Wapi RAIA MWEMA?

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
Nini kimelisibu gazeti la RAIA MWEMA leo maana haliko mtandaoni hadi muda huu!Au nao wamemwagiwa tindikali,maana yaelekea mafisadi wamepania kweli kuzdhibiti yeyote anayewanyooshea kidole.Je huko nyumbani gazeti liko mtaani?Au linasubiri "major announcement"?
 
Mimi mwenywe sijalipata sidhani kama wamemwagiwa TINDIKALI.Soon it'll online
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom