shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,302
- 910
sasa kama waliacha mabo ya kuchunga ng'ombe na kwenda shule ulitegemea nini!...hata kama ni probabilit random selection lazima wachaga wazidi angalia kama itaitwa kazi kuapply wachaga wangapi watajitokeza kwenye kazi za maana angalia ukitafuta walinzi na bar med wangapi wa kabila lako ulinganishe na wachaga teheHili si jambo la kupuuzwa. Kuna kitu muhimu cha kufuatiliwa. haiwezekani kabila moja liwe na watu 70 katika Idara moja-tena makao makuu pekee.