Wapi Ugali NN??

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
DSCF3001.JPG
mASHOSTI HII NDIO MENYU YANGU KUU, HAPO NATAFUTA NDIMU NA CHACHANDU TU
 
Sisi Wasukuma hatuhusudu ugali kwa dagaa, menyu yetu sisi weka hapo ugali kwa mrenda, nzubho, au nkarango hapo utakuwa umetupatia; na ka glasi ka maziwa pembeni!.
 
Sisi Wasukuma hatuhusudu ugali kwa dagaa, menyu yetu sisi weka hapo ugali kwa mrenda, nzubho, au nkarango hapo utakuwa umetupatia; na ka glasi ka maziwa pembeni!.

Ebana eeeh hapo kwenye nkalango umenikumbusha mbali kichizi. Mtu umetoka kupiga jembe kwenye majaluba ya mpunga ukirudi nyumbani menyu ugali, nyama, nkalango,na maziwa ya mtindi. Saafi sana.
 
lolloooo jamani nimetamani ugali ungekuwepo hapo lazima ningejialika kwenye hicho kikao kisicho rasmi cha kula SIMA, ugali na Mboga hizo oooooooooooooooh! ni safi sana
 
Back
Top Bottom