Wapi Wanafundisha BEAT\INSTRUMENTAL MAKER?

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Wadau Niko Dar,Kwa Mtu Yeyote Anaetoa Mafunzo Ya Utengenezaji Wa Beat\Instumental!
Je,Ada Ni Bei Gani?
AHSANTENI,nasubiri Michango Yenu!!!
 
nenda hapa wanapaita Mlab kamuulizie duke ni producer wao nadhani mkiongea nae atakusaidia hilo swala..
 
shule ya mziki ipo bagamoyo. hawa wengine wanajifunza kutoka kwa wakongwe kama mj, p funk, baucha, man walter n.k. mambo ya mziki hapa bongo wanajifunza kama baiskeli mwenye. mia
 
P funk,Baucha,man walter wamesomea wapi? Wapo watu wengi tu tena wengine nnawajua personally wamesomea SOUND ENGINEERING nje ya Tanzania wapo wanapiga kazi.
Mfano kuna mtu anaitwa Keppy yupo Njenje,Huyu ni mtaalam wa Live Sound Engineering kama umewai fika kwenye show za njenje utajua nnamaanisha nini,pia Clouds na wengineo wanamtumia katika matamasha yao ya live kama vile fieasta
 
kuwa sound engnr sio kujua kutengeneza beat. ni how to knw the key n to control softiware unayotumia. ni pm ntakuelekeza vzuri
 
ni pm una uwezo wa kutumia vifaa gan vya muziki af nkupe ushauri mzuri. mi pia ni mtaalam wa kutengeneza
 
Mfano kuna mtu anaitwa Keppy yupo Njenje,Huyu ni mtaalam wa Live Sound Engineering kama umewai fika kwenye show za njenje utajua nnamaanisha nini,pia Clouds na wengineo wanamtumia katika matamasha yao ya live kama vile fieasta

Mkuu usifikilie keppy anaweza kaa chini na kuanza kumfundisha mtu mmoja. Utamlipa bei gani?. ni sawa na mwalimu wa chuo kumfundisha chekechea. kujua ni tofauti na kupiga jita au marimba. amtafute rama atamsaidia. mia
 
shule ya mziki ipo bagamoyo. hawa wengine wanajifunza kutoka kwa wakongwe kama mj, p funk, baucha, man walter n.k. mambo ya mziki hapa bongo wanajifunza kama baiskeli mwenye. mia

dah!
Sasa Wanapatikana Wapi Mkuu?
 
dah!
Sasa Wanapatikana Wapi Mkuu?

wanapatikana dar es salaam. P funk yupo pale nyuma ya kituo cha mafuta cha bamaga, mj(master J kimario) yeye yupo masaki chore road karibu na kwa barekhsa au mbele ya apartment mpya za seaclif.mj yupo usawa wa slip way,kama unatoka mjini kupitia chore road, kwa mj unakata kulia kabla ya kufika barabara ya kwenda slipway. ukipotea nipm ntakuelekeza. mia
 
poa Mkuu,Nitafatilia Na Kukupa Matokeo, Shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom