Elections 2010 Wapi walimuenzi nyerere leo?ccm-karimjee hall au wanazuoni nkrumah hall?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
hili nilikuwa nalitarajia toka kwa ccm kuwa wangeandaa kongamano la kupingana na lile la wanazuoni siku ya kumbukumbu ya mwl nyerere,hebu tufanye tathimini,wapi walimuenzi mwl nyerere?ni hao vijana waliopelekwa na mabasi pale karimjee hall au wanazuoni na wananchi wengine waliokuwa pale udsm?
 
UDSM walifunika. Walijadili masuala yanayohusu mstakabali wa nchi. Karimjee ni porojo tu. Bye CCM, Bye Kikwete
 
Nilikuwa na mwaliko wa Karimjee kwani niliambiwa kuna kusaini baada ya mkutano kama ilivyo kawaida ya ccm but ninaamini katika mabadiliko yenye manufaa kwa wote na wala mimi si kijana ambaye ni opportunist so nikaamua kuelekea ud na kwa kweli ipo siku mabadiliko yanakuja nchini kwani wengi wameamua kuutafuta ukweli kwa kumtumia mwalimu
 
Mkuu nikusahihishe kidogo kwamba haikuwa nkrumah hall bali debate ilikuwa nyerere lecture theatre.
 
Sisi wasanii tulikusanyika pale Starlight hall kwa shughuli hiyo na ilifana sana. wajumbe wa serikali walikuja na kustushwa na wingi wa wasanii na hata maandalizi tuliyoyafanya. It was wow kwa kweli.
Nitaweka picha
 
Back
Top Bottom