Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

jamaani madadaaaaaz' wa wapwaaaz,
KWENYE BEGI-PARTY WANAFUNDISHA KWAMBA TUONGEZE MKE ILI YULE WA KWANZA ATIE AKILI KU-MKICHWA!
 
jamaani madadaaaaaz' wa wapwaaaz,
kwenye begi-party wanafundisha kwamba tuongeze mke ili yule wa kwanza atie akili ku-mkichwa!

mpwa kwani kabla y ahapo anakuwa hana akili kumkichwa??? Sasa kwanini umuoe?
 
mpwa kwani kabla y ahapo anakuwa hana akili kumkichwa??? Sasa kwanini umuoe?
MPWA,
ukiangalia sana hapa utakuta mwanamke anaonewa,lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kuwa anaehisi haonewi ni kwamba HAJAAMBIWA UKWELI!

ndo wanaume wanavyoishi!
 
MPWA,
ukiangalia sana hapa utakuta mwanamke anaonewa,lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kuwa anaehisi haonewi ni kwamba HAJAAMBIWA UKWELI!

ndo wanaume wanavyoishi!

Umekula Senksi hapo! Au bht anafikiri yuko peke yake kwa bf wake? Stuka!!!!
 
mpwa,
ukiangalia sana hapa utakuta mwanamke anaonewa,lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kuwa anaehisi haonewi ni kwamba hajaambiwa ukweli!

ndo wanaume wanavyoishi!

mmh mpwa!!!!
 
hata yeye basi hayuko mwenyewe........

Hiyo bold mbona kama imekaa kiwasiwasi/ kilalamishi/ kiwogawoga! Kuwa streiti mama. Sema: Hata yeye hayuko mwenyewe tukugongee senksi! Ala!
 
Umekula Senksi hapo! Au bht anafikiri yuko peke yake kwa bf wake? Stuka!!!!
ha h a hahahahah!
nafikiria kuibua ile thredi inayozungumzia kuwa shorizzzz wanapenda KUTOAMBIWA UKWELI
 
bp yake itapanda bure.

hamna sheli wala oil com hapa gp.....hayo mambo mi huwa hayasumbui kichwa yangu kabsaaa. Ingekuwa jamaa akiwa na nyororo basi mi riziki zinaziba hapo sawa...azawise mwendo mdundo
 
Hiyo bold mbona kama imekaa kiwasiwasi/ kilalamishi/ kiwogawoga! Kuwa streiti mama. Sema: Hata yeye hayuko mwenyewe tukugongee senksi! Ala!
hahahahahahahahahahh!
wewe bana,lol!
sasa fanya hivi,mwambie eliza akupe bia tu mimi nitaklia bili,maanake SENKSI KAMA SENKSI haitoshelezi,ingawa umekula senksi
 
hamna sheli wala oil com hapa gp.....hayo mambo mi huwa hayasumbui kichwa yangu kabsaaa. Ingekuwa jamaa akiwa na nyororo basi mi riziki zinaziba hapo sawa...azawise mwendo mdundo

Ni heri ukalikubali hilo mapema before its too late! Ma'shes wote wamesepa umebaki wewe tu hapa. You owe me some few calabash of bantaaaaz!
 
hahahahahahahahahahh!
wewe bana,lol!
sasa fanya hivi,mwambie eliza akupe bia tu mimi nitaklia bili,maanake SENKSI KAMA SENKSI haitoshelezi,ingawa umekula senksi
Hehehehehe! Eliza kahamia Tegeta by night! Kwa sasa Zero pub itakuwa ni kwa ajili ya kokotoz tu basi. Huduma nyingine zinahamia BY NIGHT KWA ELIZA WETU!
 
hiyo bold mbona kama imekaa kiwasiwasi/ kilalamishi/ kiwogawoga! Kuwa streiti mama. Sema: Hata yeye hayuko mwenyewe tukugongee senksi! Ala!

nani kakwambia wasiwasi wewe. Hiyo nimeisema majestikali mpwa hahaaaaa
 
Back
Top Bottom