Wapi sony dealers?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,756
wadau nahitaji sana kuwapata maajent wa sony-bongo kwani natafuta sana remote control ya radio yangu (orijino) nimetafuta sana madukani nikakosa labda wanaweza kuagiza nje
 
Ndugu Mziwanda, Agent wa SONY ninayemfahamu ni BISH ELECTRONICS wapo jengo la Matasalamat Samora Avenue zamani katika jengo hilo kulikuwa na makao makuu ya UN...sasa hivi wapo SHIVACOM.
Mdau Tusker Bariiiidi.
 
ofisi zao ziko karibu na kiwanda cha cocacola mikocheni.
barabara iendayo cocacola kutokea mwenge, kabla hujafika kiwandani, unaifata ile barabara inayokenda mikocheni B, upande wa kushoto kuna mnara wa Tigo,geti le pili. kuna barabara inayoongoza getini, sina uhakika kama kuna bango, ila ofisi ziko hapo.binafsi nilishafika hapo.
 
Hata wale jamaa wanaojiita ZAMEENA hatua kama 10 tu hivi pale kabla hujafika Mtaa wa Congo Bus stop kama unaelekea Posta au Mnazi mmoja pia SONY Dealer ! Wako poa !
 
Hao ni dealer wa dealer, hakuna genuine dealer bongo. Dealer hao ni maajent wa dealer wa kweli yuko Nairobi.
Kuagiza remote kwa kutumia website ya sony ndio the easiest, cheapest, na quickiest within 48 hrs baada ya kulipia. Unalipia kwa njia ya paypal or Telegraphic Transfer kupitia benki yoyote.

Mimi nimehangaika sana na laptop vaio ndipo nilipogundua hatuna agent wa kiukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom