ni vizuri tungewekewa huo waraka tungechangia vzr!! mtoa mada jitahidi kuupata ili u defend thread yako hatupingi ila ushahidi muhimu ukweli wa kosa haupatikani kwa mkosaji hivyo police ukiwauliza huwezi pata ukweli kamili coz wamefundishwa usiri na wamehapa kutotota siri kwa mtu asiyehusika.