'Wapiganaji' walioko CCM wanapigania nini hasa?

Makamanda dhamira yao haiweleki kisawa sawa na binafsi nawaona wanawoga nikiwalinganisha na Dr. Slaa au Zitto. Hii inatia wasi wasi zaidi ya kushindwa vita ambayo kwa ukweli waasisi ni JF na Dr. Slaa isipokuwa walidandia kwa mbele na kulinda maslahi yao kisiasa zaidi. Mwanzoni ilionekana kama kuzima ushindi wa wapinzani ili ionekane na CCM pia kunawapiganaji.

Inaweza nia yao njema lakini muda hauko upande wao na wanachopigania hakionekani wazi, manake miaka minne imepita hawajakamata wala kutaja Fisadi hata mmoja zaidi ya kuuza magazeti na kulalamika kama wananchi wengine ambao hawana siti mjengoni. Ni vyema wakaamua kutoka katika chama na kuanzisha chama chao au kuungana na vyama vingine nje ya CCM. Vinginevyo wanauza sura tu na hakuna mabadiliko yeyote watakayoleta na majimboni kwao hakuna walichofanya zaidi ya kutafuta huluma kwa kisingizio cha kupingwa na mafisadi.
 
Mwanakijiji heshima,

Hawa wapiganaji hawana lolote zaidi ya kutafuta umaarufuu kwa umma. wako na mengi kama anavyowasaidia fedha na media coverage lakini ni watu hao hao katika chama kile kile kwa kutumia sera zile zile wanaendelezaa ufisadii wa kulaghai wananchi wa Tanzaniaa..

Binafsu siwaungi mkonoo hata chembe kwa mapambano hayo ya kutafuta umaarufuu ndani ya taasisi ile ile... Bado nafsi zao zimejaa ubinafsi mkubwa na wanafaidi kwa kiasi kikubwaa ufisadi wa CCM uanzia kupata nafasi walizoo nazoooo..

Tuna ushahidi mkubwa ushindi uliowapa ubunge haukuwa sauti ya umma ila ulaghai wa umma kwa mbinu za CCM..
 
Rev. Kishoka..
Mkuu mimi sikubaliani na usemi wako na nitanukuu tena maneno ya Field Marshall Es.. Wanachokifanya makamanda hao ni sawa kabisa na sisi hapa JF..mapungufu unayoyaona kwao ni sawa na yetu sisi isipokuwa wao wako chama CCM, wewe na mimi tupo TZ na ndio tuliowachagua na tutaendelea kuwachagua Mafisadi. wanachokifanya na kukitangaza ndio waraka wa kweli, waraka unaokubalika na watu wote, leo ukiwaponda hawa sijui kesho Kardinali Pengo utamtazama vipi!

Sasa tujiulize mwenye kosa tangulizi nani kati yetu kama sio sisi wananchi tuliwapa kura zetu hao Mafisadi..Leo hii hawana hata wizara, hawana wadhifa, Uheshimiwa umebakia wa tuzo..Wamebakia ktk chama kutokana na sheria ambayo hawa Wapiganaji hawawezi kuivunja kwani sisi wananchi ndio tuliowachagua.

Mafisadi ni wabunge wetu. Lowassa, Chenge, Karamagi, Rostam na wengine wote ni chaguo la wananchi. na kibaya zaidi tuliaswa mapema kuhusu watu hawa lakini sisi wenyewe tulimwona Nyerere kichaa Mjamaa mwenye roho mbaya!.

Hivyo waacheni jamaa waifanye kazi yao kama Mwanakijiji anavyokuja hapa kijiwezi na kumwaga manyanga yake.. Mwanakijiji ni Mpiganaji kwa njia yake lakini ukitaka ku question Upiganaji wake unaweza kuzua maswali mengi tu..Na hakika hadi tunavyozungumza hivi sasa Mwanakijiji anaweza kuwa mwanachama wa chama CCM!..

.- Bob ahsante sana mkuu, wanachokifanya wapiganaji ndio kile kile tunachokifanya hapa JF hakuna less wala zaidi, wabongo tunaongea mno hilo tu ndio Mungu alitujalia sana, lakini matendo hakuna lakini naomba kuwapa heshima sana wapiganaji kwa kitendo chao cha kishujaa walichokifanya mwisho wa wiki hii huko kwenye jimbo la mpiganaji Seleli,.saafi sana na inaleta heshima kubwa sana

Respect.

FMEs!..
 
Kaka kumbe humu ndani mnajuana, na pengine huwa mnaoneana aibu hata kuelezana ukweli.

Mkuu mimi ni junior staff chuo kimoja kikuu, sina nyumba nina kiwanja mbagala, niko masomoni nje, sina na sijawahi kuota kununua hizo nyumba, hata kama pesa ningekuwa nayo.

Umenishtua kuzungumza kwa ujasiri kiasi hicho mkuu! sijakuelewa na ninazidi kushtuka badala ya kujiibu HOJA unarusha tuhuma tena za uwongo. Humu ndani watu tunatumia majina ya yasiyo yetu, UMENIJUAJE?

