe tujenge nchi yetu!!!
Inachekesha sana maana kutoka monduli kwenda mwanza ni masaa7 kwa gari V8 landcruiser sasa je kama amepanda ndege za coast chater atatumia mda gani?hivyo siswala lakujadili tena kwani tayari rais,mbunge wameishatangazwa!
Hivi ni kweli kwamba Nyerere alimkataa Lowasa? Hivi kwa nini alimkataa?
Jamani nawaomba at least hapa JF tusimuite huyu fisadi kuwa mheshimiwa!!! hawezi kuheshimika katu. mwizi ni mwizi tu hata akishinda ubunge!!!!
Tetesi na Radio Mbao zinasema Edward Ngoyai Lowassa atakuwa Waziri Mkuu mpya na Andrew Chenge atakuwa Spika wa Bunge.... Je tutapona hapo??
Zubeda kampeni zimeisha na rais kapatikana. Haya ndiyo maneno watakayokuwa wanatumia mafisadi kutufanya tusahau udhalimu waliotufanyia wananchi. Wao wanafikiri wamemkomoa Dr Slaa kumbe wametuchokoza wananchi make wametunyima viongozi tuliowataka kwa kuchakachua kura.kampeni zimekwisha, rais amepatikana, chadema mmepata mlichokitaka cha kuwa serikali kivuli hivyo matusi na kupakaziana uishe tujenge nchi yetu!!!
Katika hili Lowassa kajisafisha nadhani waraka wa Dr Slaa ulikuwa wa bandia labda kama tutapata maelezo yake baada ya watuhumiwa kadhaa kukanusha na kueleza umma jinsi wasivyohusika na kikao cha siri kule mwanza.
kwa maneno mengine ni kwamba, tunahitaji maelezo ya ziada kutoka kwa Dr Slaa juu ya makanusho hayo