Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

Hehehehehe! Eliza kahamia Tegeta by night! Kwa sasa Zero pub itakuwa ni kwa ajili ya kokotoz tu basi. Huduma nyingine zinahamia BY NIGHT KWA ELIZA WETU!

ha h hhahahahah!
ngoja nikaongee na meneja wa chawote nione kama anaweza kuwekwa pale!
mtoto mtamu sana yule,akikusindikiza woshiruum mnakaa hadi saa zima!:D
 
ha h hhahahahah!
ngoja nikaongee na meneja wa chawote nione kama anaweza kuwekwa pale!
mtoto mtamu sana yule,akikusindikiza woshiruum mnakaa hadi saa zima!:D

Hivi siku ile ulichelewa kwa sababu hiyo? Sikujuaga! Hahahaha! Mpwaaaaaa! Fidel alikuwa bize na contacts! Nusura zipigwe! LOL!
 
so you are dating more than one guy! My poor little cousin! Huyo wa kwanza alishindwa nini?

here we are with my creze mpwa wa ukweli, pillar of ze wapwaaaaaaaaaz!!!
Nampenda yesu!!!
 
ha h hhahahahah!
Ngoja nikaongee na meneja wa chawote nione kama anaweza kuwekwa pale!
Mtoto mtamu sana yule,akikusindikiza woshiruum mnakaa hadi saa zima!:d
kumbe wewe ndo unang'ang'nia hizi kazi za nje??? Now you are tokn
 
here we are with my creze mpwa wa ukweli, pillar of ze wapwaaaaaaaaaz!!!
Nampenda yesu!!!
kuna wanawake wengi sana walimpenda yesu....!wewe ni yupi BINAMU?:D
 
Ni heri ukalikubali hilo mapema before its too late! Ma'shes wote wamesepa umebaki wewe tu hapa. You owe me some few calabash of bantaaaaz!
nani kakwambia tumesepa? here to stay like the nyumba ndogozzzz(Geof 2009)
 
nani kakwambia tumesepa? here to stay like the nyumba ndogozzzz(Geof 2009)
YEYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!mam'aaa la CARMEL!HERE TO STAY!btw ulinifurahisha sana na utaalamu wako wa kuongea na wanyama pori
 
nani kakwambia tumesepa? here to stay like the nyumba ndogozzzz(Geof 2009)

carmel hapo umemkuna goeff, like nyumba ndogoz and ving'ang'anizi like kaz za nje....lakini zenyewe mpwa ndo anazin'gang'nia
 
Back
Top Bottom