Elections 2010 Wapiga kura halali wasiopiga kura miaka iliyopita kujitokeza mwaka huu?

Negotiator

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
303
44
Wadau nimefanya utafitri hapa ofisini. Kuna wazee na akina mama kwa ujumla ni sita wanasema hawakupanga kupiga kura mwaka huu lakini sasa wanasema lazima wapige kura kwa kua wameona kuna mgombea makini aliyeingia kwenye kinyang'anyiro hicho kupitia upinzani. Jee wenzangu huko mlipo kuna wapiga kura wa namna hii walioonyesha mwamko kama huu?

Hii ni ishara gani kwa chama tawala?
 
Ni ishara kuwa sasa watz wanaangalia uhalisia wa maisha yao badala ya uhalisia wa maisha yao majukwaani na kwa kupewa pilau na na pombe na ccm kila baada ya miaka mitano....wamechoka kudanganywa wameamua kusema no hawadanganyiki tena
 
Back
Top Bottom