Wapiga chabo!

Kama ambavyo wewe umeweka picha yako halisi? Kuna kitu unakitaka kwa binamu yangu wewe. Tumekustukia.

ahahahahhaha Mjomba basi chonde chonde huyu binamu yako si ni mtu mzima wacha tulumbane mie naye. wee kaa kando tutakualika harusi! ama wataka chabo??? nyoooooooooooooo!
 
usihofu mpwa huwa tunamega hawa watu kwa style nyingi tu, ila ki ukweli nimeanza kusikia feelings flan juu yake kitu ambacho hakijawahi kunitokea kwa muda mrefu naona naanza kufoli in lavoo

Mpwa unasikia utamuu,x2
unsikia utamu!utamu
 
ahahahahhaha Mjomba basi chonde chonde huyu binamu yako si ni mtu mzima wacha tulumbane mie naye. wee kaa kando tutakualika harusi! ama wataka chabo??? nyoooooooooooooo!

Lol! Kumpiga chabo mjomba naona itakuwa laana. Acha niikose hiyo filamu.
 
Hapo umenena kwa hiyo msipo tuona hapa tutakuwa chumbani, pliiiz no chabo kwa midume, wadada mnaruhusiwa pia kuwaalika na wenzenu.

Mpwa unataka yale ya Mabibo hosteli yakutokee tena? Tehetehetehe! Tatizo wapwa tukipiga chabo, afu mshori ukawa unajituma vizuri mboa tutajituma na sisi?
 
Hapo ukimkuta mdada wa kitanga orijino lazima ujitume na wewe umege, hawa wangekuwa wanataka biashara iwe nzuri wange hakikisha wanatoa ukelele wa nguvu hata majirani wakisikia lazima wajazane dirishani.
 
relax....kwani islii unaogopa nini??? nairobi kubwa hata ukitaka kariokor ipo pia

Niliwahi ku lead team ya ku negotiate na pirates wa kisomali halafu nikaambiwa nipeleke ransom islii, kilichotekea sitakaa nisahau maisha yangu yote, ndio maana nimeapa katika maisha yangu sitakanyaga pande hizo nikiwa navuta pumzi. Nitakuja hata kibera kama utapenda iwe hivyo sweetie.
 
Duh! umenishtua mbona... pirates mmmmm nakwambia hizo ransom zimetumiwa kujenga majumba magorofa ya ajab isliii. and high end residential estates, kila siku unashangaa hawa wasomali pesa wanatoa wapi na kazi kula miraa!!! usijali islii hatutokwenda!!! labda kama wataka kuwasalimia hao mabeshte wako! sass hizo hela za ransom si unigawie basi.....kwi kwi kwi
 
Uswazi kuna gesti watu wanalipia kabisa kupiga chabo, mhudumu anaondoka na ishirini daily kwa ajili ya UJIRA WA CHABO, nasikia wakiingia wenye vitambi kuna bei yake, km demu ana Nyomi la kufa mtu bei yake, Vijana bei yake wazee bei yake, Status vile vile wakija watu wenye usafiri wanaonekana status yao ya JUU dau linapanda zaidi, Mke wa MTU bei JUU na kuna watu hawalali mpaka apige chabo kwanza hahaha
 
changu chako sweetie usihofu, nina ki apartment changu huwa najificha nikichoka kelele za bongo pale norfolk estates karibu ya KBC, ninaweza kumuagiza mtu akuletee funguo kabisa mimi nitakuja ijumaa usiku ngoja nimalizie kazi hapa bongo hiyo kesho.
 
Uswazi kuna gesti watu wanalipia kabisa kupiga chabo, mhudumu anaondoka na ishirini daily kwa ajili ya UJIRA WA CHABO, nasikia wakiingia wenye vitambi kuna bei yake, km demu ana Nyomi la kufa mtu bei yake, Vijana bei yake wazee bei yake, Status vile vile wakija watu wenye usafiri wanaonekana status yao ya JUU dau linapanda zaidi, Mke wa MTU bei JUU na kuna watu hawalali mpaka apige chabo kwanza hahaha

Hii kali mazee!
 
wakati mwingine kupiga chabo ni sawa tu na kuangalia movie za ngono.aidia pale ni kuamsha hisia.

kuna washkaji hapa aru wakati nasoma walikuwa wanapita low-cost vyumba vya madem ili wazione chupi zilizoanikwa kwenye kamba tu(za wanawake)!KWAO ILIKUWA BURUDANI TOSHA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom