Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

Anaongea upupu kwa kuwa dhamira inamsuta kutokana na sualiti wake wa kuasisi uanzishwaji wa CCJ. Sikujua kuwa mvi ni rangi tu hata wasio na busara wanazo. Kama kiongozi kaonyesha busara gani kwa kuropoka maneno yale??nadhani hajui kuwa haongei yeye kama Sitta bali ni kiongozi wa shughuli za bunge. Ombi langu Mzee Pinda rudi uchukue kiti chako huyu bwana inawezekana anafanya Sabottage, mana anasifa ya USALITI
Mkuu wote bure ni kama mke wa panya anamcheka mke wa mjusi kuwa mme wake anamkia. Hakuna pinda wala 6 wote hamna kitu!
 
Sitta wa CCJ anajikomba CCM wasimvue gamba! Hivi huyu jamaa anaweza diriki kusema wapinzani ni wanafiki!!Yeye ni mnafiki aliyeitosa CCJ baada kuona imekosa ulaji.
Nilikuwa nikimuamini huyu mzee, kumbe ni njaa tu huyu! Ngoja akina Lowassa watakufix uipate, unacheza na CCM magamba eeh!
 
nyombwe.blog.co.uk/.../sitta-ataka-watendaji-wa-bunge-waongezwe... - cached
6 mei 2009 – spika wa bunge, samweli sitta, ametaka posho na mishahara ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge ziongezwe kwa maelezo kuwa posho.

www.bongofree.net/news_articles/swahili_news/ctl/.../5476.aspx - cached
spika sitta aipuuza takukuru kuhusu hoja ya 'posho mbili' kwa wabunge. Posted @ thursday, october 29, 2009 11:52 am, 84 views, 0 comments ...
Tarehe 16 agosti 2010, sitta alimwandikia rais kikwete akimtaka kuidhinisha malipo ya makamishna wa bunge ambao ni wabunge kwa msingi uleule kama wa mawaziri. Barua ya sitta iliyokwenda kwa kikwete (ambayo gazeti hili limeona nakala yake), ilikuwa na kumbukumbu na. Ceb.155/169/01/125.

habarileo.co.tz/kitaifa/?n=4092 - cached
30 okt 2009 – sitta amesema, fedha wanazopewa wabunge si posho, ni takrima kama wanavyopewa watu wengine wanapohudhuria mikutano, wakiwemo waandishi wa ...
www.jukwaahuru.com/ - cachedsimilar- block all www.jukwaahuru.com results

not helpful? you can block maskani ya uchambuzi yakinifu results when you're signed in to search.maskani ya uchambuzi yakinifu


urafiki wa mashaka? Waheshimiwa samwel sitta na edward lowassa katika picha ... kwa ajili ya kukaba zile posho za kukaa kwenye vile viti vyao vya kuzunguka? ...

w.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=9830 - cached28 okt 2009 – spika wa bunge, samuel sitta, sasa ameanza kutoa kauli tatanishi baada ya jana ... kuchukua posho mara mbili, baada ya kufanya kazi moja. ...

www.yasni.com/la+posho/check+people
27 mei 2010 – alimshangaa spika wa bunge, samuel sitta kwa kusema suala la posho hizo ni haki ya wabunge kwa sababu ni kama takrima tu na si rushwa … ...





ukistaajabu ya six
filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 2:45 pm

ama kweli, ukistaajabu ya mussa, utayaona ya firauni!
kama unadhani vigogo wa epa ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu spika wa bunge samuel john tegeza sitta ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem – mr misifa.
Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana naibu spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!
Tumebaini kwamba sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-
- anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi milioni kumi na tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa mhasibu mkuu wa ofisi ya bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- sitta hupeleka risiti za uongo kwa mhasibu mkuu, zikionesha madai kutoka oysterbay pharmacy ya shilingi milioni mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.
- amekuwa akilazimisha hawara yake wa hospitali ya aga khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa ‘per diem’ kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( siku 50). Huo ni ufisadi mkubwa!
- anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la asia ambaye anaishi nyumba na. 111 karibu na mahakama ya ardhi upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama sitta, na ni dada yake aliyekuwa mwenyekiti mtendaji wa iliyokuwa tume ya kurekebisha mashirika ya umma (psrc). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la ofisi ya bunge stk 232 toyota rav 4.
- pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa) ambaye anaishi kinondoni ( livingstone), mtaa wa honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na nyumba na. Kh.mk/no. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya spika mwenyewe stk 3002.
- vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za ofisi ya bunge. Kuna kipindi mke halali wa spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa spika akaomba apelekewe ‘ bowser’ la maji na ofisi ya bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama sitta akashtukia dili.
- kuna taarifa kwamba mnamo mwezi oktoba 2007, kamati ya bunge ya hesabu za serikali (pac) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na spika sitta. Nimedokezwa kuwa spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!
- kama jk anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku – ‘sacrifice’ kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu sitta alipokuwa mwenyekiti mtendaji wa kituo cha cha uwekezaji nchini (tic) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa kigeni. Je, wizara ya maliasili na utalii inatambua kuwa spika ana hisa kwenye kampuni moja ya kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!
- nililokupa hapo ni tone tu.

