Wapi Shukrani Zangu Ziende?

Well said mkuu,......hapo h/girl ni wa kupongezwa hata kama watarusha mawe kwa hasira.

Umeona mkuu, wake walio wengi hofu yao kuu ni rangi za kucha zao zisifutike, kwao ndio kilicho muhimu. Hivyo kila kitu house girl hata weekend kwamba asaidie hata kusogeza/kuleta mezani kikombe cha chai hawezi. Cha ajabu ukimuhurumia house girl ukaamua kumsaidia hata kuleta maji ya kunywa mezani, wake hao hao wanakuja juu kinoma.
 
Mnakuwa wagumu sana kuelewa hili somo,...yaaani kila kitu afanye housegirl halafu bado mnajifanya nyie ndio muhimu sana kiasi kwamba mkitoka kutaonekana ombwe,...anyway mimi somo nililojifunza ni kwamba tukoelekea mahausigel wengi watawachukulia wanaume wenu kwa mtindo huu

Nashauri kabla hamjaoa, muanze kwanza kuishi na mahouse girl halafu baadae muwafanye kuwa wake zenu!!! I think mtaridhika!
 
Kumbe wataka kusema nini?? Una hatari weye!!! Hivi unadhani mkeo angekuwa anakupa mastress, ungenawiri?? Si ungeshazeeka kwa kukunja ndita? Wanichekesha!

Lakini mnakuwa wakali tukitaka kuwasaidia house girl kazi, nyie hamtaki kuwasaidia, sisi men tukiona huruma ya majukumu waliyonayo hg na kuamua kuwasaidia hata kuandaa/kuleta chakula mezani mnachukia ile mbaya.
 
Lakini mnakuwa wakali tukitaka kuwasaidia house girl kazi, nyie hamtaki kuwasaidia, sisi men tukiona huruma ya majukumu waliyonayo hg na kuamua kuwasaidia hata kuandaa/kuleta chakula mezani mnachukia ile mbaya.

Kiherehere!!! kabla hamjawa na housegal hapo nyuma hukuwahi kumsaidia mkeo hata kuondoa kikombe mezani, sasa iweje kwa housegal ndo ujifanye unahuruma?? Chumbani kwenu wenyewe siku mkeo akikuomba uweke neti unakataa, ila kwa housegal ndo unachakarika, wizi mtupu!! Ukiona kazi ni nyingi sana basi muongezee mshahara, umenipata??
 
House girl ndie anaepika chakula changu, ndie anafua nguo zangu na kupasi, kwa kifupi anafanya karibu kila kitu hata iwe weekend(isipokuwa tendo la ndoa). Watu huku nje wananipongeza kuwa baada ya kuoa napendeza/mtanashati na ninanawili(ila hali inakoenda inabidi nifanye mazoezi). Sasa jamani hongera za haya mabadiliko mazuri nimshukuru nani kati ya mke na house girl (hata kama nitashukuru kimoyomoyo vile)

Stress za mke lazima ungekonda, mshukuru Mungu.
 
Dada zangu hili somo linawakumbusha msijisahau hata kama kuna hgal nihayo tu
 
Ushauri wa bure: mkeo mtengenezee mazingira ya kuwa mbali na nyumbani kama miezi 3 hivi. Ubaki na wanao na hgeli. Afu uone kama utathubutu kumtamani huyo hgeli. Ndio utagundua hata ambavyo mkeo unamuona mkali na msemaji sana ana umuhimu wake! Mtalishwa hadi inzi!
ushauri mzuri sana shem
 
shukuru mungu wako kwa kukupa mke... Shukuru mkeo kwakusimamia nyumba including housegirl. Kisha jipongeze kwa kupata maisha mema
 
Kampuni ikifanya vizuri ni wafanyakazi wanasifiwa au ni meneja kwa kuweza kupanga kazi vizuri na kuweza kuzisimamia na kuelekeza zifanywaje?mpe mkeo ndugu
 
Mshauri Mkeo kuwa ndie anaetakiwa kukufulia na kukupikia... Si beki 3! Siku za usoni atambiwa akuandalie maji bafuni na hatimae ataambiwa na mkeo atandike kitanda! Kitakachoendelea hapo sina uhakika sana...
 
Mshauri Mkeo kuwa ndie anaetakiwa kukufulia na kukupikia... Si beki 3! Siku za usoni atambiwa akuandalie maji bafuni na hatimae ataambiwa na mkeo atandike kitanda! Kitakachoendelea hapo sina uhakika sana...

Hawa girl hapa JF wanabisha tu lakini ndani ya akili yao kuna jambo wamapata na wanalifanyia kazi, hasa kwa wale wenye hekima na kuzipenda ndoa zao. Wengine wamekazania eti tunawafanya wake watumwa, hivi wanajidai hawajui kuwa ndani ya mapenzi kuna ku-utumwa fulani lakini kenye raha, angalia pale mwanaume anapokuwa tayari kumpa girl wake hela haijalishi nini wala nini.
 
Back
Top Bottom