Wapinzani Wanafadhiliwa Na "mtu Anayetaka Urais 2010"

watanzania wanahitaji kupata somo kuhusu haki zao na utajiri wao. kama hiyo pesa inasaidia kuwafahamisha na kuwapa somo wananchi, so be it. Ni kazi ambayo serkali yenye malengo mazuri kwa wananchi wake ingetakiwa kufanya.
 
Hoja nyingine za waandishi wetu hazina hata kichwa. Naomba kufahamishwa hapa.

Huyu tajiri sijui mfanya biashara atafaidika vipi na uchaguzi wa mwaka 2010 ikiwa wananchi hawamfahamu hata jina lake kuhusika na maandalizi ya kampeni hizi?.
Sote tunafahamu kilichowapeleka viongozi wa Upinzani mikoani ni kusimamishwa kwa Zitto bungeni, jambo ambalo limetokana na hatua ya viongozi wa CCM. Na yote yasingetokea kama mkataba wa Buzwagi ungetazamwa upya. Bunge lingeunda kamati maalum kama wapinzani walivyoomba. Pili, swala la BOT pia limepitia Bungeni sasa nashindwa kuelewa ni kitu gani hapa ambacho serikali ama kwa lugha safi CCM walitegemea Wapinzani kukifanya baada ya maamuzi yao yasiyokuwa na haki.

Haya na wao tuwaulize mbona wamekwenda mikoani kujikosha walipewa fedha na mfadhili gani? tena afadhali wapinzani, serikali yetu imetumia fedha za walipa kodi kufanya ziara za chama wakidai kuwa wanawakilisha bajeti ya serikali kwa wananchi. Mikutano yote iliyofanyika hakuna hata mmoja waliozungumzia bajeti isipokuwa kujikosha majina yao na ya chama CCM.
 
Jamani hivi huyo mfadhili hana jina mbona wanaona kigugumizi kumtaja. WTZ wana haki ya kufahamu nini kinatokea kwenye nchi yao au ndiyo mambo ya 'siri' yanawekwa kwenye kila jambo.
 
Mkandara Mzee wa Issue kanda na wenzake are short minded pamoja na kwamba wana haki ya kusema na kutetea lolote hapa . Wengine CCM ndiyo maisha maana baada ya CCM kufa hawataweza kula maisha haya .Sasa wengine anaweza kuwemo kada na mleta madai haya si rahisi kujua . Lakini ndiyo Demokrasia hii bwana . watu wanaonyesha grudges dhidi ya watanzania maana kitumbua chao kinatiwa mchanga.yaani hata kwa issue ya wazi mtu anawaza kwamba wapinzani wanafadhaliwa ? Kumbe wao kutuibia na kuingia mikataba ya ajabu ni kufadhiliwa na wazungu wanao vuna mali zetu bila ya uoga ?Nani anawafadhili wezi hawa kila siku ? Naye anaye wafadhili anataka nini 2010 ?
 
Kama kuna mfadhili, aendeleee tu unless kuna mahali kwa ufadhili wake, anavunja sheria zetu, serikali inpaswa ku-worry about viongozi waliotuhumiwa na sio habari za kampeni za urais wa 2010!
Kama kweli kuna mfadhili anayefadhili wanaharakati wa kuleta changamoto ya mageuzi ya kisiasa na kiuchumi kwa kuzingatia ustawi wa TAIFA kwa kuweka maslahi ya wananchi wake mbele na MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YAWEZEKANE Basi Huyu ndiye tunayemhitaji kuwa jemedari au Amiri Jeshi wetu Mkuu,Na wale waliofadhiliwa na mabepari uchwara na kuwaachia waendeleze Uharibifuu Kila kwenye uti wa mgongo wa uchumi wetu na kudhoofisha ustawi wa Taifa letu bila ya kuzingatia maslahi ya Taifa letu hao tunawataka tuwabebeshe virago,Kwani WAKATI NI HUU!
 