Hivi mkuu una umri gani? maana ni vizuri nitamshauri invisible watu wawe wanadisplay umri wao hata kama watadanganya, ni vizuri tuwajue wenye frustration za kunyimwa migao na mafisadi!

Anyway, tufanye uliyosema ni kweli; KWA HIYO NA WEWE FISADI KWA SABABU MIMI FISADI??? NDIYO MAANA MNAONGOZANA NA FISADI Mkuu?? unaona ulivyoingia kwenye mtego? kwa hiyo kumbe kweli siku zoote hizo unajifanya malaika wa nuru?? unajifanya kukusanya mawazo ya wana JF uwapelekee wapiganaji, eti wapiganaji woote wanamsikiliza FMES, na hawafanyi lolote mpaka FMES ASEME KITU!!!! mkuu unaseduce mawazo ya wanaokufuata!

Hiyo Meremeta nilivyo shallow, at least free copy za MKJJ zilinitoa tongotongo!!!

FMES narudia teena hapa sio wewe, sijaamini mkuu, for future the best way ya kuona huwezi kujibu tuhuma ni kukaa kimya! this is great weapon, na sio kujibu ulivyosema

OK, waambie wana JF mimi ni nani na toa details zote, thibitisha hizo tuhuma.INA , NYUMBA GANI MEREMETA GANI LOL!, TOA DATA ZANGU ZOTE NA ZANGU SITATOA MIMI;MODS watatoa kwa niaba yangu maana wana record ya malipo yangu ya mwezi mmoja!!!!!mkuu huna pa kukimbilia

Ukishindwa kuthibitisha tukuiteje???? utakubali kubatizwa majina yooote nitakayo mimi?

Nacheka nakuwa kama nakuona vile umebanwa, this is JF bwana ukiona nyingine copy, unapewa vidonge vyako na nenda kaseme uko kwa wakubwa wako!

Hili jiwe unalo mkuu, tafuta kubadilika na kuwa honesty na siyo kuzushia watu tuhuma as if you know everbody, wazee bwana!

Mkuu wewe ukipingwa tu kwa hoja unazushia watu uongo? ili wakimbie JF na kuwaharibia status zao? kwa faida ya nani? sijashtuka sana anyway, inadhihirisha ulivyo CCM damu! LOL

Hii sijawahi kutegemea kutoka kwako!!!!!!!!He!!

waambie tena sentensi hii fupi, kuwa hakuna msafi CCM!

ukome kusema wapo na ukome kujiita mpiganaji ndani ya mafisadi, wachawi mko humuhumu, MIMI nimekujua kwa post zako tu mkuu, sina namna ya kukujua zaidi ya hapo, maana hutanisaidia kitu!

Ndiyo mnamualika rais azindue zahanati! mafisadi nyie!

He!!! YA LEO KALI!!!

ASSIGNMENT!

1. JIBU HOJA
2.THIBITISHA TUHUMA, maana si vizuri ukawa unaishi ukiwajua mafisadi, wewe ndiyo unakuwa fisadi mkubwa! hili nalo linakuweka pabaya sana, nimesema jina langu halisi watatoa MODS na si mie!

- Unasema maneno mengi sana lakini huf.gusi ukweli, ya kujuana umayaanza mwenyewe mkuu sio mimi, ungekuwa hunijui usingenihusisha na ufisadi wa CCM, ninakupa nafasi ya wazi kama unaujua ufisadi wangu au anything katika maisha yangu cha ufisadi kiseme hapa kama mimi mninavyosema yako na wala sina wasi wasi, hivi huu si mwezi wa Ramadha...ni ndugu yangu na wewe ni she.he tena mkubwa sana vipi ndugu yangu mbona aibu?

- Ninasema hivi wewe ndiye fisadi, kwanza umesoma chuo cha mafisadi BOT ulikoanzia kazi, halafu masterminder wa Meremeta ni familia yako na mtoto wake amekuwa akiishi na kusomea nyumbani kwako, yeye mwenyewe master wa Meremeta ni mgeni wa kila wakati nyum.banii kwako, na pia ameweza kukusaidia kununua nyumba ya serikali ya wastaafu wake, sasa unafikiri kutumia majina ya wakwe zako humu JF itakusaidia kujificha, wewe ni fisadi tena wa kutupwa sana unajifanya kuandika kishujaa hivi umewahi kufanya nini cha maana kwa taifa mkuuu mpaka kuwa na hiyo authority ya kutukana wengine humu JF kuwa ni mafisadi?

- Mimi sio kiongozi wa anything, wapiganaji wengi ni marafiki zangu na nina waheshimu sana kwa kazi nzito sana wanayoifanya na watafanikiwa tu kwa sababu kama sio wao CCM isingeshinda Busanda wala Biharamulo, ile therad ya mawazo ya watu hapa kama wajitoe CCM au wabaki, ni leo tu nimemaliza kui-edit na kesho ninaifikisha, wengi hapa JF hata mnaotukana mlisema wabaki CCM wasitoke.

Ukitaka kuheshimiwa jihesimu kwanza mkuu, sikuogopi wewe wala mtu yoyote, kwa sababu mimi sio fisadi na wala sina hata chembe ya ufisadi I am clean, wewe ni fisadi maana hata shule ya mafisadi BOT ulifi.udhu!

