Wapi zinauzwa modems za safaricom dar?

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
 
Mkuu check na thread hii katika post no 11 kisha jaribu kum pm huyo muheshimiwa anaweza kukusaidia, naona kaweka na picha ya modem kabisa
 
Back
Top Bottom