Wapi Tughe na Tucta??

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Ndugu zetu na watetezi wetu tughe na tucta mpo wapi? mbna mpo kimya? wanachama wenu hatujapata mishahara yetu.
 
mwezi juzi mishahara ilikopeshwa na rostam, mwezi jana lowasa sasa naona mwezi huu bado hajatokea mfadhilia. we subiri tuu!
 
Back
Top Bottom