Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,495 2,250 Jul 10, 2009 #1 Microsoft wanaitoa bure kwa sasa, lakini ndo hivo kudownload Gigabyte kibao. Kuna sehumu inaweza ikapatikana bongo?
Microsoft wanaitoa bure kwa sasa, lakini ndo hivo kudownload Gigabyte kibao. Kuna sehumu inaweza ikapatikana bongo?
JuaKali JF-Expert Member Nov 14, 2007 776 118 Jul 10, 2009 #2 Kang said: Microsoft wanaitoa bure kwa sasa, lakini ndo hivo kudownload Gigabyte kibao. Kuna sehumu inaweza ikapatikana bongo? Click to expand... Nipe address yako nikutumie DVD!!!
Kang said: Microsoft wanaitoa bure kwa sasa, lakini ndo hivo kudownload Gigabyte kibao. Kuna sehumu inaweza ikapatikana bongo? Click to expand... Nipe address yako nikutumie DVD!!!
JuaKali JF-Expert Member Nov 14, 2007 776 118 Jul 10, 2009 #3 Nijurishe kama unahitaji 32-bit version or 64!
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Jul 30, 2007 1,407 159 Jul 10, 2009 #4 Juakali,na mimi unaweza kunipatia copy yake tafedhali?