WAPi WANASUKA HIVI??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
wajemeni wapi wanasuka hivi nataka kumpeleka mke wangu... lolcopter7ro.gif
 
hayo mapanga ya helicopter wanaweza kuyaweka?

aaah nakwambia kamuulizie msusi mmoja hivi anaitwa Felista, utafurahi mwenyewe, mkeo kichwa kitakuwa kama helkopta ya Mbowe
 
Mnaenda shughulini mahali au anarudi nyumbani kulala? manake sijui kichwa atakiweka kwenye nini ili style isitibuke!
 
sweetheart we angalia tu vizuri hayo mabawa kichwani....itasaidia na hizi foleni mtu anapaa zake eeeeeeeeasy!!![/QUOTE]

ha haaaa haaa unazidi kuniua....
 
Bora huko kuliko kwa Wamasai maana nasikia hawavai kitu ni lubega tu sasa mkeo akisukwa anamsogeza katikati ya mapaja kazi kwako ...(itaendelea kesho)
 
Back
Top Bottom