Wapwaz na Binamuz,Nawaaga-Nitapotea kwa muda kwenye Jukwaa hili

Status
Not open for further replies.
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

Wao! all the best my dada Geder Sensitive, is this your real pic in the avator?
Byee see you!
Wanawake Oyeeeeeeeeee!
 
Hongera sana Regia, umezungumza na umefanya kweli. You have my full endorsement and I'll do everything in my power to carry you to victory. Nisije kulazwa njaa bure.

On the side:
WoS, na miye kwa kweli nimeipenda hiyo...cheers! Na miye nimezama kwenye mchato.
 
Mpenzi,asante sana na MUNGU akubariki sana..Thank You for ur support..
Stay cool.
Tuko bize kidogo tunamaandalizi ya kumpokea Dr Slaa and then tarehe 8 na 9 Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa watakuwa wanachagua Wabunge wa Viti Maalum..
 
ALL THE BEST>>>>>>>This country need more people of your caliber.....
 
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

Nipo tayari kukuchangia fainenshale pindi utakapopitishwa na chama kuwa mgombea rasmi
 
........Tutakumiss jukwaa hili na topic zako motomoto za mahusiano.Mchakato mwema wa kuelekea mjengoni.
 
Kuna wakati niliulizia jinsia yako. Jibu nimepata. We nenda na kila la heri. Cha msingi urudi na kombe
 
Go Reg go! ahsante,
Enenda na baraka zangu na mungu akufungulie njia.
Nitakupa call ya kukuhamasisha.
 
Tuko nawe Regia.

Ngoja kwanza nikarudishe kadi ya CCM afu tuongozane.
 
Ol da best GS (I kinda like this name...ukimaliza huko naomba ubadili jina!)
 
Mungu wa amani akufungulie njia, roho mtakatifu awe pamoja nawe katika njia zako zote.... Mimi na Kanisa langu tunakutakia kila la kheri na tutakuwa nawe katika Maombi...
 
Hongera sana Regia, umezungumza na umefanya kweli. You have my full endorsement and I'll do everything in my power to carry you to victory. Nisije kulazwa njaa bure.

On the side:
WoS, na miye kwa kweli nimeipenda hiyo...cheers! Na miye nimezama kwenye mchato.

Inatia faraja sana kuona MM umemuendorse dada yetu; nimefurahi sana kwakweli... KNowing our politics na hasa za chama tawala, Regia needs to do more hasa kwenye strategies zake, maana nchi hii we lose alot of quality leaders simply kwasababu ya naa zetu na siasa chafu hasa kwenye rural areas, simu ya mkononi na baiskeli tu husababisha watu kuuza haki zao na kuchagua viongozi wabovu. Najua kuna akina "malaria sugu" wao saa hizi wanahangaika kutafuta namna ya kumchafua dada yetu lakini nina imani watashindwa hilo

Namshauri regia awe na a very calcuated social strategy, ali-disect jimbo na kuweka bayana issues na possible solutions. si vibaya tukasaidia kumweka vizuri zaidi pamoja qualities alizonazo
 
Kila la heri Regia. Tunahitaji watu kama wewe. Tanzania bila CCM inawezekana. Sote tuliochoshwa na ufisadi tuko nyuma yako. Bahati mbaya siwezi kupiga kura lakini nawaomba wapiga kura wachague CHADEMA. Ninaamini utapata taji yako.

:nod:
 
TO GS WITH LUV,
GO SIS, GO.., MAY THE LORD LEAD YOU AND BE WITH U ALL THE TIME.
FOREVER AND EVER, AMEN.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom