Waraka wa fideline iranga kwa mafundi ''vitongozi''

Hivi mwanamke kama huyu Fiderline nae anatongozwa au anavutwa tu?si kila mwanamke anahitaji kutongozwa.
 
Haya jamani inaonekana mtu ametoa hii information kwenye wall yake na inamaanisha ni Rafiki yake since her profile is private, Don't you think it's not fair? Kama ilivyo ana uhuru wake kuandika chochote na kufanya chochote ile ni FACEBOOK page yake. Akiwa uchi au akivaa nguo Hayatuhusu.:hand:
 
wakuu,
hebu pitieni pitieni ukurasa wa huyu binti huko facebook,then muangalie picha anazozibandika,then muangalie bandiko lake hili hapa:



muamue ninyi sasa kumdharau au kumuheshimu!.....

Aisee, kazi kweli kweli
 
Nadhani huyo mdada is not entirely stupid, wajua kwa nini, mimi for one leo nimejua kuna mtu anaitwa Fidelyne Iranga, nimejua ni celebrity of some sort, na nimejua huyo mtu ni malaya asiye na aibu na anayetafuta mabwana by all means possible. Just pause a minute and think, kama lengo ni kujitangaza zaidi hamuoni kama kafanikiwa? na huyo mleta mada humu JF might be her agent for all I know.
 
ugly hoes are loudest

hutakuja ona dem mzuri anaandika anatongozwa sabab kashazoea

ila hii mikasaula hata ikitumiwa text ya Hi inasema imetongozwa
 
Uyo mdada amekua affected na matumizi ya internet mara nyingi huwatokea wageni kwenye social networks huwa wanaropoka na kukurupuka kuna haja sasa kwa serikali kutoa elimu ya matumizi ya internet vinginevyo hawa wagonjwa wa facebook hawatapona.
 
If i had to seduce a woman, i would better RESERVE MY ENERGY AND WORDS than seducing her......
Mirembe kuna muhusu, she ain't ok
 
Back
Top Bottom