Respect.

FMEs!
 
Hapa kazi ipo, huku kwetu tunasema Imbombo ngafu!

Lakini si mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa fisadi ni fisadi.

FMES mtaje babako nani, tujue kama wewe sio fisadi, maana hapo kwa Waberoya umeingiza mambo ya familia.

Muda wote hapa nasoma unashinda na mafisadi, hujaambukizwa tu huo ufisadi?

Tuache kudanganyana, wale waliongoza kukata mapande makubwa ya nyama yetu, sasa wanajifanya ndio mabingwa wa kututetea sisi maskini, ni uwizi mtupu.

Huku sisi tunapigilia misumari tu, mwizi ni mwizi tu hata kama yeye mwenyewe anaongoza kuita wengine wezi.
 
Hapana Shaka kuwa walidandia hoja kwa mbele maana ufisadi upo wapi kama sio kwa CHama chao sasa wao wanachukua jukumu gani?? Tazama wale baada ya kuona upinzania unachukua umaarafu wao ndio wakadandia hoja kwa mbele ndio msingi wa matatizo yote haya ya wao kudandiana
 
- Unasema maneno mengi sana lakini huf.gusi ukweli, ya kujuana umayaanza mwenyewe mkuu sio mimi, ungekuwa hunijui usingenihusisha na ufisadi wa CCM, ninakupa nafasi ya wazi kama unaujua ufisadi wangu au anything katika maisha yangu cha ufisadi kiseme hapa kama mimi mninavyosema yako na wala sina wasi wasi, hivi huu si mwezi wa Ramadha...ni ndugu yangu na wewe ni she.he tena mkubwa sana vipi ndugu yangu mbona aibu?

- Ninasema hivi wewe ndiye fisadi, kwanza umesoma chuo cha mafisadi BOT ulikoanzia kazi, halafu masterminder wa Meremeta ni familia yako na mtoto wake amekuwa akiishi na kusomea nyumbani kwako, yeye mwenyewe master wa Meremeta ni mgeni wa kila wakati nyum.banii kwako, na pia ameweza kukusaidia kununua nyumba ya serikali ya wastaafu wake, sasa unafikiri kutumia majina ya wakwe zako humu JF itakusaidia kujificha, wewe ni fisadi tena wa kutupwa sana unajifanya kuandika kishujaa hivi umewahi kufanya nini cha maana kwa taifa mkuuu mpaka kuwa na hiyo authority ya kutukana wengine humu JF kuwa ni mafisadi?

- Mimi sio kiongozi wa anything, wapiganaji wengi ni marafiki zangu na nina waheshimu sana kwa kazi nzito sana wanayoifanya na watafanikiwa tu kwa sababu kama sio wao CCM isingeshinda Busanda wala Biharamulo, ile therad ya mawazo ya watu hapa kama wajitoe CCM au wabaki, ni leo tu nimemaliza kui-edit na kesho ninaifikisha, wengi hapa JF hata mnaotukana mlisema wabaki CCM wasitoke.

Ukitaka kuheshimiwa jihesimu kwanza mkuu, sikuogopi wewe wala mtu yoyote, kwa sababu mimi sio fisadi na wala sina hata chembe ya ufisadi I am clean, wewe ni fisadi maana hata shule ya mafisadi BOT ulifi.udhu!

Respect.

FMEs!

Ona unavyorukaruka mkuu, aibu tupu, nimesema nakujua kwa post zako, na si kivingine, umekuja kusema mimi nimenunua nyumba za serikali na meremeta issues. nimekueleza thibitisha , jibu ndio hili!!!, waeleze waungwana mzee umeanza hadithi na unataka niseme ufisadi wako, ufisadi wako ni kupitia post zako! si kivingine, mkuu unaaibika hivi hivi!

Nimesema eleza A-Z yangu, na mimi sitajieleza Mods watataja jina langu, kama mimi fisadi na kelele zote hizi si mnafiki basi? kwa nini usinitaje ? ukishindwa kwangu mimi utaweza kwa akina JK??

Tumekuangalia sana nyendo zako, na hili mkuu unalo, wewe ni fisadi .period! unapita kudanganya hao watu, mpiganaji gani rafiki yako?? njaa tupu!

hujajibu tuhuma, NINGEWAZA kukushtaki kwa mods, kwa kuleta uongo, naona nitapoteza muda, kwanza unawaaibisha mtu kama wewe kutuma post kama hizi, aibu!! kaa kimya ukiona huwezi kuthibitisha madai yako, kaa kimya endapo unajua ulisema uongo, kaa kimya endapo tuhuma hizi ni za kweli kaa kimya, ukikaa kimya unaleta wingu la kuwa inawezekana mimi mwongo! ukijibu kwa staili hii... LOL! watu wanajua kumbe kuna jambo!

YAANI KISAIKOLOJIA NAONA KABISA KUMBE HISIA ZANGU ZILIKUWA KWELI, UTAWATAMBUA KWA POST ZAO TU!

