Waraka kwa rc arusha magesa mulongo

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23

WARAKA MAALUMU;

RC Mulongo, usitafute mchawi hapa Ofisini kwetu kuhusu Idara zinazohusika na masuala ya Habari, uchawi umeukumbatia wewe mwenyewe sasa unalalamika nini. Juzi umelalamika kwenye kikao ila kwa vile unafanya kazi kwa sms, endelea.

Mwandishi wa Ofisi ya RC, Arusha Yotham Ndembeka, alimtengenezea ZENGWE aliyekuwa mbeba Hotuba na Risala za RC (Msaidizi wake).

Tena ni wewe RC ndio uliletewa FITINA na maneno ya chichini ukabariki kwa kumuondoa ofisini kwako, alikaa benchi mpaka alipopangiwa Ofisi ya wilaya ya Arusha kkuwa Katibu Tawala.

NDEMBEKA ndio amekuwa mbeba risala, hotuba na kukufungulia mlango kisha kukufunga mkanda wa gari kana kwamba huwezi kujifunga, Unadhani jukumu la kuandika ya mkoani anapaswa kufanya nani?

Mpaka sasa nafasi ya mwandishi wa mkoa haina mtu nani atafanya kwani NDEMBEKA ametimiza lengo lake amepanda cheo. Yote umeyataka wewe kwasababu unasikiliza FITINA za ujumbe mfupi wa simu (SMS) unazotumiwa.

LAKINI katika jambo la kushangaza ni Ofisi ya HABARI MAELEZO MKOA WA ARUSHA kutokuwa na mwandishi kwa miaka zaidi ya mitano. Tangu Mwalube alipostaafu kazi na kumuacha mfagizi wa ofisi Prisca ofisini eti ndio amegeuka kuwa Mwandishi wa Habari Maelezo Mkoa wa Arusha.

Hivi kweli Mulongo unadhani nini kinaweza kufanyika mkoani kwako, kama si kuhudhuria mikutano na kuchukua posho kwa kigezo cha HABARI MAELEZO?

Sasa dawa ya habari za mkoani kwako unayowewe mwenyewe, usitoke nje kupiga kelele kwenye magazeti wala kulalamika Habari za mkoa wa Arusha haziandikwi sana.
 
Message sent and delivered,natumai bwn mulongo utafanyia kazi waraka huu make huwa nakuona hapa jukwaani.
 
hivi mulongo bado ni mkuu wa mkoa ? Basi arusha mmkwisha . Arudishwe sumbawanga akafunge barua posta wanamsubiri .
 
hilo bogus sitakagi kusikia habari zake..unafiki wake wanaujua watendaji wa halmashauri ya bagamoyo alipokuwa dc,anahubiri kupinga rushwa mchana usiku anachukua milungula,.alipewa udc na d.haifu baada ya kumlinda riz1 na wizi wake pale halmashuri b'moyo kupitia mweka hazina michael wage..
 
Hizi ndio taabu za vyeo vya kupeana.Nchi hii siku hizi wapokea na watoa rushwa ndio viongozi wetu.
 
Acheni utani na taaluma za watu, yani mfagizi wa ofisi ndo kawa muandishi wa habari wa wilaya? Mtoa mada kama ni kweli usitake kunikumbusha yale maneno ya Mkapa na kile kibonzo cha wakenya mwaka ule.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom