Wapi tapata mkopo??

MAKONDE22

Member
Apr 7, 2012
6
0
Nimeajiriwa,take home yangu ni above 800,000.Mwajiri wangu hatoi barua ya mkopo na ameingia katika makubaliano maalum na Bank moja hapa nchini mishahara yote hulipwa kwa kutumia hiyo bank tu,hakubali kulipa .mshahara kwa kutumia Bank nyingine yeyote zaidi ya hiyo bank.Payslips na bank statement zinapatikana.

Je wapi naweza pata mkopo????

Natanguliza shukrani!!
 
Mkopo unaotaka ni wa sh. ngapi na unataka kulipa kwa muda gani? Ziko financial institutions nyingi tu za kutoa mikopo ya muda mfupi na hamna haja ya commitment ya mwajiri. Hata hivyo mikopo ya namna hiyo huwa na riba kubwa na pengine usikunufaishe kama unavyotarajia.
 
Naomba list ya hizo FI ni check kama ta afford hizo interest. Kiwango cha mkopo kinachohitajika ni 6.5m.

Asante.
 
Back
Top Bottom