In short, baba yangu mzazi alifariki tangu 1990 nikiwa darasa la nne! nimelelewa na mama yangu nurse hapo agakhan, nimesoma tambaza , tukasambazwa na nikapelekwa moshi, nimesoma huko miaka yangu 5, kabla ya chuo, -UDSM, nimelipiwa na bodi ya mikopo, kipindi hicho full sponsorship, nimemaliza 2006! kozi ya miaka minne. Hii ni katika kukuthibitihsia kuwa wewe ni mwongo!

MODS: madai ya FMES yalikuwa mabaya sana, sijaamua tu kushtaki officially najua ni mzee wa humu, na imetokea mara nyingi anagombana na watu na hafanywi kitu, nimesema athibitishe madai ya kununua nyumba za serikali na eti na kuhusu meremeta ameshindwa! Forum sio nzuri kuwa na watu kama akina FMES mbao wanaweza kuzusha uongo kwa malengo ya kufukuza watu humu au kuwa-weaken. Itafutwe mbinu mbadala ya kudeal naye. This is serious! afute ile post au athibitishe!(simple) thats all! najua itakuwa ngumu kwenu kwani huyu ni mzee wa humu , ila ni vizuri mkatumia busara kumwonya, maana inaonekana ana matatizo au frustration za kuambiwa ukweli.

Sitajibizana naye tena kwenye post nyingine yeyote, unless nikiona issue ni mbaya sana, basi nitadeal naye mimi mwenyewe kwenye post, lakini mnanisamehe maana nitamkimbiza!

FMES nimekuvulia kofia! kumbe elimu za propaganda za akina Kingunge,Hiza na Mrema unaziweka kwenye practise, mimi mhandisi bwana naangalia facts !

SAMAHANI WANA JF kwa kwenda kinyume na maada hii haitajirudia tena.ni katika kumfunda aliyeshindwa hoja na kusema uwongo.
 
Hapa kazi ipo, huku kwetu tunasema Imbombo ngafu!

Lakini si mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa fisadi ni fisadi.

FMES mtaje babako nani, tujue kama wewe sio fisadi, maana hapo kwa Waberoya umeingiza mambo ya familia.

Muda wote hapa nasoma unashinda na mafisadi, hujaambukizwa tu huo ufisadi?

Tuache kudanganyana, wale waliongoza kukata mapande makubwa ya nyama yetu, sasa wanajifanya ndio mabingwa wa kututetea sisi maskini, ni uwizi mtupu.

Huku sisi tunapigilia misumari tu, mwizi ni mwizi tu hata kama yeye mwenyewe anaongoza kuita wengine wezi.

Kula tano mkuu! kashindwa maada anasingizia paka kuwa ni mbwa! nimesema I know him by hizi posts, kuwa ni fisadi thats all,

AKIJIBU swali lako, amekua!
 
I dare hao wanaojiita wapiganaji wafanye alichofanya mpiganaji wa kweli Dr. Slaa pale Mwembeyanga. Yes I dare them - I dare Mwakyembe, I dare Selelii, I dare Ole Sendeka na I dare hilo kundi zima la kisanii. Afadhali Mengi aliweza kuita press conference na kuwataja mafisadi papa kwa majina ingawaje alichemsha kwa kumsetiri Kamanda Mkuu. Pamoja na kelele zote za watajwa na kutishia kushitaki, wamejikuta wanafyata mikia kwani penye ukweli uwongo unakuwa hauna nafasi.

Kwa nini hawa wapiganaji feki hawakuwaunga mkono wananchi dhidi ya uovu wa CCM kwa miaka minne baada ya uchaguzi na kwa nini sasa mwaka moja kabla ya uchaguzi mwingine. Kwa nini miezi miwili iliyopita hawakuikataa bajeti iliyowasilishwa na serikali iliyoshindwa kutekeleza mapendekezo ya Bunge. Kwa nini wanakaa kimya hali wanajua kuwa ili kumwua nyoka, lazima umponde lichwa na wamebaki kumponda mkiani tu. I dare them kumkoma nyani bila kumtazama uso, yes I dare them.
Ili ukauke lazima utoke majini.
 
Hapa kazi ipo, huku kwetu tunasema Imbombo ngafu!

Lakini si mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa fisadi ni fisadi.

FMES mtaje babako nani, tujue kama wewe sio fisadi, maana hapo kwa Waberoya umeingiza mambo ya familia.

Muda wote hapa nasoma unashinda na mafisadi, hujaambukizwa tu huo ufisadi?

Tuache kudanganyana, wale waliongoza kukata mapande makubwa ya nyama yetu, sasa wanajifanya ndio mabingwa wa kututetea sisi maskini, ni uwizi mtupu.

Huku sisi tunapigilia misumari tu, mwizi ni mwizi tu hata kama yeye mwenyewe anaongoza kuita wengine wezi.

Mkuu Engineer heshima yako sana mkuu,

- Naona toka niseme kwamba Dr. Mwakyembe ni shujaa wangu kwa kusema maneno mazito kwenye NEC iliyopita nimekua adui yako mkubwa sana, saafi sana ila mimi huwa ninaongea na dataz pamoja facts, sikurupuki hovyo, sasa wewe unaonekana unamjua baba yangu kuwa ni fisadi kwa nini usiseme ufisadi wake, na jinsi nilivyoushiriki katika kufaidi kama huyu bwana Waberoya, ambaye ameishi na mtoto wa masterminder wa Meremeta na kumsomesha shule kwa karibu miaka minne, sasa naomba uniambie eti all those four years hakuwahi kumpa chochote kutoka Meremeta?

