wa Nigeria peke yao?
wa Ghana je?nchi zingine za west Africa??????
Sijawahi kusikia hao wengine wakiitwa hivyo, though inawezekana.
Well hili wazo limenijia sasa hivi tu. Unajua mtu anapobadilika badilika watu hua wanamfananisha na popo? Yani anakua sio mbaya moja kwa moja, wala sio mzuri moja kwa moja.
Inawezekana waNaigeria wanaitwa hivyo kwakua ni scammer wazuri. Yani wanakua wapole, wastaarabu mpaka mwenyewe unatoa funguo za gari ili uibiwe.
I don't know. . . nimefikiria tu.
unazungumza kama umekutana nao tayari.
wakakuibia.au ndo hawa?ile kesi?
wapopo ni wanaijeria jina hilo wamebatizwa na wabongo,linatumika na wabongo dunia nzima kuwatambulisha jamaa japo wenyewe hawajui kama tunawaita hivyo so ukitaka kuwateka hata wakiwepo tumia jina hilo.Kuna utata kuhusu chanzo cha jina hilo!
Ngoja wanaojua watuletee maelezo. . .@lizzy
hayo maelezo yako ya popo inawezekana
wanigeria ni watata sana
hawaeleki kama ni ndege au mamalia
wanabadilika kulingana na faida watakayoipata kwako.
Mi nadhani ni 'hawaeleweki'
naelewa Wanugu ndio Black Americans sio?au nakosea?
Ndiyo, lakini nini chimbuko la hilo jina?
Nigga?