great job
 
Hiyo ndo sifa kubwa ya wanamagamba. Ni wengi ndani ya chama cha magamba wapo kama huyu mzee sema bahati yao nzuri wengi hawapati nafasi ya kuair their views. ila ukiwapa nafasi kubwa watalofanya ni kuchafua hali ya hewa na ndo mana hata mjengoni wengi wao wamekuwa mabubu kwa vile hawana jipya kazi yao ni kuongeza wingi ndani ya bunge ili kuunga mkono hoja na kujaza ndioooooooooooooooooooooo utadhani walichaguliwa kwenda mjengoni kucheza segere.

SASA HIVI ITABIDI TUWALAUMU WANANCHI WALIOWACHAGUA MAANA HATUTAKI WATU VIOJA NDANI YA MJENGO. TUNATAKA WATU WANAOJADILI MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.
 
6 u muhafidhina, u mzandiki, u mwanga pia u mnafiki milele, na dhamira yako ikusute. Umeongea pumba sana mdingi.
 
Ndio wako wengi wanafki zaidi ya 6 ila bora walionyamaza kimya kuliko yeye anajifanya ni mzuri kwa nje kumbe ni mbwa mwitu 2. Ebu wananchi wenzangu 2fike mwisho kuwachagua vibabu na vibibi maana hatuoni wanachokifanya zaidi ya kucnzia, kukubali kila hoja hata kama hazifai ili kuwakomoa wapinzani na kuongea UNAFIKI 2.
 
Mzee Sitta, mimi nilikuamini sana pamoja na kuwa upo CCM, kuanzia jana na matamshi yako, umenivunja moyo. Kwa heri. Nani atakuwa Rais wa Tanzania toka CCM (ukiacha Slaa toka chadema). Ulikuwa tegemeo letu tulio wengi tanzania. Yaani tukimkosa Slaa, basi wewe ulikuwa muhimili mkubwa, mtaji wa urais, sasa nawe kama nabariki posho, basi nikuwa hujapata nafasi nzuri, ukipata utatuibia sana.

Walkatabahu.
 
yule ni mzee wakanisa pale kinondoni,tulikuwa tunamuheshimu sana lakini hakuwa anajua,tuna data zake nyingi saaana!
 
Kosa la kuficha yale majina Nyeti ya wamiliki na wahusika wakuu wa Richmond kwa maslahi ya chama litamgharimu sana huyu Baba! Inamlazimu kuuma na kupuliza kila upande kati ya Chama na Walala hoi tulio wengi. Binafsi namuonea huruma sana sana.
 
Leo nimemwona Mtoto wa Mkulima,Waziri Mkuu wetu Mahiri na Mwenye Busara na Uwezo tosha wa kuwa Kiongozi wa Serikali Bungeni!
Yeye anapokuwa Kazini Bungeni walau majibu yake huwa yanamuelekeo wa Kupata Majawabu kuliko huyo Mh.Sita aliyemwachia Kiti na Kuvuruga mambo kwa Lugha za Kejeli!
Jana nimestaajabu kumsikia Mh.Sita akidai eti Wapinzani ni Wanafiki na WanaHoja Nyepesi!Cha ajabu kwenye swala la Posho alilowashupalia wapinzani na Kuthubutu kuwaita Wanafiki!
Cha ajabukwenye Mpango Mkakati wa Serikali,Swala la Kupunguza Matumizi ya Posho Limo na Hata Mh.Mkulo alitamka wazi wakati wa Budget ya Taifa Letu kwamba serikali imejipanga kupunguza matumizi katika eneo la posho.
Swali ni Kwamba kama Serilikali iliyokuwa inatoa posho siku za nyuma,sasa imeona kuna haja na umuhimu wa kuzipunguza na kulipa jambo Umuhimi imeamuai kuliweka kwenye Mpango Mkakati wa Taifa,Sasa Je Kwanini Wabunge wa wapinzani waliokuwa bungeni katika bunge lililopita wakisema hawataki posho waonekane wanafiki kwa Sitta!Badala ya Kuwasifu kwa Kuanza kutekeleza Mpango mkakati wa Taifa?Sio Bure
Mie Mkweche naona wabunge wa Upinzani si wa Kubeza na Hawanaga Hoja Nyepesi,hoja zao ni Nzito!Tena naweza Kushawishika kusema Wabunge wa Upinzani ni Kipimo cha Uzalendo na si wa Kubeza hata Chembe!Wana Hoja
 
Halafu *hata humu JF kuna watu wanatakiwa wajivue magamba kwa kuwa wanatuharibia moody kila siku.
 