- Engineer pole sana inaonekana unaongozwa na viongozi wezi na mafisadi huko kwenu, sasa unafikiri kila jimbo lina viongozi wezi kama wako, hapana mkuu wizi wa kiongozi husemwa kwa dataz na facts, sasa kama hawa wapiganaji wamekuibia au wameiba popote pale sema mkuu ndio hasa sababu ya kuwepo hapa JF, ninajaribu sana kukujibu bila ya kumgusa mgombea wako maana na yeye ni rafiki yangu sana, na nitajitahidi sana kuendelea kukujibu hivyo hivyo, kama kampeni zimekushinda basi acha siasa mkuu, usidhani kuja na maneno mengi yasiyo na facts wala dataz yanaweza kukusaidia au kusaidia hiyo kampeni yako,

- Nimewapa ruhusa wewe na Waberoya, kama mnaujua ufisadi wangu au wa baba yangu, au mama yangu au mbunge yoyote ninayehusika naye kwa karibu sema mkuu na jinsi ninavyohusika nao, mkuu wangu tumeanza kujitayarisha siku nyingi sana na kujiweka mbali sana na ufisadi hatuko hapa tulipo na kuheshimiwa hata na wenye power kwa bahati mbaya ni kwa sababu records zetu ziko wazi, ningeweza kuishi kwa ufisadi kama ningetaka, lakini I choose to work hard tena mpaka kuishi baharini ndugu yangu, ambako ndiko chanzo cha mkate wa maisha niliyonayo sasa,

- Engineer hata mgombea wako ni rafiki yangu, I am not sorry kwa sababu ninafahamiana na watu wengi duniani, wengine kati yao wakiwa viongozi wetu wa CCM na upinzani, hayo ni mambo ya territory mkuu wangu na sina cha ku-apoligize kwako wala kwa mtu yoyote, na sina sababu ya kuficha ninapokuwa nao kama sasa ambapo nipo na mpiganaji mmoja toka Jumamosi na mpaka next week, na soon ninaruka tena kwenda hukoo ambako pia nitakutana na mgombea wako,

- Kama wewe na Waberoya mnaujua ufisadi wangu, au wa wazazi wangu uwekeni hapa uchambuliwe, huwezi kulichafua jina safi hata siku moja, lakini wewe ukiona mtu anagombea kura za maoni ya ubunge na anaishia kupata kura yake mwenyewe tu, ujue huyo ni fisadi tena wa kutupwa maana hata wananchi wameshitukia, hizi ni facts sio longo longo! Jifunezni kuongea na facts na dataz na sio blah! blah!

Respect.

Field Marshall Es!
 
I dare hao wanaojiita wapiganaji wafanye alichofanya mpiganaji wa kweli Dr. Slaa pale Mwembeyanga. Yes I dare them - I dare Mwakyembe, I dare Selelii, I dare Ole Sendeka na I dare hilo kundi zima la kisanii. Afadhali Mengi aliweza kuita press conference na kuwataja mafisadi papa kwa majina ingawaje alichemsha kwa kumsetiri Kamanda Mkuu. Pamoja na kelele zote za watajwa na kutishia kushitaki, wamejikuta wanafyata mikia kwani penye ukweli uwongo unakuwa hauna nafasi.

Kwa nini hawa wapiganaji feki hawakuwaunga mkono wananchi dhidi ya uovu wa CCM kwa miaka minne baada ya uchaguzi na kwa nini sasa mwaka moja kabla ya uchaguzi mwingine. Kwa nini miezi miwili iliyopita hawakuikataa bajeti iliyowasilishwa na serikali iliyoshindwa kutekeleza mapendekezo ya Bunge. Kwa nini wanakaa kimya hali wanajua kuwa ili kumwua nyoka, lazima umponde lichwa na wamebaki kumponda mkiani tu. I dare them kumkoma nyani bila kumtazama uso, yes I dare them.
Ili ukauke lazima utoke majini.

- Aliwataja huko Mwembeyanga ili awapeleke kwenye baraza la wazee wa chama badala ya kwenye sheria, maneno mengi vitendo hakuna ndio sifa yetu wabongo, sasa alipowataja huko Mwembeyanga yakaishaje mkuu? Naona mnajaribu kwa nguvu kweli kubadili topic kutoka mauza uza ya Chadema na kuwa wapiganaji wa CCM, sio wote hapa JF tumelala usingizi mzito wa wananchi wa Tanzania,

- Hebu for once bebeni responsibilities ya mauza uza ya majuzi kule Chadema kwanza ndio mturudishe kwenye wimbo wa kawaida yaani CCM, CCM na CCM.

Respect.

FMEs!
 
Hapa kazi ipo, huku kwetu tunasema Imbombo ngafu!

Lakini si mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa fisadi ni fisadi.

FMES mtaje babako nani, tujue kama wewe sio fisadi, maana hapo kwa Waberoya umeingiza mambo ya familia.

