...Aisee Taifa si ndiyo watu wenyewe?? sasa hebu fikiria Taifa lenye watu wasiyo na Vichwa wala miguu.... au anaye baka naye abakwe,huo uchumi una-priorities gani tena?Taifa lisilokuwa na priorities... wote tunafahamu tuna matatizo ya uchumi tunaanza kupoteza muda na vitu visivyokuwa na vichwa wala miguu....
Hili jambo tena litawachukulia muda wapinzani...maskini ukikosa strategy kila linalotokea unalichukua.
Ningekuwa Mh.Pinda... najiandaa kujibu hilo swali la upinzani kwa natafuta hadithi nzuri na kuwachekesha wabunge tu... maana wakicheka watasahau kila kitu.....