Waraka wa kwanza wa Mbowe kwa Kikwete huu hapa

Wana JF.
Naomba mnisaidie kama kuna mtu yeyote aliyewahi kuona au kusoma makala yoyote iliyoandikwa na kamanda wa anga Mh.Mbowe?
Naomba msaada wenu ili tujue Rais wetu mtarajiwa anavyochambua masuala maana jukwaa Mh. anaweza sana!

Anaweza majungu na fujo tuu sio great thinker na siye mtu anayeweza kuaminiwa kwa kupewa nchi kama hii. hatuwezi kuonogozwa na darasa la ..... tupe kwanza elimu yake
 
Hv kweli waraka huu kaandika mbowe? Mbona uko shallow,unajikanganya,Mbowe kwani hadi hv sasa Kingunge ni waziri?huo ni upotoshaji na kutokujipanga,acha kukurupuka,acha kuendseshwa kwa hisia,tumia facts,ni mpuuzi peke yake atakayeelewa huo unaouita waraka na wala haukustahili kuitwa waraka.

Mkuu umeumbuka kabla hujaROPOKA uliza kwanza.huo waraka ni wa kitambooo sasa ndo umeiva tayari kuliwa.subir part 2.
 
Back
Top Bottom