Vyama vya upinzani vinne vilivyoanzisha umoja hapa nchini, TLP, NCCR-Mageuzi, Chadema, na CUF, vinadaiwa kufadhiliwa na mfanyabiashara mmmoja maarufu hapa chini, mwenye malengo ya kugombea urais mwaka 2010, ili viongozi hao wazunguke nchi nzima kama wanavyofanya sasa katika kumuwekea mambo sawa kisiasa. Habari hizi zimetolkewa na vyonbo mbali mbali vya habari hapa nchini, hivi karibuni.

Seriously,

Huyu mhandisi wa habari Bwana Reuben Kagaruki ana akili kweli? Anataka kutuambia kuwa wapinzani wamezunguka mikoani kumpigia debe huyo mfadhili(asiyejulikana na ambaye wala hajatwa jina)? Ukisikia ujuha ndio huo, kumpigia mtu debe(tena la kuingia ikulu) bila kumtaja jina!

Watakuja na mengi mwaka huu lakini at the end of the day mafisadi watavuna walichopanda.
 
Hao unodai wana I.Q ndogo ndio viongozi.Nani mwenye I.Q kubwa Tanzania hii leo?Kama wapo nchi ingekuwa shamba la bibibi kama leo?Acha masihara.Mwenye I.Q alikuwa Mwalimu Nyerere.Hao wenye I.Q kubwa wako wapi?Wamelala?
 
Tatizo letu ni pale tunapofikiri kuwa kila mtu anayefanya jambo kubwa kwa jamii anafanya hivyo kwa kuutaka urais au madaraka mengine. Tunahitaji kubadilika, unaweza uka-support course fulani bila wewe kufaidika moja kwa moja bali unafurahi tu kuwa umetoa mchango kwa jamii na taifa lako!
 
kama tunategemea JK alete ajira za ofisini, jamani am sore, dont even bother, kama hizo chupa zinauzwa kwa bei hiyo, walimu ajira kibao, polisi kibao, manesi kibao na wanalipwa vizuri, ebu angalia kima cha chini, sasa mlikuwa mnataka ajira gani wazee ? uganga wa jadi ama ?
 
WAPINZANI WADAIWA KUFADHILIWA NA "MTU ANAYETAKA URAIS 2010"

BY: Reuben Kagaruki
Source: Majira, ISSN 0856-5086, # 50009 VOL. 11/3019



Vyama vya upinzani vinne vilivyoanzisha umoja hapa nchini, TLP, NCCR-Mageuzi, Chadema, na CUF, vinadaiwa kufadhiliwa na mfanyabiashara mmmoja maarufu hapa chini, mwenye malengo ya kugombea urais mwaka 2010, ili viongozi hao wazunguke nchi nzima kama wanavyofanya sasa katika kumuwekea mambo sawa kisiasa. Habari hizi zimetolkewa na vyonbo mbali mbali vya habari hapa nchini, hivi karibuni.

Hata hivyo, Mwenyekiti wa TLP, Mrema, alikana tuhuma hizo na kusema kuwa wao wanafanya kazi ya kuwaamusha wananchi wapate hasira takatifu na waonfdokane na ondondocha unaowafanya wanyamaze kimyaa, huku nchi ikitafunwa na kikundi cha wachache. Alisema kuwa mbali na kutumia helikopta, ikiwezekana watatembea kwa miguu au mikokoteni kueneza hasira hizo kwa wananchi, wakigomee kikundi cha wachache wanaowaibia na kuendeleza ufisadi.

Mrema, alipobanwa zaidi amtaje mfadhili huyo, alisema ni mapema mno kusema kuwa kuna mtu au mfadhili, sisi hatuna hela za bangi, rushwa, wala madawa ya kulevya, kama kuna mtu mwema ajitokeze na atusaidie. Alipoulizwa kwamba wamepata wapi hela za ghafla za kuweza kukodi helikopta, alisema "...Nimegundua gaharama za kuendesha shangingi ni kubwa mno kuliko helikopta, kwa mfano tulipokwenda Songea na Rukwa, tulitumia hela ndogo sana kuliko tungetumia gari..."
ilikuwa kweli mkuu
 
Back
Top Bottom