wapi wanauza turbo king beer kwa hapa dar..??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Nina hamu sana ya kunywa turbo king beer. Hapa dar nimetafuta sehemu tofauti nmekosa. Pasaka hii ilinibidi nifunge safari hadi kigali ili niinjoy. Mwenye kujua sehemu wanauza p'se. Naomba anielekeze. asanteni sana. Mia
 
Polisi central embu cheki unaweza ukapata
hapo umenidanganya mkuu. sababu nmeenda pale mess ya polisi kurasini ufundi hamna kitu. pale central aka station hamna kitu. wewe unasema central ya wapi?. mia
 
Back
Top Bottom