Ahahaha! hahaha! acha madongo mkuu wangu Mzee Yusuph yupo pale na Bi Kidude tunaye na ndio wasanii wanaotamba hadi kesho. tena JK kambeba Yusuph na kumleta huku Mtanzania kutumbuiza represent ZnZ...Zanzibar hubadilika kila miaka 200 maana mitaa ni ile ile na watu maarufu ni wale wale toka 1947, kama katokea mwingine basi muuza Unga!..24 hrs ni muda mrefu sana kwa siasa za Tanzania let alone Zanzibar! Hivyo April 2011 ni sawa na mwaka 1947. Mambo yanakwenda kwa speed kubwa.
Na kama niliandika, wapo wakubwa wengi sana wanaokubaliana na hoja za Maalim Seif (Tofauti na huko awali). Ndio maana sikubalini na hoja yako kwamba "tuwape watu wenyewe na sio kundi la watu". For better for worse, wanzanzibari waachwe wafanye wanavyotaka. LET ZANZIBAR GO.