Wapili kutoka Jakaya kwenda kulia mfupi ni nani?

Upande wako wa kulia sio wa JK. Umeambiwa mfupi. Kusoma huwezi, hata picha pia huoni?
Kichwa: Wapili kutoka Jakaya kwenda kulia mfupi ni nani?
Maelezezo ya picha: Jamani naomba kujua afisa aliye mstari wa mbele wa pili upande wa kulia toka kwa Ndugu Rais Jakaya Kikwete.<!-- google_ad_section_end -->

Mkuu, usifoke tu. Niliyemtaja mbona na yeye ni mfupi, faida yake kidogo ni kuwa amekuwa karibu na mpiga picha. Lakini kama unajua kusoma picha, katika huo mstari wa mbele yeye ni wa pili kwa ufupi (nafikiri huenda wakawa sawa au amepitwa urefu na mtu wapili toka kulia mstari wa nyuma).
To make the day good re-read hizo sentensi mbili za mtoa mada and look at them from the other angle. Ha ha ha ha!
 
huyo ni mganga wa kienyeji anakujaga kutambika mjengoni ili mafisadi waendelee kuila nchi bila kutokea vurugu yoyote nchini, kwao ni Tanga handeni
 
Anaitwa Archard A. M. Kalugendo, yeye ni afisa wa madini Wizarani, alikuwa london kwa muda mrefu sana , amerudi nchini juzijuzi, ila familia yake ameiacha UK. Ana ulemavu.
 
Anaitwa Archard A. M. Kalugendo, yeye ni afisa wa madini Wizarani, alikuwa london kwa muda mrefu sana , amerudi nchini juzijuzi, ila familia yake ameiacha UK. Ana ulemavu.

Asante kwa taarifa, maana ni sura ngeni ambayo hatujazoea kuiona hapa kwenye safu za viongozi, na mpaka awe katika tukio lile kwa vyo vyote ana nafasi kati ya nafasi ya wakaongozi wa ngazi ya kitaifa.

Shukrani kwa ufafanuzi na wengi nahisi wataridhika na ufafanuzi wako.
 
Mbona watu wanawapa wenzao majina tuuuuuuu! Bwana Archard alikuwa kichwa! Amesoma BUkoba Sec kisha akaenda Ihungo secondary...... Yuko safi huyo jamaa!
Anaitwa Archard A. M. Kalugendo, yeye ni afisa wa madini Wizarani, alikuwa london kwa muda mrefu sana , amerudi nchini juzijuzi, ila familia yake ameiacha UK. Ana ulemavu.
 
Mfupi si Riz1!?
Mleta mada hakumaanisha ufupi kama ufupi wa kimo ila utambulisho kati ya waliosimama pamoja. Huyo inawezekana ni mrefu kuwapita wote, ila hali ninavyomwona ni kutokana na ulemavu unaotokana ukubwani kutokana na kuugua uti wa mgongo na hivyo kuwa na kibiongo . Jambo hilo laweza kumpata ye yote, tuombe Mungu na tumtakie utumishi mwema uliotukuka.
 
Naona Kama kawa mkuu anapiga picha baada ya kugawa Pipi Ikulu, Mkuu kila siku anateua.
 
Huyu bwana nilishawahi kukutana mtwara kwenda mamitambo ya kufua umeme... Hopeful atakua Engineer wa tanesco maana kwenye hiyo list namuona pia Enginner Mhando
 
Back
Top Bottom