Waraka wa "Baa Maid" huu.....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925
Baa Made.jpg

HALI INAPOKUWA NGUMU Zaidi, unajaribu kujilipua, liwalo na liwe.
TUPO WANGAPI.....
 
haaaahaaa! Mi chichemi....umejuaje?
kwikwikwiwkiwki mkuu Ndahani town kitambo kuna mtu ukimwona unajua huyu atanichosha lakini kuna mwingine kimoja tu ni shot na udenda huo hasa wenye vitambikama wewe!kwikwikwiwkiwkwiwkwi
 
Last edited by a moderator:
kwikwikwiwkiwki mkuu Ndahani town kitambo kuna mtu ukimwona unajua huyu atanichosha lakini kuna mwingine kimoja tu ni shot na udenda huo hasa wenye vitambikama wewe!kwikwikwiwkiwkwiwkwi

Nimemaliza nusu tumbo...nakazana na gym nimalize mafuta yote tumbo liwe flat.
 
Kha biashara Bwana, wameiga kina Papa Msofe na kina Mtoto wa Dhama wao wantumia zile Noti kuandika namba za simu kwa Bar Maid walio wamaindi!!! Ha ha ha!! Jamaa kila siku kesi mahakamani hawezi kufika, anaugua!!! Hujafa hujaumbika!!! Yupo wapi Alex Massaweeeeeeeee na lihirizi lake?
 
View attachment 67881k

HALI INAPOKUWA NGUMU Zaidi, unajaribu kujilipua, liwalo na liwe.
TUPO WANGAPI.....
Kwanini mmefuta namba yake?. Ujue mi nilimpigia simu na akasema anakaa Morogoro anafana kazi baa inaitwa SMEKI Bar Huko Moro. Wadau mnaijua. Afu siku hiyo inaonyesha alikuwa anasubiri simu ya Mwanafunzi wa Chuo huko mana aliniuliza wewe ni yule Mwanafunzi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom