Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngaliba Dume, Sep 15, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,187
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  Jana I.G.P S.Mwema alisambaza waraka kwa ma-RPC wote Tz nzima kuwataka waitishe "MABARAZA YA ASKARI" ktk mikoa yote,lengo likiwa ni kutathimini mwenendo wa Jesh la polisi dhidi ya raia. Katika Mabaraza hayo Askari walipewa nafasi kujadili,kutoa mawazo na kupendekeza nini kifanyike baada ya Jesh kupoteza imani kwa raia na jamii. Katika waraka huo wa siri I.G.P aliwataka makamanda wawatie moyo vijana wasikate tamaa,kwan kwa tukio la Iringa imeonekana askari wote wamerudi nyuma na kupunguza hari ya kazi,hii imefanya viongozi wa juu kupata hofu ya utayali wa askari ktk kulitumikia jeshi... Katika maoni,askar wengi wamependkeza RPC Iringa aunganishwe ktk kesi,kwani kumwacha Cleophas Simon peke yake n uonevu,pia wameomba serikali iwakemee viongozi wa CCM wanaoshndkza polisi kuwatandka vyama vya upinzani..ktk kikao cha mkoa wa Iringa askari wengi wameonekana kukata tamaa na kutaka kuacha kazi...hali ya askari wa chini wanaotumika ktk Operation za riots imeshuka sana kwa kutishika na tukio la Iringa. Vijana wengi wameonekana kuchukizwa na hali ya kulazimishwa kutumia nguvu kwa maslahi ya kisiasa,kwa kugundua hilo makamanda wamewatia moyo vijana wengi kuwa wasikate tamaa,kwani swala la Iringa n sehemu ya ajali za kazini ambazo wao kama askari wanatakiwa wakabiliane nazo! Kiukweli vijana wengi wamekata tamaa baada ya kuona panapotokea tatizo ni askari wa vyeo vya chini ndo wanatolewa kafara bila kufuata uwajibikaji wa pamoja na Seniority ya jeshi la polisi ambapo mdogo hafanyi kitu bila mkubwa kutoa amri.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 43,970
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 0
  Jeshi la magamba limeanza kuweweseka. Walidhani Watanzania tutaunyamazia UDHALIMU wao wa kuwaua Watanzania wasio na hatia milele. Jeshi la polisi linanuka rushwa, limejaa wauaji na wabambikiaji kesi zisizo na kichwa wala miguu ili kujionyesha kwamba ni watendaji kazi wazuri. Bila fagio la nguvu kupita ndani ya jeshi la polisi jeshi hilo litaendelea kutoaminiwa na kuheshimiwa na Watanzania walio wengi.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,678
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Kamuhanda asiposhitakiwa tutampeleka the hague kwa yule maza wa kisenegal
   
 4. M

  Mesaka Senior Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, ili kuwatendea haki askari wa vyeo vya chini na raia kwa ujumla Kamuhanda anastahili kushtakiwa no.1.
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Very sad kutomuunganisha RPC wa Iringa katika case hii,hasa kwa kuwa alikuwepo pia eneo la tukio.

  Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 823
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Hofu yangu ni mantiki ya thread hii. Kwamba jana hiyo IGP alisambaza waraka kwamba pawepo na Mabaraza ya “Wapiga Raia na Uhai wao", jana hiyo hiyo hayo mabaraza yameanza kukutana na kutoa maoni yao halafu hiyo jana Makamanda wakafanya tathmini ya Kushuka kwa ari na wakatiwa moyo!

  Mbali na hiyo logic, nakubaliana nawe kwamba vijana hao wanaitenda dhambi ya kutupasua matumbo ili ccm ipate kuishi.
   
 7. n

  ngala moja Senior Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani tatizo hasa linatokana na kile kinachoitwa general order za polisi zinazomtaka askari kutii amri bila kuhoji uhaklali au ubatili wa amri. mfimo huu ambao umeridhiwa toka kwa mwingereza umepitwa na wakati.mfumo mbovu unaogandamiza uhuru na haki za kiraia kwenye nchi huru. bila kuzibadili bado tutaendelea kuganga majeraha na kuzika wafu wetu ambapo pengine kesho ikawa zamu yangu au yako.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 6,240
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  tuwekee hapa nakala ya huo waraka ndo tuchangie.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 5,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Kwelii...sasa wakati umefika askari wawe na msimamo na mipaka yao ya kazi iwe inajulikana wasiamrishwe na wanasiasa kulinda udhalimu wao!watekeleze majukumu kwa weledi si utashi wa kisiasa!!RPC lazima aunganishwe na yule kijana "bangusilo"hapo ari ya askari wengi itarejea na kuona its fair na ile ilikuwa ajali kazini!!
   
