Wapwaz na Binamuz,Nawaaga-Nitapotea kwa muda kwenye Jukwaa hili

Status
Not open for further replies.
GS....

I believe in your mission, as Kaizer said, its "Mission Possible"... Tuko pamoja na nina imani utatuita tukae pamoja ili tuboreshe nia yako!!!

Uombe ayfa, amani, uzima na ushindi

Mpwa unataka kummwagia ACID nini nashauri aiangalie itakapommwagikia
 
pokea baraka za klorokwini mchana huu! kwa post yangu hii jihakikishie ushindi! acha niwasiliane na kamati ufundi yangu ya dharura.
 
kuna yule mganga pale karibu na mang'ula anaitwa kalembwana asikulaghai hata kidogo! Amekuwa akitumia na ngasongwa na hata mkulu wetu kikwete ili awasafishie nyota. Bila shaka mteketa naye atakwenda nyolewa kwa bibi kalembwana. Nitakuja idete na namawala kati kati ya sept nitakutafuta.


aaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh

sasa mi nilifikiri unamtisha kwakuwa jamaa wamekosa sasa mbona wote uliowataja wanarudi na wengine wanaelekea ikulu muda tu aujafika....unajua yale mambo imani na baya ata akienda atokwambia atabaki yeye na aliempeleka pale..siri yao so kama anaona wanamafanikio mwache achae lapa jamani ndio wakati wao jama watakula wapi na hii ndio ....democrasia rais aijalishi unaenda kwa nani....kila la kheri gs
 
pokea baraka za klorokwini mchana huu! Kwa post yangu hii jihakikishie ushindi! Acha niwasiliane na kamati ufundi yangu ya dharura.


mmmmh unataka kumpa ya dripu ya vidonge naziaminia klorokwino
 
ushaanza inaamanisha sisiemu atutakiwi kumsapoti mshaanza nasema mmeanza eeeehhhh?????????????
wee bana mbona unatumia energy nyingi kunielewa......?
idea hapa ni ku-design some new mottoz!....
hizi zingine naona kawaida sana!
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO IS VERY COMMON!....it's lyk telling mtu UKIMWI UNAUA!

i mean why don't we go for smthng new?

btw,we una kadi ya chadema ya huko uliko?:argue::argue:
 
nimeipenda sana hii!...
lakini what is so called QUALITY?.....
and again HOW DO WE MEASURE IT?....

that is where i got stuck..!
nimeamua nipate kahawa

Kwa matendo yao!... The fact that you could appreciate the message speaks volumes ndugu. TX
 
Kila la kheri kwenye safari yako mpya na dua zetu ziko nawe.Nakutakia uchaguzi mwema na ufanikiwe kushinda hili uweze kuleta mabadiriko kwenye jimbo lako.
 
Shosti,michakato ile ipi?ya Jukwaa letu la.....
Kila la heri ndugu yangu. Wasalimie jamaa wote wa Ifakara. Pale Stiff, Kibaoni, Kivukoni (duh nimekumbuka wale samaki) na woote hadi kule Mngeta. Kawambie kuwa mwanga umeshaonekana, kwa hiyo waondoe tongo tongo na kujipiga kifua ili huu mbuyu uliokwisha kauka tuupige chini! Hatuwezi kukubali hii nafasi iliyodondoshwa na Mungu ipotee bure. Piga magoti useme ... + KWA JINA LA BABA..... AAAMEN!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom