Wapi REGIONAL UNIVERSITY?

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Naombeni kujuzwa jamani

Kuna Chuo Kikuu kilianzisha maeneo ya Manzese kama sikosei, kikiitwa Regional University, ila kilikuwa na mgogoro wa usajili na Tume ya Vyuo Vikuu, kuna habari kuwa kilikuwa kina wanafunzi tayari wa Shahada ya kwanza.

Je kipo au ndio ule mgogoro ulikifuta?
 
Back
Top Bottom