Waraka wa Lema kwa rais wasambazwa Arusha mjini

Au itakuwa Lema ana pacha?Haiwezekani awe kusini and at the same time awe A-town!
 
Ila asante sana, mimi mwenyewe nimeprint asubuhi na mapema na kuzisambaza hapa twn
 
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.
mkuu mimi mwenyewe nilimshuudia na nilishangaa sana uwepo wake pale wakati nafaham yupo kusini lakini yawezekana ali2mia usafiri wa ndege..!
Nadhan hiyo post kuhus lema kuhutubia mkutano huko kusini(ndanda masasi) ndio inawachanganya..kwenye hyo post ukisoma vizur imeandikwa kua alihutubia jana..najui nivigumu kuamini lakini nilimshuudia na wala sio habari ya kuadisiwa.
godwinko, wewe ni mtu hatari kuliko hata shetwani mwenyewe, kama ningekuwa mod ungepigwa ban ya maisha. Sijui lengo lako lakini hutafanikwa, acha ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Kwasasa ni vigumu sana kufatilia nyendo za G. Lema. Anaweza kuwa alikuja hapa Ar na akalala mkoa mwingine, asubuhi yake akaamkia Kusini kwenye muendelezo wa M4C. Inaelekea ataishi hivihivi mpaka 2015 hali itapokuwa shwari kwake.
 
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...

Mimi pia nimeshangaa sana nikabaki najiuliza ina maana kamanda Lema aligeuzia hapa hapa Dar?hakuambatana na timu ya M4C kuelekea kusini?
 
:(:confused::confused::confused::p:confused:
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1338851492774.jpg
    uploadfromtaptalk1338851492774.jpg
    24.9 KB · Views: 87
godwinko, wewe ni mtu hatari kuliko hata shetwani mwenyewe, kama ningekuwa mod ungepigwa ban ya maisha. Sijui lengo lako lakini hutafanikwa, acha ujinga.
Mkuu nilishangaa sana baada ya kuona thread hii wakati nilikuwa na uhakika lema yuko Kusini na baada ya huyu jaama kuni hakikishia Lema yuko Arusha nilimpigia simu akaniambia yuko Kusini sasa ni kabaki najiuliza lengo la mleta mada ni nini......
 
Mkuu nilishangaa sana baada ya kuona thread hii wakati nilikuwa na uhakika lema yuko Kusini na baada ya huyu jaama kuni hakikishia Lema yuko Arusha nilimpigia simu akaniambia yuko Kusini sasa ni kabaki najiuliza lengo la mleta mada ni nini......

mkuu Crashwise nimemtumia Lema sms nikamuliza upo Arusha akanijibu hapana nipo masasi sasa huyu mleta mada nashindwa kumuelewa anamaanisha nini
 
mkuu ungefanya namna ili na sisi ambao hatukuwepo apo sokoni tupate nakala moja apa jf...
 
ccm washukuru uchaguzi sio mwaka huu wana miaka mingine mitatu maana wananchi saivi wana hasira...
 
Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema
 
Back
Top Bottom