Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

Kujisahihisha kwa mambo unayodhani ulikuwa unafanya ndivyosivyo hauwezi kuwa unafiki. Unafiki ni kutoa hoja nyepesi kama wabunge wa CCm pamoja na huyo Samwel Sitta kuwa ati wabunge wa upinzani walikuwa wapi??. Hoja ya kujadili ni je, posho za vikao wanazo pewa wabunge zinastahili au la?
 
Nampa Big Up sana msajili wa vyama vingi nchini kwa kutokisajili hiki chama cha CCJ! Kumbe Sita ni ndumila Kuwili?
 
duh! Magamba ni noma siamini kama sita kaongea hicho alichosema,kweli nyoka ni nyoka tu!!!! Atajuta kwa alichokisema.......
 
Huyo ndiyo Sitta. Hivi sasa si anaongea kama Waziri Mkuu!! Amepata alichokuwa anakitaka sasa mtamkoma!!
 
Nimekuwa nikiandika humu kuwa Samweli Sitta ni KIONGOZI mnafiki na wanaomfagilia ni WAJINGA, nimechagua neno zuri WAJINGA.

Tangu aliposimamaia vita ya kumkomoa LOWASA kwa mgomgo wa vita vya ufisadi nimemdharau huyu mzee!

Kwa bahati mbaya sana wengi humshangilia ......Tiafa la waliochoka kufikiri. Leo tena ametukana Watanzania wanaokosa huduma za afya kuwa yale malalamiko ni UNAFIKI!

HONGERA KAFULILA kwa UNAFIKI WA KUWATETEA WANYONGE!

Hivi kama wizara ya afya inapewa fedha kidogo halafu mwisho wa mwaka fedha hizo kidogo zinatolewa nusu hivi wanaoitetea serkali kuwa ni LEGELEGE WANA AKILI ZA ZA WAPI!

TULISHASOMA humu kuwa wizara yenyewe inanunua suti 2000 toka Uingereza kwa ajili y 77 na 88 ,Watazania tunachekea tu,
Afu kina mama wanakufa tunasema hakuna fedha!

Kwa ujinga huu hata shetani anaweza kutukana kuwa si wake kwa sababu akili zetu ni ndogo na hazina msaada kwake!

EEH MUNGU MLAANI SAMWELI SITTA NA WALE WOTE WANAOTUONA KUWA WATANZANIA NI WAJINGA!

KUNA SIKU MUNGU ATATUPA NGUVU KUUSHINDA UPUMBAVU HUU!

SITA AMESEMA HIVI

MH SAMWELI SITTA:

Anasema angewasihi Wabunge wa CCM kuwa hawa wapinzani hawa ndio kazi waliyotumwa kuifanya wapinzani ni Wanafiki na mambo yao mengi yamekaa kinafikinafiki, Mfano kuita posho za vikao ni kuibia wananchi na baadhi yao wamekaa humu miaka mitano wakila posho sasa leo wanaziita kuwa si halali, hivi kweli wananchi watawaamini hawa.

wataendelea kuwa hivi hivi na kubaki wapinzani

Miongozo imechachamaa

Mhagama anasitisha shughuli za Bunge huku Mic zote zipo on KAMA SOKONI Aiseee
 
Unapoleta mada ya kujadili hapa si wote walioshuhudia matamshi ya Samweli Sitta bungeni. Ujitahidi kuandika paragrafu inayoelezea habari kamili ili tuelewe nini unaongelea, maana hapa naona tu malalamiko na hujaleta habari iliyokamilika tukasoma, tukaielewa na kuanza kuchangia.

Tunapoleta mada hapa tutumie utaratibu wa kitaaluma, vinginevyo itakuwa ni kama flag, au sentensi isiyokamilika kwa muundo wa subject and predicate.

Sijui nichangie nini
 
ni kweli.hata mimi nilishasema yule mzee mnafiki sana na hafai....
 
Unapoleta mada ya kujadili hapa si wote walioshuhudia matamshi ya Samweli Sitta bungeni. Ujitahidi kuandika paragrafu inayoelezea habari kamili ili tuelewe nini unaongelea, maana hapa naona tu malalamiko na hujaleta habari iliyokamilika tukasoma, tukaielewa na kuanza kuchangia. Tunapoleta mada hapa tutumie utaratibu wa kitaaluma, vinginevyo itakuwa ni kama flag, au sentensi isiyokamilika kwa muundo wa subject and predicate. Sijui nichangie nini

SITA AMESEMA HIVI

MH SAMWELI SITTA:

Anasema angewasihi Wabunge wa CCM kuwa hawa wapinzani hawa ndio kazi waliyotumwa kuifanya wapinzani ni Wanafiki na mambo yao mengi yamekaa kinafikinafiki, Mfano kuita posho za vikao ni kuibia wananchi na baadhi yao wamekaa humu miaka mitano wakila posho sasa leo wanaziita kuwa si halali, hivi kweli wananchi watawaamini hawa.

wataendelea kuwa hivi hivi na kubaki wapinzani

Miongozo imechachamaa

Mhagama anasitisha shughuli za Bunge huku Mic zote zipo on KAMA SOKONI Aiseee
 
jamani c mwanzilishi wa CCJ huyu?sasa unafikii ni upi? kaka siasa inakutupa mkono angalia dili jingine hata kwa kauli yako ya kinafiki adhabu inakusubiri
 
Leo tena kipenzi chenu CDM mnamkataa? Magwanda bana


Nyie magamba mbona bosi wenu Rostam aliyewaingiza ikulu kwa fedha chafu ya EPA kupitia kampuni yake tanzu ya Kagoda leo mnamuita fisadi?Rizwani unachekesha sana,magamba bwana.
 
ila huyu ni mmjoa ya wanaccm makini , mahiri na hodari
261325_175684172493219_100001549126150_454564_1619470_n.jpg
 
ccm hakuna mzima hata kidogo .yeye anadhani anakisaidia chama mwache atajionea .watafute hoja nzito waweze kuhalilisha posho maalim kesha waambia hawasikii.kwani kuwemo miaka 5 bungeni ndiyo sababu ya kutoipinga posho ? Huyu mzee eti naye ana uchungu na nchi.huyu ana uroho wa madaraka na si lolote .ccm ndiyo walivyo unafiki means what ? Watu kusema ukweli ?kesha shusha heshima yake kwenye jamii hata wale waliokuwa wanamkubali basi wameona aibu .hakuna kitu

jamani wanajamii wenzangu...........mbona tunakuwa mbumbumbu??????????!!!!!!!!!!!!!
Kama watu hawataki posho si wabunge tu wapige kura kama nchi nyingine .......atakae shinda
huja yake itachukuwa hatamu?? Yanini kuongea kama watu wasio na jinsi ya kufanya mambo........
Halafu ndio mtaona kama hakubaki zitto na mmbowe....hata mze slaaa anazitaka pesa zake za posho ziongezwe
kuzunguka nchi nzima mchezo??
 
duh! Magamba ni noma siamini kama sita kaongea hicho alichosema,kweli nyoka ni nyoka tu!!!! Atajuta kwa alichokisema.......

Naona taratibu Lowasa anamzidi credit Sitta, Yaani Sitta anapigwa overtake kwenye kona za mlima Kitonga na Lowasa. Hadi kufika 2015 Sitta atakua amepotea kabisa
 
na Mzee Sita alifika mbali na kupongeza wanaccm wenzake makini na wenye weledi uliotukuka kama huyu mzee wetu
166649_193157790700856_100000199094899_825364_4376743_n.jpg
 
Back
Top Bottom