Wapi tena hapa vile?View attachment 50375
Babu alidhihirisha kuwa hili ni taifa la
- WAGONJWA
- WAJINGA
- WASHIRIKINA
WAJINGA NDIO WALIWAO!
huyo jamaa hapa mwenye miwani anataka kuongezwa; alifikiri kunywa nyingi sana ndio kupona!!!!!!!!!!!
mizambwa
nabii mtarajiwa!!!