 10. Kapwila Matulu

  Kapwila Matulu JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 7,937
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 63
  Pamoja na ubaya wa Polisi, tuache kutunga stori na kuziweka humu!
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,542
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i think its a little bit too late for that...damage is already done
   
 12. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,187
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  sijafikia kiwango cha kutunga story!uliza polisi watakwambia
   
 13. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,187
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  Waraka umewafikia makamanda toka juzi jioni..na jana walitakiwa kuitisha vikao,na wamefanya hivo..
   
 14. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa njia ya email,posta...
   
 15. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Edit thread yako,
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 14,039
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 63
  Mh...mh...ningekuwaga moderator??!
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 27,733
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Awaulize Polisi au awaulize ma RPC? hapa nilipo mimi nipo na Polisi ni rafiki yangu na na yeye ni Polisi wa Mahakamani na huwa havai uniform, ni kwamba jana Polisi wote walipewa amri ya kuvaa uniform kwa ajili ya kukabili maandamano ya waislamu lakini rafiki yangu alivyofika pale Central Polisi alisingizia amefiwa na akaruhusiwa kwenda kuzika lakini ilikuwa ni fix yeye hayko tayari kutumika kwenye ujinga.

  Back to topic ni vizuri kama una hizo Information ungetuwekea huo waraka hapa lakini usiseme waulize Polisi, maana hao Polisi baadhi yao ambao ni wema tuko nao na kama kuna hilo wanalifahamu mimi ningekuwa nimelijuwa. Ila sijakupinga.
   
 18. P

  Penguine JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 823
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Hapo nimekuelewa NgalibaD.
  Tuko pamoja sana ktk kuutambua, kuulani na kuukomesha udhalimu.
  Good day kaka.

   
 19. M

  MTK JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 3,833
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 48
  Upuuzi mtupu huo!!!! Mabaraza ya askari ni kamati za kisiasa na matawi ya CCM ndani ya jeshi linalotakiwa kuwa non-political, non-partisan and professional.

  Kinachotakiwa ni Polisi kufuata mahitaji ya katiba na general Police orders period.

  kwamba vyama vya siasa vinatakiwa kutoa taarifa (sio kuomba kibali) kwa polisi saa 48 kabla ya kufanya mkutano au maandamano;

  kwamba kufanya mikutano na maandamano ni haki ya vyama vya siasa ili kukidhi mahitaji ya katiba ya uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni bila kuvunja sheria.

  Kinacholipelekea jeshi la polisi kupoteza imani ya wananchi ni utayari wake wa kutumika kisiasa kwa mahitaji ya chama tawala CCM; na kujipa madaraka lisilokuwa nayo ya kuamua kama chama cha siasa cha upinzani kifanye mkutano ua la! ni hilo tu na halihitaji kutumwa na CCM kuunda mabaraza ya polisi, hatua hiyo ni sawa na nchimbi kuunda tume ya kuchunguza mauaji ya David Mwangosi wakati vielelezo vyote vipo wazi na wauaji wanajulikana kwa majina, sura na makazi yao!!!


  Kama kweli Saidi Mwema ni askari wa haja asitupotezee muda bali afanye the right thing kwa kukataa CCM kulitumia jeshi la polisi kwa maslahi yao ya kisiasa.

  afterall ni CCM wenyewe ambao kwa makusudi kabisa wamejipaka matope kwa ufisadi na rushwa na kugenisha raslimali za taifa bila kujali maslahi ya taifa, wananchi wameligundua hilo na ndio maana Chadema imepata nguvu ya kuitetemesha serikali, wasitafute mchawi mbali , mchawi wao ni wao wenyewe kwa kuliibia taifa bila huruma, sasa maji yamewafika shingoni wanathubutu kulitumia jeshi la polisi kulinda uovu wao! But as long as umma umeamka; hawataweza; hawatweza, hawataweza.


  Right is devine; it will forever prevail. Eeh Mungu iokoe Mama Tanzania kutoka mikono ya wadhalimu hawa CCM waliomzika Baba wa Taifa kwa gharama kubwa na mbwembwe nyingi kisha siku chache baadaye wakaizika misingi ya uadilifu aliyoijenga muasisi huyo wa taifa letu.
   
 20. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 868
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Jeshi sasa aliiendeshwi kwa principles zake kama inavyotakiwa.
  Inajulikana kabisa Askari wa chini anapata order toka kwa senior wake. Katika operation yoyote lazima iwe na commanding officer wa site. Sasa inakuwaje linapotokea kosa awajibishwe aliyepokea amri na si aliyetoa amri hiyo? Lakini zikitolewa sifa na nishani ni hao wenye vyeo ndio wanapata? Kuna tatizo sana na tatizo hilo ni SIASA!
   
 21. k

  katule Member

  #21
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vizuri tungewekewa huo waraka tungechangia vzr!! mtoa mada jitahidi kuupata ili u defend thread yako hatupingi ila ushahidi muhimu ukweli wa kosa haupatikani kwa mkosaji hivyo police ukiwauliza huwezi pata ukweli kamili coz wamefundishwa usiri na wamehapa kutotota siri kwa mtu asiyehusika.
   
 22. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #22
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Eeh ..Jf members don"t forget we need Police ... ! They should be there if you LIKE or NOT
   
 23. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #23
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,393
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Muulize IGP ile barua aliyoanidikiwa na askari wa morogoro ikwawekwa humu jf kuhusu askari wanaoshiriki ujambazi ameifanyioa kazi?
   
 24. Osia

  Osia Senior Member

  #24
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma mawazo ya wachangia mada lkn mm nauliza; kua hata inapotokea kua na general order, hivi hili hupunguza utashi wa akili yako???
  1. Linawashusha morali kwasababu mwisho wa siku c aliyetoa order bali aliyetekeleza hilo kwa vitendo.
  2. Kuna layer nyembamba sana inayotenganisha akili na upumbavu ktk ubongo wa binadamu. Unapofikia hatua ya kumuua binadamu mwenzio tena asiye na hatia kwa kutii g/order ww hufai kbs kuwa askari.
  3. Jingine ni ufinyu wa fikra za mapolis, hivi huyu alitekeleza mauaji haya anaamini kbs kua marehemu hana ndg askari?? Je watoto wa marehemu hawata apa kulipiza? Km ndivyo jamaa na rafiki zake pia? Km hana je walioumia kwa alilolotenda hawatakuwepo! Huku uraiani wapo wanaweza tumia bunduki zaidi zao, ila wao hawajui. Anapovua hizo jezi zake haoni kn analingana kbs na walio ktk jamii???
  Hata mm nalazimika kuamini kbs kua waraka huo wa kuwatia moyo hao vijana wao ni kuwaambia Ueni Zaidi.
  Mm naamini kua kila kitu kinamwisho, ni vyema kuanza fikiria kua ipo
  Siku atasimama yeye km yeye na atalipa kwa alilolofanya.
   
 25. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #25
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,844
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bado alikuwa anasubiri washauriane na Nchimbi
   
 26. m

  mwanaodessa Senior Member

  #26
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Labda kuongoza magari barabarani,
  Maana Hata ukiwaita Kwenye tukio la ujambazi hawaji ng'o, Mpaka wana nchi wauwe jambazi basi wao watakuja kubeba mwili wa huo jambazi baada ya masaa Sita.
   
 27. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #27
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,917
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa South Africa au kinyumbani ni iNingizimu Afrika, maana ya jina lako(username) ni unspeakable joy...furaha ipitilizayo, au happiness.....Anyway umesema ukweli kuhusu polisi.
   
 28. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #28
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,683
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo na police wetu shule zao ndogo, they lack reasoning capacity. I am sure hakuna kipengele kinacho mlazimisha police kuua kwa maslahi ya wanasiasa..!
   
 29. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #29
  Sep 16, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,070
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Kuna umuhimu geshi ra porishi likajisafisha kwa kiasi kikubwa kwa wananchi ili lirudishe imani kama enzi za Nyerere.
  Mahita kwa kiasi kikubwa amelichafua jeshi hili. Ili kukabiliana na changamoto hizi za ukosefu wa imani kwa wananchi, hawana budi kushughulika na uozo wao wenyewe ndani. Waondoe majambazi yaliyomo ndani kwanza kabla ya kuja kwa wananchi la sivyo wananchi hawataliamini kamwe.
  Leo hii majambazi yanakamatwa baada ya siku kadhaa yapo mtaani yakiendelea na ubazazi. Kuna imani kweli hapo?
  Hata wananchi kujitokeza kuwafichua majambazi mitaani inakua haiwezekani.
   
 30. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #30
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,799
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamuhada ni poyoyo wa sheria na utumishi ! hatari sana kwa maendeleo ya taifa hili !

  Lakini chanzo cha yote ni huyu mwema , Hajawahi kuwa makini tangu baada ya mkasa wa vifo vya Mahabusu mkoani Mbeya
   

Share This Page