bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
leo naona nianzie benki klabu!
benki klabu!!! Hapo ntakuja nikutoe fasta irbini!!!!
leo naona nianzie benki klabu!
benki klabu!!! Hapo ntakuja nikutoe fasta irbini!!!!
Hahaha! Mamaa la carmel! Leo nadhani giza litanikuta mitaa ya sinza nikiwa nakula ze mduduz samwhea.
Ukitoka chuerch Yosefu mseremala au unasemaje!!!!
mpwaaaaz bana,
NAONA UNAFANYA BUKINGI!
ha ha haaaaaaaaaaa na foleni hii ukisema uende, utafika tegeta by nite saa tano usiku.Hahaha! Mamaa la carmel! Leo nadhani giza litanikuta mitaa ya sinza nikiwa nakula ze mduduz samwhea.
akomodesheni garantiid!HA HA HA HA HA!
mpwa bana vere tekniko!....inabidi mam'aa la kemo akuashue akomodesheni walau hata kwenye banda la mlinzi,maanake hadi ufike msata,na hii mvua??!!!