Sitta mnafiki no. 1 atueleze kwanza CCJ kulikoni? nani asiyejua kuwa aliomba kujiunga na Chadema ambao leo anawaita wanafiki? Siasa zake za maji taka apeleke huko huko! Kwanza alichosimama kutetea pale Bungeni wala kilikuwa hakihusiani na hoja ya Kafulila. Mzee kwishney wallah! anajikomba kutafuta cheap popularity bullshit!
 
Samwel Sitta, mwanzilishi na mfadhili mkuu wa CCJ ni mnafiki mkubwa sana. Alizuga watanzania wengi wakamuona kuwa ni kamanda vita dhidi ya ufisadi kumbe yeye mwenyewe ni fisadi papa, hivi kutumia zaidi ya Tsh 500,000,000/- kujenga ofisi ya spika wa bunge nyumbani kwao Urambo kama siyo ufisadi ni nini?Hivi anaweza kuwaeleza walipa kodi wa nchi hii ofisi ile ina matumizi kwa sasa?Huyu mzee ni mnafiki wa kiwango cha juu kwani ni yeye alilizima kihuni sakata la Richmond bungeni.Kifupi huyu SAMWEL SITTA AOGOPWE KAMA UKOMA
Mkuu hapo umenena neno!hakuna zee linalozeeka vibaya kama hili!zee nafiki kama nini!aende huko CCJ ili akagombee hata udiwani hapati!
 
Sitta destroyed his legacy and lost all of his credibility

SIXLOWASSA.JPG


Kuna usemi unazungumzia wanasiasa wasio na mwelekeo siku zitakuja na watamwagiwa acid. Tunaona matukio na recent revelations kuhusu Sitta na zinaonekana ni za kutisha. Hapo nyuma hata mimi niliusifu huu mkaa kwa hatua zake lakini ilipofika wakati wa kuondoka hiki chama cha wahuni na kujiunga na wenzake CCJ macho yakamtoka. Tunachokifahamu sasa ni history ya siasa, Sitta kachagua kula pesa za wananchi na kuhongwa kama ... hapo ndipo legacy ya Sitta na yote aliyoyafanya kuanza kuzama maji. Maji yenyewe yanaonekana ni marefu sana kwani mpaka sasa amekunywa mpaka posho zinamtokea kwenye masikio. Kweli posho, network za kihuni, ufisadi, nyumba za serikali, magari ya serikali yote haya yamechangia kumzamisha Sitta. Sisi wananchi tunaona wazi vifo vya maskini na wananchi na vita vyetu juu ya ccm, Sitta kachagua ku-take side na wala rushwa ccm. Je huyu Sitta ni binadamu tena au kabaki na magwanda ya ccm?

Former Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta, was yesterday alleged to be among leaders behind the formation of Chama Cha Jamii (CCJ).This came to light when the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) cadre, Mr Fred Mpendazoe, addressed a public rally here.Mr Mpendazoe, who was among CCJ founders before crossing over to Chadema, claimed that he was with Messrs Sitta and Nape Nnauye in the plot to dump CCM for CCJ.

While Mr Sitta serves in the current government as the minister for East African Cooperation, Mr Nnauye was recently appointed the CCM publicity and ideology secretary.But, responding yesterday, Mr Sitta said he would not like to comment on the issue until he acquainted himself with what Mr Mpendazoe had claimed.
Mpendazoe: Sitta among CCJ founders

Tuangalie quotes na utumbo anaosema Sitta sasa akiwa ndani ya uhuni:

“Wabunge wa upinzani kazi yao ni kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali, lakini sisi tutahukumiwa na wananchi. Siku zote wapinzani mambo yao ni ya unafikinafiki,” alisema Sitta na kuibua zogo zaidi.

Uzee na ujanja wa kihuni uzeeni kweli ni aibu katika siasa na utu wa kitanzania. Hii ndio legacy ya Sitta mpaka atakapo ... na uzee wake, hatuwezi kudhalilishwa na sisi kuendelea kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom