Wapiga chabo!

Nakumbuka kuna jamaa lijizi lilivunja mlango ili liibe, likakuta mr na mrs wanakula uroda. Likasahau kuiba likabaki linapiga chabo mpaka likakamatwa. Chabo bana, acheni watu wapige chabo. Ina raha yake.
hahahahaaa.... huyo lazima alikuwa na uhaba.
 
Hii kali mazee!


Nakumbuka kuna jamaa alikwepo mitaa ta TMK wailes yeye alikuwa na namba ya simu kabsaa ya mhudumu wa gesti temeke mwisho, jamaa alikuwa anapigiwa kabsaa Njoo kuna JIMAMA limekuja na Serengeti Boy njoo haraka jamaa anaenda akirudi utasikia jamaa nimemdakisha buku 2 nimekula chabo, yeye anapenda kuona MIjimama na Serengeti Boys
 
we mambo yako bwana,unanikumbusha ule mkasa wa kule nyumbani mtaa mmoja unaitwa Jan'gombe, jamaa mmoja alikuwa na mchezo huo, kuna nyumba moja ya rafiki yake akiionea sana, siku mmoja katika mawindo yake kwa mshkaji alikuta hata kile kitundu cha upenu wa dirisha anapopitisha jicho lake kushuhudia kadhia za watu na wenza wao kitandani,kimeongezeka kidoogo,akaona leo ndo kufaidi, maaana siku zote nafasi ya kuchungulia haitoshi hasa jamaa anapomgeuza mwenzake kiubavu ubavu na kimbinukobinuko. Akaanza kuwachapo mara ghafla akaanza kutoa chafya kali kali, kumbe mshkaji alishatonywa na aliamua kutega kwa kunyunyiza tumbaku eneo la dirisha na jamaa kwa kitahanani cha kushtukiwa akatimua mbio...pahala fulani akidhani pana shimo aliruka na alipodondokea ndo palikuwa na shimo lenyewe...akavunjika mguu...raha ikawa karaha kwake, hajakoma mpaka leo ni mpiga chabo profeshno wa eneo la Jan'gombe na Mpendae yake.
 
avatar10043_17.gif


Nguli huyo nyau wako kwenye avatar anaonekan mtema kweli kweli, nahisi hata vile vijibwa mtaani havikatizi hapo..... lol!
 
Si kweli kwamba kupiga chabo ni kukosa nguvu za kiume/kike, kwa kweli hayo ya mikanda ya ngono hayana utamu kama chabo, kwa chabo ipo real zaidi unaweza kupata sauti za ukweli pia kutegemea na ukaribu unaweza kusikia hata harufu.
Kijiwe hiki nimekishindwa loooh!!!...
Nahisi bado nipo njiani kuelekea maturity...kama hali yenyewe ndo hiyo
 
Wapo masela walikuwa na tabia ya kupiga chabo kwenye tundu la funguo wa mlango kwa chumba cha mwenzao,sasa kumbe njemba ilishashtukia mchezo unaofanywa na jirani zake,siku hiyo mmoja wao akawa ndo ameweka jicho yeye huku ndani njemba ilishaweka mtego tayari so akapitisha spoke ya baiskeli na kutoboa jicho la msela, ujue msela aliwaambiaje wenzie walokuwa wanawait zamu ya kula chabo? ebwanae wamezima taa siwaoni tena, ujue chabo tamu balaa!!
 
jamaa alikuwa anakula chabo kwa zamu kupitia tundu la funguo,jamaa akshtuka so akawa ameshaweka mtego siku hiyo, akasokomeza spoke ya baiskeli ktk tundu duh jamaa ujue akanong'ona kwa wenzake ebwanae jamaa wamezima taa siwaoni tena yani!! jamani chabo tamu haswa
 
Back
Top Bottom