Muda wote hapa nasoma unashinda na mafisadi, hujaambukizwa tu huo ufisadi?

Tuache kudanganyana, wale waliongoza kukata mapande makubwa ya nyama yetu, sasa wanajifanya ndio mabingwa wa kututetea sisi maskini, ni uwizi mtupu.

Huku sisi tunapigilia misumari tu, mwizi ni mwizi tu hata kama yeye mwenyewe anaongoza kuita wengine wezi.

Wakuu zangu hapa kidogo mnatoka nje ya mada.. Field marshall kuwa na Mafisadi haina maana yoyote zaidi ya kujenga hoja yenu mnavyotaka nyie...
Kwani daktari siku zote huwa karibu na wagonjwa wake kuwapa tiba, haina maana ni lazima daktari naye awe muathirika.. ati lazima aliambukizwa maradhi ya wagonjwa hao!.

Kwa hiyo mnataka FMES ajae mbali na mafisadi kama mnavyofanya nyie wkaati huo huo mnalalamika maradhi haya yanavyozidi kusambaa...Jamani eeeh wananchi tunataka dawa, tunahitaji tiba ya maradhi haya ya Ufisadi na sio Kinga hizo vaccine zenu za Ufisadi..
 
- Bob please mkuu, thank you lakini no thanks mkuu hawa watu niachie hawa wanaotaka wabunge wa Upinzani wasiingie Bungeni maana kuna wabunge mafisadi wa CCM, wanaotaka wananchi wote wa Tanzania wasio mafisadi wahame nchi maana wakiishi humo ndani ya taifa na wabunge mafisadi basi wote wanakuwa mafisadi, wewe huoni kwamba ni hoja mufilisi na mtu mzito kama wewe kuingilia ni kushusha hadhi yako mkuu, hawa wana hoja za kutaka walokole wote wahame hapa duniani kwa sababu hata Mungu anasema ni dunia ya shetani,

- Hoja hujibiwa kwa hoja na nonsense hujibiwa kwa nonsense, niachie hawa mkuu wewe endelea kule na hoja muhimu za taifa hawa wanataka viroja! halafu eti wanakimbilia kwa mods na Invisible, simama hapa mwanaume wewe, unachokoza wanaume wengine halafu unakimbilia kwa wanaume wengine wakusaidie, ebo!

Respect.

Field Marsahll Es!
 
Hapa lazima niwe mkali kwa wasioona mchango wa wapiganaji. Hawa wapiganaji ni "outliers" ndani ya CCM, na kama ninavyofahamu mimi, outliers siku zote, pamoja na kuwa zinaweza kuwa chache lakini effect yake ni kubwa na inahitaji uchambuzi wa kina. Pengine mjaribu kufanya "sensitivity analysis" kuona kama hawa wapiganaji (outliers) wasingekuwepo kabisa hali ingekuwaje? Richmond leo zingekuwa ngapi? Wizi kutoka E.P.A leo ungekuwa umefikia bil.ngapi? Mwanakijiji na wenzio, mmewahi kujiuliza kama leo Mwalimu angekuwepo (MUNGU amrehemu), mambo tunayoyaona leo kwa mfano nyaraka, zingekuwepo? Kwani Mwalimu hakuwa mwana CCM? Hii ndiyo sensitivity analysis mnayotakiwa kufanya. Mimi nadhani mnahitaji kulaaniwa kwa kukosa busara. Walioanzisha harakati za kudai uhuru wa nchi hii ni wakuhesabu, na si ajabu wapo waliowapinga kama mwanakijiji na wenzio, kwani leo uhuru hatuna? Mandela alikaa jela zaidi ya miaka 20, wengi walimuona kama mwendawazimu ku-sacrifice maisha yake, leo ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika duniani, mwanakijiji, si ajabu hata hujawahi kushikana naye mkono tu! Mimi nasema, sidanganyikiii, ukombozi wa nchi hii toka mikononi mwa mafisadi utaletwa na wachache kama walivyoanza outliers.
 
Keen,

Wapiganaji unaowatetea wamelala Usingizi. Kama wangekuwa macho na makini, wangeona mapungufu ya Serikali na Chama chao kabla ya sisi kuanza kuhoji kilichotokea.

Binafsi, mimi ni mmoja wa watu wa kwanza walioanza kuhiji mkataba wa Richmond ulipotokea mwaka 2005/2006. Niliuliza kwa kina mantiki ya kuingia mkataba na kampuni ya Kimarekani ambayo ilikosa mkopo Marekani na hivyo kwenda kuomba kibali Ikulu ili CRDB iwape mkopo.

Hayo ya Richmond, niliyasoma kwenye magazeti ya Tanzania na nikaanza kuhoji wazi mpaka pale "Wapiganaji" walipoamka na kuanza kujidai kuwa nao ndio wanalifanyia kazi na wakati walipozinduka ilikuwa miezi 18 baada ya mimi kuandika kwa mara ya kwanza kuhoji na kulifanya ni jambo la kuzungumziwa kwenye hizi kumbi!

Njoo jambo la BOT; EPA, Meremeta, Kagoda na kila ovu BOT. Ni sisi tulioshikia bango suala hili la Uhujumu na aliyetupa nguvu na kuutangazia umma tulichokuwa tukikizungumzia alikuwa ni Dr. Slaa na si Mwakyembe au Kimaro!

Ufisadi wa Radar, Ndege ya Rais, ATCL, TRL, Dawasco, Madini na mwingineo uliotokea katika miaka mitano iliyopita ni sisi jamii za JF, Young African na hata zama za BCS, ndio tulioanzisha vuguvugu la kutaka Serikali yetu iamke na kufanyia kazi uhujumu.

Kundi la kina Mwakyembe limeanza kujitutumua na kufanya hoja ya Ufisadi kuwa ni yao baada ya Bunge la mwezi Novemba 2007 walipopewa mamlaka ya kuchunguza suala la Richmond.

Hivyo kwa anayedai kuwa kina Mwakyembe ndio wapewe sifa na tuzo na si Pundit, Moelex, Mwanakijiji, Mkandara, Kishoka, Fair Player, FMES, Kichuguu, Bin Maryam, Kitila Mkumbo, Nyani Ngbu, Kuhani, GT na wengine wengi humu ndani hususan Invisible, na Kanzi, na Manzi wengine waliohatarisha ajira na uhai wao kwa kutoa nyaraka za siri kama mkataba wa Buzwagi, utakuwa huwafanyii haki!

Niliowataja hapo juu, ndio wapiganaji wa kweli, hata kama mtasema mbona hatuwajui majina yao ya ukweli.

Wapiganaji wa JF hawakimbili majukwaa na kutaka sifa au tukuzo au kuudanganya umma kuwa wao ndio pekee wenye haki ya kuongelea Ufisadi.

Wapiganaji wa JF, Young African, KLH News ni watu ambao hawafungamani na Chama au kutaka kazi zao ziwe za chama kimoja, bali ni watu ambao wanataka kila aliye kiongozi wa Tanzania alitumikie Taifa la Tanzania kwa manufaa ya Watanzania ili kuleta maendeleo kwa kila mtu na si kauli kwenye majukwaa.

Ndiyo maana binafsi, nakataa kulaghaiwa na hizi sifa kuwa "Wapiganaji Wabunge" wa CCM wana nia ya kuleta maendeleo kwa Tanzania!
 
Natamani haya maneno niliyowekea green colour kama yangeingia ndani ya mioyo ya watanzania nakugeuka kuwa attitude yetu. Well if we have you few to start with then I believe pole pole hii chachu itachachusha donge zima la watanzania.

Kila mtu akigundua kua ni heri kudanganywa kwa usilolijua kuliko kujidanganya mwenyewe basi kauli za kutaka cheap popularity zingetoeka kati yetu kwani machoni mwa mataifa wote tunawekwa kwenye kundi moja kwamba ni wababaishaji na kwasababu hiyo tunatumiwa kwa maslahi yao (mataifa beberu) huku sisi tukiendelea kujidanganya, kujidharau, kudharauliwa nakufedheheka katika dimbwi la umaskini huku tukikosa confidence ya kufanya chochote chenye manufaa katika dunia hii nakua watu wakuhurumiwa (dhihakiwa) kila wakati.

Inauma tena inauma sana. Ninachojiuliza haya maumivu wengine wanayapata au wachache tu ndo wana feel kuwa embarrassed? What does it profit one to have all the gains of this country while masses are dying every second simply because we are not realistic? wanafiki, waongo, wapenda sifa na wapenda kutukuzwa na kunyenyekewa kama Miungu? God help us until we get the right people and right ideas then we will come back to our senses that we are not that much helpless and poor as few could want us believe.

The bible says wataaminije wasipohubiriwa? watahubiriwaje wasipopelekwa? Ni mizuri kama nini miguu yao wapelekao habari njema! So Rev Kishoka and team mwafanya kazi nzuri hatakama mnakosa wakuwapeleka bado ni mizuri kama nini miguu yenu ninyi mletao habari njema kwa watanzania. One day Yes msipozimia moyo.
 
Talk and talk and talk and talk.....................
everything too much is harmful.
 
To me naona ni kheri wameonesha zamira ya kweli though ingekuwa bora kama wangeama chama au kuunda chama chao au kujiunga na one of the existing parties!
Hofu yao wanaona wakijitoa ndio mwisho wao sasa nani asiyependa kula jamani.
Piganenei mumo kwa mumo bwana as long as mnapata mkate wenu wa kila siku.
 
Keen,

1. Wapiganaji unaowatetea wamelala Usingizi. Kama wangekuwa macho na makini, wangeona mapungufu ya Serikali na Chama chao kabla ya sisi kuanza kuhoji kilichotokea.

Binafsi, mimi ni mmoja wa watu wa kwanza walioanza kuhiji mkataba wa Richmond ulipotokea mwaka 2005/2006. Niliuliza kwa kina mantiki ya kuingia mkataba na kampuni ya Kimarekani ambayo ilikosa mkopo Marekani na hivyo kwenda kuomba kibali Ikulu ili CRDB iwape mkopo.

