Leo kasimama Mr. katoa mfano wa Al-bashir alivotumia janjawit kuzorotesha waliompinga Mwenyekiti akasema Mr II ameitukana serikari athibishe au afute kauli. Akasimama Manyaya, akaseme CHADEMA wako nyuma ya mgomo wa madaktari. Mnyika akaomba Manyanya athibitishe, Mwnyekiti eti kama sio kweli akanushe. Mweyekiti huyu kwanza nimwemwona hawezi kabisa kuendesha lile Bunge, pili hajui sheria na kanuni za Bunge. Na kama anafanya makiusudi kulinda chama ambacho kimegawanyika, namwambia 2015 sio mbali, wananchi wanona uozo huo. Sijui ninyi mnasemaje?