Waraka wa Joshua Nassari kwa Wanaarumeru - "Uadilifu Utashinda"!

View attachment 50402

My Take: Natumaini katika mtanange huu wa demokrasia ni fikra tu ndio zinazogombaniwa; nani na chama gani kinawakilisha fikra mpya hilo ndilo swali litakalojibiwa Jumapili.

Mzee Mwkjj, I believe talking or discussing issues and doing or implementing them are two different things. Barua imesema vizuri lakini nafikiri inaweza kuwa tofauti sana na ama matokeo ya uchaguzi yenyewe ama atakayofanya mwandishi iwapo atashinda. All are illusions; and illusions are sweet to hear in our ears at particular occassions.
 
Unajua hakuna kitu chenye nguvu sana kama maneno? don't underestimate the power of words... waliosema 'the pen is mightier than the sword' hawakuwa wanatia chumvi.
 
wabarikiwe wana arumeru na Mungu awaongoze kwa kumchagua yule anayewafaa.
 
Unajua hakuna kitu chenye nguvu sana kama maneno? don't underestimate the power of words... waliosema 'the pen is mightier than the sword' hawakuwa wanatia chumvi.

Nakubaliana na wewe asilimia zote. Ndiyo maana mtu anaweza akatumia maneno kwa ajili ya kuwashawishi watu kwa kile ambacho hata yeye hakiamini sana kitatendeka. Hasa wanasiasa wa Kiafrika. Ujumbe wa Nassari ni mtamu kwa kweli lakini je akishindwa itakuwaje? Ok, ama tuseme ameshinda, je ni kweli hayo anayolalamikia hayajafanyika kwa miaka 50 iliyopita ataweza kuyafanya yeye?. Kwanza siamini hata kama anajua kwa undani ni yapi ambayo hayajafanyika, kwa sababu katika malumbano ya kisiasa kuna justification ya ku-counter.
 
Topical CHADEMA ndo ishashinda chezea nguvu ya umma???? Ccm na pesa zenu CHADEMA na wananchi wetu
 
Back
Top Bottom