Hayo ya Richmond, niliyasoma kwenye magazeti ya Tanzania na nikaanza kuhoji wazi mpaka pale "Wapiganaji" walipoamka na kuanza kujidai kuwa nao ndio wanalifanyia kazi na wakati walipozinduka ilikuwa miezi 18 baada ya mimi kuandika kwa mara ya kwanza kuhoji na kulifanya ni jambo la kuzungumziwa kwenye hizi kumbi!

Njoo jambo la BOT; EPA, Meremeta, Kagoda na kila ovu BOT. Ni sisi tulioshikia bango suala hili la Uhujumu na aliyetupa nguvu na kuutangazia umma tulichokuwa tukikizungumzia alikuwa ni Dr. Slaa na si Mwakyembe au Kimaro!

Ufisadi wa Radar, Ndege ya Rais, ATCL, TRL, Dawasco, Madini na mwingineo uliotokea katika miaka mitano iliyopita ni sisi jamii za JF, Young African na hata zama za BCS, ndio tulioanzisha vuguvugu la kutaka Serikali yetu iamke na kufanyia kazi uhujumu.

2. Kundi la kina Mwakyembe limeanza kujitutumua na kufanya hoja ya Ufisadi kuwa ni yao baada ya Bunge la mwezi Novemba 2007 walipopewa mamlaka ya kuchunguza suala la Richmond.

Hivyo kwa anayedai kuwa kina Mwakyembe ndio wapewe sifa na tuzo na si Pundit, Moelex, Mwanakijiji, Mkandara, Kishoka, Fair Player, FMES, Kichuguu, Bin Maryam, Kitila Mkumbo, Nyani Ngbu, Kuhani, GT na wengine wengi humu ndani hususan Invisible, na Kanzi, na Manzi wengine waliohatarisha ajira na uhai wao kwa kutoa nyaraka za siri kama mkataba wa Buzwagi, utakuwa huwafanyii haki!

Niliowataja hapo juu, ndio wapiganaji wa kweli, hata kama mtasema mbona hatuwajui majina yao ya ukweli.

3. Wapiganaji wa JF hawakimbili majukwaa na kutaka sifa au tukuzo au kuudanganya umma kuwa wao ndio pekee wenye haki ya kuongelea Ufisadi.

Wapiganaji wa JF, Young African, KLH News ni watu ambao hawafungamani na Chama au kutaka kazi zao ziwe za chama kimoja, bali ni watu ambao wanataka kila aliye kiongozi wa Tanzania alitumikie Taifa la Tanzania kwa manufaa ya Watanzania ili kuleta maendeleo kwa kila mtu na si kauli kwenye majukwaa.

Ndiyo maana binafsi, nakataa kulaghaiwa na hizi sifa kuwa "Wapiganaji Wabunge" wa CCM wana nia ya kuleta maendeleo kwa Tanzania!

- Wapiganaji wetu "walizaliwa" baada ya kupatikana kwa "uhuru" ndani ya serikali yetu hasa ya Kikwete, under Mkapa hakukuwa na nafasi ya uhuru wa viongozi wa CCM mpaka upinzani kusema bila kuogopa, under Mwalimu ndio kabisaa haikuruhusiwa ni majuzi tu baada ya Kikwete kushika nchi ndio imeruhusiwa, kwa hiyo ya kwamba wamelala hapana si kweli kwamba vyama vyetu vya siasa nchini vya upinzani vimelala, isipokuwa kama hawa wapiganaji vinajaribu kunavigate their way baada ya miaka karibu 40 ya utawala usiotaka kuwepo kwao, mwanzo wa anything ni lazima utakuwa ni mgumu tu, wangekua wamelala tusingekua na debate yoyote kati ya hizo ulizozitaja huko juu, sio wewe wala JF waliosimama bungeni kumuondoa Lowassa it took a lot of courage ya wapiganaji, sio wapiganaji wanaotumia majina ya bandia, hapana ni wanaotumia majina yao ya kweli kama kina Mwakyembe, Seleli, Manyanya, Sitta, Sendeka, Anne Kilango, kwamba eti wamelala hapana, tunaochagua mafisadi ndio tuliolala, yaani wananchi wa Tanzania.

- Wapiganaji 11 peke yao hawawezi kuletea maendeleo wananchi karibu millioni 40 wa Tanzania ambao hawataki maendeleo, siasa as siasa ni lazima ianzie majukwaani na sio pengine popote, kule ndipo wanasiasa huweka wazi nia na madhumuni yao ya wanachotaka kukifanya, na ndiko wapiganaji wameweka wazi malengo yao, na ndio maana majuzi walikuwa wanatakiwa kuuliwa kisiasa kule NEC na mafisadi, eti mafisadi wanataka kuwaondoa chama chao wapiganaji waliolala na kulia lia bure kwenye majukwaa bila effect yoyote? Pleaseee!

Eti wapiganaji wanotumia majina ya bandia wameamka kuliko wanaotumia majina yao ya kweli na ku-pay the price for kila siku ya Mungu? Mchungaji unatakiwa kuwa bigger than this empty rants mkuu!

Watendee haki wapiganaji hata kama hukubaliani na siasa zao!

Respect.

Field Marshall Es
 
Back
Top Bottom