WAPO RADIO Na Muswada wa mchakato wa Marejeo ya Katiba

Mtoto Wa Mbale

JF-Expert Member
May 15, 2011
457
300
Nawasikiliza wageni walioalikwa leo katika kipindi cha majadiliano wapo Radio fm. Napata taabu kuwaelewa na kuelewa usomi wao. Sina hakika kama wanaelewa wanachojadili, yaani kuuelewa muswada husika na maudhui yake. Siwaelewi kama wanajisomea na kusoma hoja mbadala na kutumia vyema weledi wao.

WanaJF mliopata kuwasikiliza au kama mnawasikiliza nisaidieni katika hili.
 
Da mkuu huku wengine tupo Dom hyo radio haijafika so eleza akina nani wanaoongoza mjadala
 
Wanajiita wasomi lakini hawaijui kabisa mada wanayoijadili. Muswada hawaujui! Wanatetea mfumo uliopo na kushawishi watu kuwa kila kinachoendelea sasa ni sahihi na wanaopinga hawajui wanachopinga.
 
Kama watakua wanasema bora katiba ya zamani iendelee watakua si WASOMI bali ni MATAHIRA.
 
Nawasikiliza wageni walioalikwa leo katika kipindi cha majadiliano wapo Radio fm. Napata taabu kuwaelewa na kuelewa usomi wao. Sina hakika kama wanaelewa wanachojadili, yaani kuuelewa muswada husika na maudhui yake. Siwaelewi kama wanajisomea na kusoma hoja mbadala na kutumia vyema weledi wao.

WanaJF mliopata kuwasikiliza au kama mnawasikiliza nisaidieni katika hili.
Wapo Radio ni mali ya Askofu Sylvester Gamanwa ambaye ni muaasisi wa mradi wa wa Chuo Cha maadili uliofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete Mapema baada ya kuapishwa Urais.
Pia Askofu Gamanywa ndiye aliye mnadi Kikwete kwa Kutumia udini na kushambulia CDM na baada ya kazi hiyo tarehe 21/11/2011 Waziri Mkuu Mizengo Pindaamealikwa kwenda hapo kuzindua Mchango wa Tshs 500m kwa ajili ya mradi wa Kutoa SUMU unaotangazwa na Msanii Msanja Mkandamizaji!!

Sasa kama kunawasoni wanatuchanganya hapo Wapo Radio hawana tofauti na akina Prof.Kabudi ambao wanatumia elimu yao kuwadhulumu haki wananchi!!
Kwa hapo tulipofika utamsikia askofu Gamanywa wakati wa
matembezi jumamosi amejiandaa kukemea CHADEMA na watu wanao pinga mswaada wa CCM/CUF!!!!
 
Mkuu kumbe Gamanywa ni muasisi wa hii kitu ya maadili, aisee ni mjasilia mali mzuri sana.......
Wapo Radio ni mali ya Askofu Sylvester Gamanwa ambaye ni muaasisi wa mradi wa wa Chuo Cha maadili uliofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete Mapema baada ya kuapishwa Urais.
Pia Askofu Gamanywa ndiye aliye mnadi Kikwete kwa Kutumia udini na kushambulia CDM na baada ya kazi hiyo tarehe 21/11/2011 Waziri Mkuu Mizengo Pindaamealikwa kwenda hapo kuzindua Mchango wa Tshs 500m kwa ajili ya mradi wa Kutoa SUMU unaotangazwa na Msanii Msanja Mkandamizaji!!

Sasa kama kunawasoni wanatuchanganya hapo Wapo Radio hawana tofauti na akina Prof.Kabudi ambao wanatumia elimu yao kuwadhulumu haki wananchi!!
Kwa hapo tulipofika utamsikia askofu Gamanywa wakati wa
matembezi jumamosi amejiandaa kukemea CHADEMA na watu wanao pinga mswaada wa CCM/CUF!!!!
 
Ni kawaida kwa redio hii. Waongoza mada wake huwa na ufahamu mdogo sana si katika mada hiyo ya katiba pekee, wao kila mada huchemka. Nadhani hata sifa kuu ya kuwa mtangazaji pale ni idadi ya ibada za dini unazohudhuria kanisani.
 
Kama wanadai mfumo wa sasa ni mzuri na unafaa, sasa hiyo KATIBA MPYA ya CCM wanayoshikiza kuandikwa ni ya nini?
unaweza kumbe ukamsifia mtu hadi ukapitiliza na hata huyo unayemsifia akakuona hamnazo.

Endeleeni kuganga njaa
 
Wapo Radio ni mali ya Askofu Sylvester Gamanwa ambaye ni muaasisi wa mradi wa wa Chuo Cha maadili uliofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete Mapema baada ya kuapishwa Urais.
Pia Askofu Gamanywa ndiye aliye mnadi Kikwete kwa Kutumia udini na kushambulia CDM na baada ya kazi hiyo tarehe 21/11/2011 Waziri Mkuu Mizengo Pindaamealikwa kwenda hapo kuzindua Mchango wa Tshs 500m kwa ajili ya mradi wa Kutoa SUMU unaotangazwa na Msanii Msanja Mkandamizaji!!

Sasa kama kunawasoni wanatuchanganya hapo Wapo Radio hawana tofauti na akina Prof.Kabudi ambao wanatumia elimu yao kuwadhulumu haki wananchi!!
Kwa hapo tulipofika utamsikia askofu Gamanywa wakati wa
matembezi jumamosi amejiandaa kukemea CHADEMA na watu wanao pinga mswaada wa CCM/CUF!!!!

Bila shaka...wewe umelenga sawa sawa.......well said
 
Back
Top Bottom